Wee jamaa lakini 😂😂😂Mkuu wa Municipality ya Rishon Lezion anasema mnaya ona kwenye TV ni kidogo sana Missiles za Iran ni hatari sana.
kafiri acha kashfaNa huko mafichoni utakuta lazima aliharisha mavi membamba sana
Hivi hawa ******* ndo wameshindwa kusuluhisha kabisa mpaka wauwane na mnufaika au familia zao kwa kuwa haziguswi?
Bado hamjasema
Municipality ya Rishon Lezion hioWee jamaa lakini 😂😂😂
Msemaji wa jeshi la Israel anatetemeka nikiwambia hawa Israel ni bure watu wanabisha kipigo cha Iran cha jana tu Missiles labda 300, je cha leo kinategemewa 2000 MissilesWee jamaa lakini 😂😂😂
Maisha ya Israel kila Kibutz kuna mahandaki kikipigwa king'ora kila mtu anajuwa pa kwenda, ni kama unavyoona Ukrein majengo yote yalijengwa na under ground za kujificha.
Hahaha watu walisha Choka ni Basi tu