princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,245
- 18,347
Tazama ndani yako tazama baraka zako ambazo huzioni dhahiriMkuu nimefanya mara kadhaa mkuu
Bila kinyongo ,bila kumpush Mungu.
Usifanye chochote isipokuwa endelea kumuuliza hilo swali Mungu muumba wako. Usinase kwenye mtego wa kumuomba Mungu Jambo halafu ukajijibu mwenyewe. Nuia nafsini mwako kwa dhati kabisa kwamba utamsubiri Mungu akuongoze nini cha kufanya!. Then subiri SURPRISE yako.Jana nimeleta uzi huu
Kwa muda mrefu sasa Naota sana kurudishwa kurudi shule, kama leo nimeota nachapwa parade
Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa. Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu. Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile...www.jamiiforums.com
Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine, atleast nyie mtakuwa faraja yangu lakini pia fundisho kwa wengine kama nitapata msaada humu.
Kusema kweli sioni chochote chema mbele yangu, hakika ungekuwa unapitia kama yangu utapunguza kunihukumu.
Naogopa watoto wangu watakula mawe kwa maana trend yangu inadidimia kila uchwao.
Kila nachokishisa sio ridhiki kinachangamka ghafla kinaanguka
Ni nini kimenishikilia? Niennde wapi? Nifanye nini?
Wakuu wameniambia hii kuota Kila siku niko shule ni mfumo wa kuwa nimekamataliwa sehemu.
Yani Mungu kanijali uwezo ndani yangu lakini ni mateso yaliyo mshahala wangu.
Naunga mkono hoja yako..mwenye akili na afahamu.Imani ni muhimu kuliko mtaji, tatizo hapo ni credibikity ya hao manabii kama ni feki au ni manabii kweli
Tatizo linaanzia hapo mkuu
Hata marekani wana msemo wao In God we trust
Hii dunia ina siri nyingi sana
Usione watu wanapanda vyeo na kufanikiwa kwenye biashara ukadhani inatokea tu kirahisi rahisi
Kuna siri nyingi nyuma ya pazia
Kunasayansi ipo ambayo haifundishwi chuo haipomashuleni ila ipo mtaani na inafanya kazi watu wansitumia na inawasaidia
Fanya research mkuu
Mkuu NDOTO za shule ni mbaya Sanaa..Mbona kama mleta mada hahasema kuhusu manabii,
Anyway
Ndoto ya kwamba uko shule nani alisema kuwa ndo hurudisha maisha nyuma ama ni dalili,watu wanaota hii kila uchwao na mambo yao ni safi,umejiundia imani ndogo tu.
Punguza manung'uniko,amini unaweza fanya toba na sala na ufanye mambo yako kwa bidii ukiamini kila kitu kiko sawa,mawazo ya mpumbavu humpata(sio kuokota hela)
Tatizo ulilonalo ukimpata mganga mcha Mungu linaisha haraka sana, kama utampata mtu mwema akakupeleka ni sawa.Ahssante mkuu
Nimetumia chumvi
Full moon
Nimeaomba
Nakuombea
Mganga ndio bado tu?
Yani hata nashindwa kuelewa mkuu
SEMA neno zaidi ndugu yangu πPole
Leo nimeota napigana na majitu magiant (watesi).....haya majitu yalinichokoza nikawa linakuja moja baada yamengine nayapiga ngumi mateke mpaka nayatoa meno nayavunja miguu na mikono..nimeyachezeshea kichapo balaa
So haya Ma giant mmoja baada ya mwingine piga nikupige..piga Sana mpaka baadae yakaja mababe mengine yakaanza kuniogopa na kuomba amani na Mimi.
Hii ndoto sijajua Ina maanisha nini imenifikirishaa
FactIli kuskia sauti ya wito wa Mungu kwenye maisha yako,
ni muhimu kujitakasa kwa toba ili maskio ya roho yako yafunguke na upate kuitambua kirahisi sauti ya wito wa Mungu, ya nini Mungu anataka ufanye wapi ili hatimae maelekezo hayo ukiyatimiza yawe Baraka kwako binafsi na furaha kwa watoto na familia yako.
Mungu akuhurumie na akubariki sana gentleman π
Hili linahusu wote,
Kuna mambo ni muhimu kuyaepuka ndrugo zango tunapotafuta baraka na neema za Mungu.
Mathalani,
Kwenye nyumba nyingi za ibada unaweza kuta mtu anatoka kufanya uasherati au uzinzi anaenda kuombewa apate baraka Fulani, bila kutubu kwanza najisi aliyoifanya, kisha tena mtu huyo huyo akitoka kwenye maombezi anarudi tena kwenye uasherati, na kesho anaenda tena kwenye maombi na maombezi vile vile bila kutubu. This can't work my friends ladies and gentlemen π
DUUUUHMkuu NDOTO za shule ni mbaya Sanaa..
Usiku wa kuamkia leo FEB 2024 nilitoa NDOTO ya shule nipo nafanya mtiani wa chemistry mtiani ulikua mgumu kwangu na muda ulikua unaenda haraka pembeni kwenye CHUMBA Cha mtiani alikuepo mdogo angu toka ni toke nikamwomba majibu akawa ananisaidia majibu mpaka nikakusanya mtiani.
Ndoto ilinifikilisha Sanaa Sanaa π jion yake nikagongwa na gari na kuvunjika mguu wangu Mara mbili wiki mbili later dogo nae akapata ajar Kama yangu.
Ndoto Zina maana sanaa
Fact gentlemanIli kuskia sauti ya wito wa Mungu kwenye maisha yako,
ni muhimu kujitakasa kwa toba ili maskio ya roho yako yafunguke na upate kuitambua kirahisi sauti ya wito wa Mungu, ya nini Mungu anataka ufanye wapi ili hatimae maelekezo hayo ukiyatimiza yawe Baraka kwako binafsi na furaha kwa watoto na familia yako.
Mungu akuhurumie na akubariki sana gentleman π
Hili linahusu wote,
Kuna mambo ni muhimu kuyaepuka ndrugo zango tunapotafuta baraka na neema za Mungu.
Mathalani,
Kwenye nyumba nyingi za ibada unaweza kuta mtu anatoka kufanya uasherati au uzinzi anaenda kuombewa apate baraka Fulani, bila kutubu kwanza najisi aliyoifanya, kisha tena mtu huyo huyo akitoka kwenye maombezi anarudi tena kwenye uasherati, na kesho anaenda tena kwenye maombi na maombezi vile vile bila kutubu. This can't work my friends ladies and gentlemen π
Ahsante mkuuTatizo ulilonalo ukimpata mganga mcha Mungu linaisha haraka sana, kama utampata mtu mwema akakupeleka ni sawa.
Ila usiende bila kumfahamu vizuri huyo mganga.
Mkuu unashindwa nini kuangalia upande wa pili, tiba asili? Dunia ni mapambano mkuu na aina huruma hasa sisi ngozi nyeusi,,,ndio maana jamii zetu zilikua zina kila njia ya asili kujilinda kwa kilakitu na walikua wanatimiza na wanatoboa,,,,tusisahau asili zetu bado zinafanya kazi,,,,unakuta wewe huna baya na mtu, ila kuna mtu ana baya na wewe bila sababu yoyote na wala hamna bond yoyote kwa njia yoyote, huo ndio ulimwengu bro,,,kusoma haitufanyi tuache asili zaid tunakua smart kureasoningJana nimeleta uzi huu