Nilienda mafichoni zaidi ya mara 5 wakati Iran inashambulia Tel Aviv - Balozi wa US nchini Israel

Ndivyo ilivyo kuwa wakati Iran inaijibu Israel usiku wa kuamkia Jumamosi

View attachment 3368219
Maisha ya Israel kila Kibutz kuna mahandaki kikipigwa king'ora kila mtu anajuwa pa kwenda, ni kama unavyoona Ukrein majengo yote yalijengwa na under ground za kujificha.

Kwahiyo hayo ni maisha ya kawaida Israel.
 
Netanyahu kampiga kibao Baunsa alafu yeye kalala mbele kawaachia msala nyie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…