Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

Nilifuta meseji za mchepuko ila mke wangu kanionesha zote kwenye simu yangu

Haya mambo ya smartphone haya[emoji23][emoji23], miez kadhaa iliopita nlimkuta mdada kavaa kiboxa mazingiraa ya chuoni anaanika nguo mahali ambako Boyz na gelz tunashare, ikabidi nimpigie picha matakoni, baaada ya muda nikazifuta.

Weee nisijuee kumbe kuna mahala pa trash nikaziona huko,nliogopa sana[emoji28][emoji28]
 
Kuna app ndio zinafanya hivyo ...Sasa wewe mwambie hiyo simu ulinunua used na huzitambui hizo meseji
Hapa nilipo nasikiliza ngoma ya "it wasn't me" ya Shaggy, yaani hivi ndivyo inapaswa iwe, hakuna kukubali hata uwe caught red-handed, mwanaume utakosaje sababu?

Kwanza tangu Dunia hii iwepo haiwezekani kamwe Mwanaume kuwa na mwanamke moja, NEVER.
 
Ilinikuta hii mkuu ila nikafanya mtego usku sikulala ila nilikua nakoloma kama mtu aliyechoka sana. Mida ya saa8 usku hv nikaona mtu kaamka akachukua sim akaanza kuangalia kumbe anaijua pswd yangu.

Nilimpa kofi moja la nguvu sidhan kama atarudia tena[emoji28][emoji28][emoji28]
 
We nae sijui umetoka pori gani,unadakwaje kizembe hivyo?
 
Kuna app ndio zinafanya hivyo ...Sasa wewe mwambie hiyo simu ulinunua used na huzitambui hizo meseji
Sasa Kama messages zinaonyesha tarehe currently na iyo sim upo nayo mda utambishia vip kua sio zako?
 
Hivi simu kumbe ina recycle bin ndio mmenifumbua macho. Naipataje?

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Tecno hawana hii kitu
CODE]
 
Back
Top Bottom