Tazama ndani yako tazama baraka zako ambazo huzioni dhahiri
Fikiria hata hao wakaribu yako wasingekuwepo
Chochote kinachokutokea ww sio wa kwanza wala hautokua wa mwisho! Kuna mda shukuru hata labda una wazazi/mke /mume/watoto
Shukuru hata huumwi
Mbona kama mleta mada hahasema kuhusu manabii,
Anyway
Ndoto ya kwamba uko shule nani alisema kuwa ndo hurudisha maisha nyuma ama ni dalili,watu wanaota hii kila uchwao na mambo yao ni safi,umejiundia imani ndogo tu.
Punguza manung'uniko,amini unaweza fanya toba na sala na ufanye mambo yako kwa bidii ukiamini kila kitu kiko sawa,mawazo ya mpumbavu humpata(sio kuokota hela)
Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa. Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu. Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile...
www.jamiiforums.com
Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine, atleast nyie mtakuwa faraja yangu lakini pia fundisho kwa wengine kama nitapata msaada humu.
Usifanye chochote isipokuwa endelea kumuuliza hilo swali Mungu muumba wako. Usinase kwenye mtego wa kumuomba Mungu Jambo halafu ukajijibu mwenyewe. Nuia nafsini mwako kwa dhati kabisa kwamba utamsubiri Mungu akuongoze nini cha kufanya!. Then subiri SURPRISE yako.
Zingatia kwamba thamani ya uweza wa Mungu inadhihirika dhahiri kwenye ukomo wa Uweza wa Mwanadamu.
Mbona kama mleta mada hahasema kuhusu manabii,
Anyway
Ndoto ya kwamba uko shule nani alisema kuwa ndo hurudisha maisha nyuma ama ni dalili,watu wanaota hii kila uchwao na mambo yao ni safi,umejiundia imani ndogo tu.
Punguza manung'uniko,amini unaweza fanya toba na sala na ufanye mambo yako kwa bidii ukiamini kila kitu kiko sawa,mawazo ya mpumbavu humpata(sio kuokota hela)
Mkuu NDOTO za shule ni mbaya Sanaa..
Usiku wa kuamkia leo FEB 2024 nilitoa NDOTO ya shule nipo nafanya mtiani wa chemistry mtiani ulikua mgumu kwangu na muda ulikua unaenda haraka pembeni kwenye CHUMBA Cha mtiani alikuepo mdogo angu toka ni toke nikamwomba majibu akawa ananisaidia majibu mpaka nikakusanya mtiani.
Ndoto ilinifikilisha Sanaa Sanaa 😊 jion yake nikagongwa na gari na kuvunjika mguu wangu Mara mbili wiki mbili later dogo nae akapata ajar Kama yangu.
Tujifunze kutoa sadaka kwa wenye uhitaji na sio kwa manabii...
Dini ya kweli ni hyo...kuona wagonjwa na wafungwa...kidogo tuu ukikitoa kwa watu hao na kumuomba Mungu atakusaidia na wao pia watakuombea..
Kuna vitu vingine inabidi uamue kuomba na kufunga,weka hata siku 10,ziwe za maombi yako mwenyewe,ujiombee sio kutegemea sana kuombewa,utakuja kunishukuru.Kitakachotokea kwanza ni hizo ndoto kukatika na mwishowe utaona milango inaanza kufunguka,ila kuomba na kuishi katika usafi wa kiroho iwe ni sehemu ya maisha yako...
Leo nimeota napigana na majitu magiant (watesi).....haya majitu yalinichokoza nikawa linakuja moja baada yamengine nayapiga ngumi mateke mpaka nayatoa meno nayavunja miguu na mikono..nimeyachezeshea kichapo balaa
So haya Ma giant mmoja baada ya mwingine piga nikupige..piga Sana mpaka baadae yakaja mababe mengine yakaanza kuniogopa na kuomba amani na Mimi.
Hii ndoto sijajua Ina maanisha nini imenifikirishaa

Ndoto ya kuota uko shule siyo mbaya bali ni ufunuo ambao unaoneshwa kuwa hauko peke yako Kuna watu au kuna nguvu iko nyuma yako kukushindia zidi ya tabu zako
Kama unavyo muona mwanafunzi huwa ana wazazi na walim ambao wanakuwa nyuma yake basi na wewe katika matatizo yako Kuna nguvu iko nyuma yako
Ili kuskia sauti ya wito wa Mungu kwenye maisha yako,
ni muhimu kujitakasa kwa toba ili maskio ya roho yako yafunguke na upate kuitambua kirahisi sauti ya wito wa Mungu, ya nini Mungu anataka ufanye wapi ili hatimae maelekezo hayo ukiyatimiza yawe Baraka kwako binafsi na furaha kwa watoto na familia yako.
