Nilifadhaika sana kupata watoto wa kike tu

Nakuhakikishia kuwa huyo mtoto wa kiume anakuja kuwa zigo na utajuta kumzaa!

Kama nimekuelewa vizuri, mwamba akimlea huyo mtoto kwa mtazamo alionao sasa for sure anaweza kujutia badae. Ila kama akimchukulia sawa na wenzake basi hili anaweza kuliepuka

Ila sasa ubaya ni kwamba huyu dogo atakuja kuwa karibu zaidi na mama na huyu mwamba atakuwa very dissappointed. Hapa ndio napoona mtazamo wako kama kiasi unaweza tokea.

Tatizo watu wamekuja kuponda juu juu sababu tumezowea maneno matamu matamu tu. Ila jamaa akiwaza vizuri ataona chances za majuto ni kubwa sana na zitatokana na kuwa dissappointed.

Hii kitu wanaiita child worshiping na huwa ina wa cost watu wengi sana.
 
Aisee. "Nakuhakikishia!!!" Uko kwenye cabinet ya uumbaji wa Mungu na kutengeneza hatma za maisha ya mwanadamu?? We should be careful with our words.
Kwani anaetengeneza hatma ya maisha ya mwanadamu ni Mungu?Yaani kwa mfano uvute bangi kisha uwe teja halafu umsingizie Mungu?Akili za wapi hizi?!
 
Kwahiyo wakati mtoto wako wa kike anato.mbwa utakuwepo room ukishudia game? πŸ€”
 
Mimi ni kweli elimu sina. Ila nyinyi wenye elimu acheni roho mbaya na spinning kisa mnajua terminology za uchumi.
 
Mimi ni kweli elimu sina. Ila nyinyi wenye elimu acheni roho mbaya na spinning kisa mnajua terminology za uchumi.
Kwani kwa mfano watu wa utabiri wa hali ya hewa wakisema kuwa kesho kutakuwa na kimbunga kikali sana na kitaua watu kwa maelfu ni wana roho mbaya?Wao si wamechakata tu data na kugundua kuwa kesho kuna kimbunga kikali sana?

Hata mimi nimechakata tu data na kujua kuwa huyo mtoto atakuwa zigo wala simtakii awe zigo.Mtoto ambae hata simjui kwa nini nimtakie awe zigo?!
 
Kwahiyo una wangapi chief?
 
Data gani hizo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Acha spinning wewe msomi. Sasa hali ya hewa na kudai mtoto atakua mzigo kuna uhusiano gani?
Basi hapo data zako zote umetoa kwenye muvi na tamthilia unajiona umemaliza kila kitu.
 
amiana, sasa tuendelee kumwombea na watoto wengine wote ili wakue katika maadili yanayompendeza Muumba wetu.
 
Watoto wa Msasani, Mikocheni, Kigogo, Buguruni, Vegas, Swaz Inter ukimtokea akikubali akikuambia umle jicho ukagoma huyo harudi tena hata umuahidi nini.
 
Data gani hizo?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Acha spinning wewe msomi. Sasa hali ya hewa na kudai mtoto atakua mzigo kuna uhusiano gani?
Basi hapo data zako zote umetoa kwenye muvi na tamthilia unajiona umemaliza kila kitu.
Mambo ya hali ya hewa nimekupa kama mfano tu ili uelewe ninachozungumzia.Mimi hadi kusema kuwa huyo mtoto atakuwa zigo nimechakata data kutoka kwa mleta uzi ,data za matukio ya nyuma kama hayo,data kutoka kwenye tamaduni zetu na kadhalika.
 
Oohh halleluyaah nami ni muhanga wa jinsia nina watatu wa kiume nawish Mungu asikie kilio changu wa4 awe dada wa vijana wangu
Mungu nikumbuke nami kama ulivyomkumbuka kaka huyu [emoji120]
 
Mzee mimi nimesoma saikolojia. Najua juu ya malezi ya mtoto katika saikolojia inatarajiwa nini kiwe na nini kisiwe.

Hoja yako ya mtoto kua karibu na mama siyo tatizo as katika saiokoloji inatarajiwa mtoto wa kike awe karibu na baba, hii huitwa Electra complex, na wa kiume awe karibu na mama, hii huitwa Oedipus complex.

So there is nothing wrong huyo mtoto akiwa karibu na mama.

Mtoto/ binadamu tabia anaidevelop. Inakua shaped kuanzia ndani mpaka nje anapoenda, huyo mtoto kua mzigo kutategemea zaidi na treatment anayogewa na wazazi na wenzake anaokua nao na siyo hiko mnachowaza.

Mnachowaza ni tamthilia na muvi ndiyo zinatoa hizo notions.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Umenichekesha sana.
Ila usisahau kuwa dunia imebadirika sana sio sawa na miaka ya nyuma. Nowadays ata mtoto wa kiume anaweza vuliwa chupi na mashugamammy kama sio kuwa shoga kabsaa
 
Mambo ya hali ya hewa nimekupa kama mfano tu ili uelewe ninachozungumzia.Mimi hadi kusema kuwa huyo mtoto atakuwa zigo nimechakata data kutoka kwa mleta uzi ,data za matukio ya nyuma kama hayo,data kutoka kwenye tamaduni zetu na kadhalika.
Ewe nguli wa elimu ungetutajia chuo ulichosoma kinachofundisha kukusanya data kwenye paragraph nne na kuja na conclusion iliyoshiba kama yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…