Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

Afu sjui huwa ipoje ,mtoto wa kiume akiingiliwa mara moja,inakuwa anatokewa na hayo mambo sjui wapenda tope huwa wanajuaje,sasa ona anatoka shule jamaa kampeleka kichakan na wakat anaonekana yupo kiume
MOD WANAFUTA MADA ZA MAANA WANAACHA UJINGA KAMA HUU KWELIII..ALIKUWA MALAIKA

INAFUNZA NN HUU UCHAFU
 
Kumbuka kila mtu ana shida zake,wewe unachotakiwa kufanya endelea kuwatafuna wanawake kwa Kasi kubwa,tumia Asali na Kitunguu swaumu,then paka Colgate kwa Babu alafu hakikisha huna wasiwasi,then mambo ya akili slowly utazoe,ukitaka kumwaga chomoa then oga kidogo then endelea hakikisha unatawala game alafu sema I am a real man yes I am.with time utarudi live,usiangalie pornal.
 
iyoo kitunguu swaumu unatafunaa
 
Umenikumbushaa mwamba mmmoja wa ifm miakahioo somebody mosh... dah akawa anakuja beach rainbow wanamgonga live akikupenda anakufwata

Napiga sana mazoezi nkamwambia nikuunge na Watu wa Munguu wakusaidie uache akasema siwezii nataman kila siku

Kule beach wakawa wanampiga mande za maana....

Sasa sikumoja wakatoka na jamaa flan wakaenda kufanya karibu na nyumba ya mzungu kumbe anawaona cctv jamaa walikuwa wawili

Mzungu akamwita mmasai akamsomesha unaona wale nataka wote washugulikiwe

Wana mbwaa kama tembo wawili walinzi wakafungua geti polepoleee wakasakazia mbwa wale aisee dogo alitafunwaa ombooo ngandee kila sehemu na mmmoja wa wafirai nae akaliwa kama panyaaa wakafia pale

Nilisikitika sanaa...rip

Jitahidi kwenda makanisa ya kirohoi watakuombea utaacha hizo n rohoooo

Na ukiona hivyoi kuna baadhi hukoo nyuma ndugu zakooo naoo walikuwa na haka kamchezo so n kama umerithiiii........

Ukawe huru ndugu
 
mtumaini Mungu atakuweka huruuu kweli kweliii.....wapoo wasagajii humu wanasoma wanataman kuachaa naooo wasikkatee tamaaaa muwe karibu na Mungu

mtakuwaa salama kwelikweli
 
Mwenzio anatafuta suluhisho,wee unaleta dhihaka!kwanini lakini
Dhijaka kivipi...yeye suluhisho nilishapea. Atafuta demu mmoja na wanunue strap on basi wanakuwa wanapeana raha
 
Sijaelewa yaani katikati ya mgegeduano wakati unasikia wadhungu wanakuja achomoe aende kuoga?
 
Hii testimony imenitoa machozi.
Angalieni tatizo la kisaikolojia la kudumu linavyomsumbua muathirika wa matendo ya ulawiti kuanzia utotoni.

Mkuu, mtafute Dr. Mariposa akupe tiba ya kisaikolojia kwanza
 
Nenda Maria stopes unaweza saidika. Sijui uko wapi?

Suala lako liko sensitive linahitaji watu sensitive, usipokuwa makini wataendelea kutumia your vulnerability kukumanipulate na utaendelea kuliwa, Men are just curious out there, Kuwa makini.

If you are serious lakini, maana JF nayo.
 
Sijaelewa yaani katikati ya mgegeduano wakati unasikia wadhungu wanakuja achomoe aende kuoga?
so ivoo baada kufungua la kwanza unaenda kupga ukirud mpiran unakuta namapower ya kutosha unakuta ume stimulate
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…