Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

Aisee ila ngoja nikuambie tu ukweli najisikia vibaya sana na sijafanya huo mchezo toka form4 mpk namaliza chuo kinachonisumbua nachokipambana nacho hizo hisia ambazo zinakuja ndio natafuta tiba yake pia pamoja na uume kulegea hausimami vizuri na kujoa chin dkk 1 pia kwangu sio heshima nitakuwa na amani nikipata tiba na hizi hisia zikitoka kabisa na kuwa huru kama wanaume wengine ni kitu ambacho naomba mungu anisaidie
 
Ok sawa nimekulewa kuhusu hospital bado sijaanza kwenda na mpango wa kwenda mazoezi nimeanza ya kukimbia
 
Pole sana ndugu mungu atakusaidia,
Tafuta mafuta yanaitwa habati soda(black seed oil) tumia kijiko kimoja Kwa siku na Kila unapokunywa chukua na tende Moja au mbili kula fanya Hilo zoezi ndani ya mwezi alafu lete mrejesho.

Usiache mazoezi.
 
Pole sana ndugu mungu atakusaidia,
Tafuta mafuta yanaitwa habati soda(black seed oil) tumia kijiko kimoja Kwa siku na Kila unapokunywa chukua na tende Moja au mbili kula fanya Hilo zoezi ndani ya mwezi alafu lete mrejesho.

Usiache mazoezi.
Ok sawa nitatafuta mazoezi sitaacha
 
Wewe ni mwanaume shababi.

ni sawa umeliwa mara kadhaa lakini hilo halikufanyi nawe ukose uwezo wa kuwala wadada.

Sahau yaliyopita,jiamini na kisha anza maisha mapya.


Usipende kuintertain matatizo ya zamani ukayapata airtime kwamba ndio yanakuletea shida za sasa.

Mapito yameshapita achana nayo anza maisha mengine kama mwanaume,kuanza kukaa na kuuelezea ishu za zamani huwenda ikawa ni ishara ya kwamba unataka kuendelea
 
Limeisha hilo mkuu ni rahis chukua naz na muhogo tafuta kwa pamoja kunywa maji lita moja kisha fanya zoez la kuruka ruka kwa nusu sa kama hiv kwenye video nime attach fanya kama week utakua na hormone na hamu nying ya uume kusimama hivyo utaitaji kuingilia zaid kama utaitaj msaada zaid zipo tiba za program za matunda na maji ya uvugu uvugu kw gharama ya elf 10 tu what app 0712505049
 
aminaaa na aamini uyo piaa kjna
 
Ok sawa mkuu asante
 
Chukua ndizi mbichi choma jikoni ikipata joto menya maganda haraka na uchomeke huko nyumaa
 
Hakuna dawa ya araibu labda kama umepata infection itokanayo na huo uraibu ndo utatibu kwa dawa,,,,nguzo ya kuachana na hii kitu na ndo dawa basi ni akili yako mwenyewe ikubali kuacha hicho kitu ila kama unasema ushauri utakubadilisha huo uongo kaka ,,, akili yako ikatae tu ichi kitu utaacha swala la hisia na wanaume hili ni gumu maana tayari ubongo ushatengeneza flavour sasa fanya iv vutiwa nao ila potezea,,,swala la kumwaga chini ya dk 1 hiyo kawaida kwa binadamu mwenye afya
 
Reactions: 2v1
Peleka ujinga fanya mazoezi achaa mastory na mademu usiangalie movie za kimarekani kula mkuyati na kula vyakula vya kuongeza homoni kukabiliana na addicted yyt inataka maamuzi sio kuja kuongea humu kinyongenyonge kaza broo utalema
 
Nenda hospitali wakusafishe kama bado unaendelea na hiyo michezo..

Epuka kukaa peke yako ama kuingia mitandao inayokishawishi kufanya huo upuuzi.

Omba Mungu kwa imani yako.

Fanya mazoezi na ujiunge na vilabu vya mazoezi..

Mengine waongeze wanasaikolojia, ila hilo la kutamani vidume sijui unasaidikaje aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…