Mungu akuhurumie na akubariki sana gentleman 🐒
Hili linahusu wote,
Kuna mambo ni muhimu kuyaepuka ndrugo zango tunapotafuta baraka na neema za Mungu.
Mathalani,
Kwenye nyumba nyingi za ibada unaweza kuta mtu anatoka kufanya uasherati au uzinzi anaenda kuombewa apate baraka Fulani, bila kutubu kwanza najisi aliyoifanya, kisha tena mtu huyo huyo akitoka kwenye maombezi anarudi tena kwenye uasherati, na kesho anaenda tena kwenye maombi na maombezi vile vile bila kutubu. This can't work my friends ladies and gentlemen 🐒
Mkuu NDOTO za shule ni mbaya Sanaa..
Usiku wa kuamkia leo FEB 2024 nilitoa NDOTO ya shule nipo nafanya mtiani wa chemistry mtiani ulikua mgumu kwangu na muda ulikua unaenda haraka pembeni kwenye CHUMBA Cha mtiani alikuepo mdogo angu toka ni toke nikamwomba majibu akawa ananisaidia majibu mpaka nikakusanya mtiani.
Ndoto ilinifikilisha Sanaa Sanaa 😊 jion yake nikagongwa na gari na kuvunjika mguu wangu Mara mbili wiki mbili later dogo nae akapata ajar Kama yangu.
Ili kuskia sauti ya wito wa Mungu kwenye maisha yako,
ni muhimu kujitakasa kwa toba ili maskio ya roho yako yafunguke na upate kuitambua kirahisi sauti ya wito wa Mungu, ya nini Mungu anataka ufanye wapi ili hatimae maelekezo hayo ukiyatimiza yawe Baraka kwako binafsi na furaha kwa watoto na familia yako.
Mungu akuhurumie na akubariki sana gentleman 🐒
Hili linahusu wote,
Kuna mambo ni muhimu kuyaepuka ndrugo zango tunapotafuta baraka na neema za Mungu.
Mathalani,
Kwenye nyumba nyingi za ibada unaweza kuta mtu anatoka kufanya uasherati au uzinzi anaenda kuombewa apate baraka Fulani, bila kutubu kwanza najisi aliyoifanya, kisha tena mtu huyo huyo akitoka kwenye maombezi anarudi tena kwenye uasherati, na kesho anaenda tena kwenye maombi na maombezi vile vile bila kutubu. This can't work my friends ladies and gentlemen 🐒
Kiuhalisia maisha yangu yamegubikwa na kutopiga hatua ya maana, ukataa wa muda mrefu na kunung'unika sanaa kutokana na shughuli za kimaendeleo kutolipa. Nikianzisha kitu huwa hakitimii kwa matunda mazuri ingawa Mungu kanjalia ubunifu. Nimesikia mengi kuhusu hzi ndoto,. Je zina maana yoyote ile...
www.jamiiforums.com
Samahani kwa kuanzisha nyuzi nyingine, atleast nyie mtakuwa faraja yangu lakini pia fundisho kwa wengine kama nitapata msaada humu.
Mkuu unashindwa nini kuangalia upande wa pili, tiba asili? Dunia ni mapambano mkuu na aina huruma hasa sisi ngozi nyeusi,,,ndio maana jamii zetu zilikua zina kila njia ya asili kujilinda kwa kilakitu na walikua wanatimiza na wanatoboa,,,,tusisahau asili zetu bado zinafanya kazi,,,,unakuta wewe huna baya na mtu, ila kuna mtu ana baya na wewe bila sababu yoyote na wala hamna bond yoyote kwa njia yoyote, huo ndio ulimwengu bro,,,kusoma haitufanyi tuache asili zaid tunakua smart kureasoning
MSHUKURU MUNGU NA YAKUBALI NA UYATOE MATESO YAKO KAMA SADAKA HAPA DUNIANI, WOKOVU SI KUOMBA NA KUPATA MALI ILA NI KUILINDA IMANI YAKO ILI SIKU ILE KUU UKETI MEZANI NA BWANA HARUSI, NA HUU NDIO UTAJIRI WA KWELI KATIKA KRISTO.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.