HORSE POWER
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 2,238
- 1,577
Nikusaidie jambo moja kwamba shule zinaongezeka,vyuo vinaongezeka,misikiti inaongezeka,makanisa yanaongezeka na MAZOMBI(walking dead) PIA WANAONGEZEKA.Wengi katika watu na majini akili zao 'zimetuama'.Wanafuata utashi wa nafsi zao.Hawa ni maiti ijapokua wanatembea.