Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

Kuna kundi kubwa sana la watu wanapitia huu wakati mgumu, inapotokea nafasi kama hii, watu wenye uelewa na uwezo wa kutoa msaada wafanye hivyo, mbali na kumsaidia mtoa maada utakua umesaidia watu wengi ambao hawajaamua kuweka wazi Kile wanachopitia.
 
Niliacha form4 kipind nipo secondary nilikuwa nafanya pasipokupenda kutokana na hisia
Ushawahi kusikia kuhusu spirit zinavyo fanya kazi?
(Mambo ya kiroho)
Hicho ndo unachopambana nacho!
Kuna sehemu naweza kukuelekeza kanisani,ila kwanza Anza wewe binafsi kama ambavyo unaikataa hiyo Hali inaonyesha umedhamiria huitaki!
Ss,kwanza jisamehe,tafuta Muda badala ya kuwaza yaliyopita tubu peke yako Kwa Mungu! Mwambie akusanehe ,ukishatubu Anza kukataa hiyo Hali ,Mungu yupo utakua sawa
 
Pole sana kijana kwa kuwa umekiri mwenyewe hupendi Mungu akubadilishe upone na utenge muda wako kuwa karibu na Mungu kila kitu kinawezekana kwake.
 
Napata ukakasi flani hivi....Hii Chai hii
 
Mungu ndiye muweza WA Kila kitu licha ya jitiada utakazo zidi kupga kuondokana na hayo usiache kumshirikisha MUNGU ndiye atakaye kuweza kulishinda Hilo kwasababu shetani ndio mpango wake kuharibu vjana wakiume haswa wote tunaona Dunia ilipofika ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…