Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

Nilienda kanisa fulani leo kumsindikiza rafiki, mavazi ya mabinti kadhaa yamenishangaza. Kwao wanajidanganya Mungu anaangalia roho si mavazi

Wewe hukuwa bize na mambo ya ibada ulikuwa unatizama sanamu mkuu
 
Mnaichezea wenyewe kwa kukosa elimu ya dini yenu. Mimi nadhani ukristo ungekuwa unafuatwa kisawa sawa bila ya kuingizia uzungu mngeheshimika sana na dini yenu ingechukuliwa serious.
Mvaa Kobazi dini yako haikutoshi! Au umekosa kazi ya kufanya!?
 
Msabato huwa hawezi kujificha, yani shida ya Wasabato ni kanisa katoliki.

Akitoka hapo atakwambia Papa ndio mpinga Kristo 666 ujinga mtupu.
 
Shetani anakuwa mahali popote ata kwenye ibada ,ukienda kwenye ibada utulivu mkubwa unahitajika,wewe jiulize huyo shetani kwenye bustani ya edeni alifuata nini
 
mbuzi mamako na babako mbwa wee kafiri mkubwa wee unae sapoti watu kwenda sehemu zaibada kama vile wanaenda kuuza kum
Haijalishi mtu kacoment vipi,
Hapa ni uhuru wa mawazo na hoja,
Toa hoja bila kufokea watu,
Mimi wazazi wangu wametangulia
Alafu hilo neno Kafir maana yake nini? Nipe tusi jipya ambalo sijawahi sikia
 
Mvaa Kobazi dini yako haikutoshi! Au umekosa kazi ya kufanya!?
Kukulingania wewe kuufuata ukweli pia ni kazi yangu. Macho yako yameshaona ukweli upo wapi bado moyo wako tu kuukubali ukweli. Karibu kwenye dini ya hakki bado nafasi unayo
 
yanijitu linasema kuingia sehemu yaibada na nguo Tata nikawaida duu?
sehemu yaibada sio baa nyie pimbi
 
nawalaumu wazazi wako niwajinga sana walikulea kwenye maadili mabovu yakuto jali

sehemu yaibada sio yashoofu jinga wee kama wazazi walikushindwa ngoja walimwengu tukufunze kwanjia ngumu nyambafu wewe
Ona ulivyojaa funza,
Akili yako ni duni,
Mimi ukutukana ni Bure kwangu
 
Back
Top Bottom