Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

Pole sana dogo maranyingi huwa nasema familia nyingi niviwanda vya kuzalishia mashoga kinachokusumbua baada ya kuingiliwa mapepo yalikuvamia ilikuhalibu mfumo wako wahisia ,huko kutokusimamisha nisababu ya kupiga punyeto kuliko pitiliza fanya toba sali sana hilo swala lita toka, kingine onana na wataalamu wa saikolojiahuyo aliye kuharibu kizazi chake hakitakuwa salama milele
 
Ukirudi sii demu kashalala tena hana stimu
Kwani unapotibu tatizo lazima uje kivingine,na kumbuka hapo akipiga kimoja mpaka mwezi uishe,akizoea hiyo hali atapata kujiamini then atakuja na strength more,na mwanamke ajitambue asiwe mwendo kasi
 
Sawa nitafanya ivo
 
Nimeshaanza kwenda makanisani mkuu
 
Niko serious kuacha sitaki kurudi nyuma
 
Ok sawa asante
 
Baba yangu alipo wapeleka ndugu zetu (wageni) wakalale wodini (hospitali), kipindikile sikumuelewa kabisa.
Ilinichukua miaka mingi kuja kugundua kwanini mzee alifanya vile.
So sad....
Kijana mdogo and he is just 25 yrs old...🤨
Mzee wako alikua anajua hujui kukaza ungeliwa mapema tuu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
toto zembe wewe ulikua unashindwa kusema kwawalezi wako kua unafirw?
Ushaanita mzembe pia huu muda sio wa kunilaumu kitendo kishafanyika ukiwa mtoto ni ngumu sana kusema usifikirie ni rahisi na hata ukisema kile kitu kinakuwa kimekaa kichwani kwa hiyo utatafuta kila namna ukirudie hata nje ya kwenu
toto zembe wewe ulikua unashindwa kusema kwawalezi wako kua unafirw?
 
Pole sana mkuu.
KAMA WEWE NI MKRISTO
sali ile sala ya Baba yetu
ILa isali ukiwa unamaanisha na ukichqmbua kifungu kimoja kimoja.

Nenda hospitali usiogope maana uoga wako ndio anguko lako.

Aibu na watanionaje havijawahi kusaidia hata kodogo
 
Pole sana mkuu.
KAMA WEWE NI MKRISTO
sali ile sala ya Baba yetu
ILa isali ukiwa unamaanisha na ukichqmbua kifungu kimoja kimoja.

Nenda hospitali usiogope maana uoga wako ndio anguko lako.

Aibu na watanionaje havijawahi kusaidia hata kodogo
Asante nitafanya ivo kuhusu hospitali ndio nipo kwenye mpango huo kwenda ila lazima niende safari hii
 
Ni muhimu kwenye hospitali kupata tiba kwanza ambayo itakuondolea misisimko sehemu ya nyuma.

Ukifanikiwa hilo anza mazoezi. Mazoezi ya kujenga misuli zaidi yatakusaidia kupandisha homoni ya kiume na hivyo kuufanya uume kua ngangali.


Usipige nyeto kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…