Cassnzoba
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 3,661
- 6,913
Afu na mahouse gelo na boyz hawa nao waangaliwe vizuri kwa darubini kaliKwa kweli mh
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Afu na mahouse gelo na boyz hawa nao waangaliwe vizuri kwa darubini kaliKwa kweli mh
SureDah! Pole sana mkuu, Wala usiseme umelaaniwa hapana, acha tu vile vyote vibaya
Staki naogopa
Kuna ule msemo huwa nilikuwa nausikiaga kipindi nipo nakua kichaa anachekesha akiwa sio ndugu yako tuHizi Post zinazidi TU kuongezeka , Nika Kuna campaign Inapigwa,
Japo hii 👆 post ni chai jaba
Okay 👌 babaSawa bae usijali okay??
Usi panic, chchote kinawezekana hapa duniani Cha msingi weka Imani na usikate tamaaKuna ule msemo huwa nilikuwa nausikiaga kipindi nipo nakua kichaa anachekesha akiwa sio ndugu yako tu
Kama ameweza kukaaa toka 4m foo mpk leo maanake ashaanza kuweza kuacha hiyo tabiaUsi panic, chchote kinawezekana hapa duniani Cha msingi weka Imani na usikate tamaa
Kweli kabisaKa
Kama ameweza kukaaa toka 4m foo mpk leo maanake ashaanza kuweza kuacha hiyo tabia
😴😴Okay 👌 baba
Kwanza tibu huo ugonjwa Oyterbay kuna polisi anapelekewa moto na boss wake, kaoa lakini mke kakimbia.Bao la kwanza tu
Kuna kundi kubwa sana la watu wanapitia huu wakati mgumu, inapotokea nafasi kama hii, watu wenye uelewa na uwezo wa kutoa msaada wafanye hivyo, mbali na kumsaidia mtoa maada utakua umesaidia watu wengi ambao hawajaamua kuweka wazi Kile wanachopitia.Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa.
Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni michezo ya kawaida. Kuna kipindi nikaendaga kucheza kwa majirani kuna huyo mtoto ila alikuwa mkubwa kwangu kwa kukadiria kama miaka 5 amenipita nae ilikuwa michezo yake ila mimi nilikuwa sijui. Nae akafanikiwa kipindi natoka shule njiani akiniona mimi naenda anipeleka kichakan ikawa hivyo
Nikafika secondary mimi tayari hisia zangu kwa Mwanaume nikawa naichukia hali ile pia nilikuwa muoga sana kipindi nipo secondary nilingiliwa mara 7 kama sikosei ila sio shuleni. Nilipofika form 4 nikasema hapana nikaacha mpaka nikamaliza chuo ila kipindi hicho nilikuwa nahisia na Mwanaume mwenzangu hasa hawa wapiga gym
Mnielewe mimi nilizaliwa fresh kabisa nina sauti ya kiume wala sina chembechembe zozote wala sina sauti ya kike. Kutoka form 4 mpaka form 6 nikawa napiga punyeto nilivofika chuoni nikapataga mwanamke issue ni kwamba nikawa namwaga chini ya dkk 1, uume hausimami vizuri
Kuna muda nikawa na mawazo sana labda kipindi cha nyuma haswa kipindi kile napumuliwa ndio imesababisha hilo hali ninayo mpaka sasa hivi
Naombeni msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia ni addiction ambayo napambana nayo kuzuia hisia ya kutomtamani Mwanaume mwenzangu kama mtu ana dawa yake mnisaidie
Hospitali naogopa naona aibu haswa ikitokea daktari wa kike kumuelezea hivi hata wa kiume pia kiukweli mimi michezo hii sipendi ila kuna muda unafanya bila kupenda. Naombeni msaada najua mkinisaidia hili hata tatizo la kumwaga litakuwa limesaidika.
Sawa mkuu tunaiongezea hapoBetting is the greatest of them all
Ushawahi kusikia kuhusu spirit zinavyo fanya kazi?Niliacha form4 kipind nipo secondary nilikuwa nafanya pasipokupenda kutokana na hisia
Mungu peke yake ndo atakutoa hapo na sio vinginevyo, amini nakwambia! Sbb hiyo ni spirit,Yesu kawaponya wengi ht we utakuwa sawaViagra ni vya muda mfupi mm nahitaji tiba ya muda mrefu
Pole sana kijana kwa kuwa umekiri mwenyewe hupendi Mungu akubadilishe upone na utenge muda wako kuwa karibu na Mungu kila kitu kinawezekana kwake.Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa.
Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni michezo ya kawaida. Kuna kipindi nikaendaga kucheza kwa majirani kuna huyo mtoto ila alikuwa mkubwa kwangu kwa kukadiria kama miaka 5 amenipita nae ilikuwa michezo yake ila mimi nilikuwa sijui. Nae akafanikiwa kipindi natoka shule njiani akiniona mimi naenda anipeleka kichakan ikawa hivyo
Nikafika secondary mimi tayari hisia zangu kwa Mwanaume nikawa naichukia hali ile pia nilikuwa muoga sana kipindi nipo secondary nilingiliwa mara 7 kama sikosei ila sio shuleni. Nilipofika form 4 nikasema hapana nikaacha mpaka nikamaliza chuo ila kipindi hicho nilikuwa nahisia na Mwanaume mwenzangu hasa hawa wapiga gym
Mnielewe mimi nilizaliwa fresh kabisa nina sauti ya kiume wala sina chembechembe zozote wala sina sauti ya kike. Kutoka form 4 mpaka form 6 nikawa napiga punyeto nilivofika chuoni nikapataga mwanamke issue ni kwamba nikawa namwaga chini ya dkk 1, uume hausimami vizuri
Kuna muda nikawa na mawazo sana labda kipindi cha nyuma haswa kipindi kile napumuliwa ndio imesababisha hilo hali ninayo mpaka sasa hivi
Naombeni msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia ni addiction ambayo napambana nayo kuzuia hisia ya kutomtamani Mwanaume mwenzangu kama mtu ana dawa yake mnisaidie
Hospitali naogopa naona aibu haswa ikitokea daktari wa kike kumuelezea hivi hata wa kiume pia kiukweli mimi michezo hii sipendi ila kuna muda unafanya bila kupenda. Naombeni msaada najua mkinisaidia hili hata tatizo la kumwaga litakuwa limesaidika.
Mungu ndiye muweza WA Kila kitu licha ya jitiada utakazo zidi kupga kuondokana na hayo usiache kumshirikisha MUNGU ndiye atakaye kuweza kulishinda Hilo kwasababu shetani ndio mpango wake kuharibu vjana wakiume haswa wote tunaona Dunia ilipofika ...Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa.