Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa.

Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni michezo ya kawaida. Kuna kipindi nikaendaga kucheza kwa majirani kuna huyo mtoto ila alikuwa mkubwa kwangu kwa kukadiria kama miaka 5 amenipita nae ilikuwa michezo yake ila mimi nilikuwa sijui. Nae akafanikiwa kipindi natoka shule njiani akiniona mimi naenda anipeleka kichakan ikawa hivyo

Nikafika secondary mimi tayari hisia zangu kwa Mwanaume nikawa naichukia hali ile pia nilikuwa muoga sana kipindi nipo secondary nilingiliwa mara 7 kama sikosei ila sio shuleni. Nilipofika form 4 nikasema hapana nikaacha mpaka nikamaliza chuo ila kipindi hicho nilikuwa nahisia na Mwanaume mwenzangu hasa hawa wapiga gym

Mnielewe mimi nilizaliwa fresh kabisa nina sauti ya kiume wala sina chembechembe zozote wala sina sauti ya kike. Kutoka form 4 mpaka form 6 nikawa napiga punyeto nilivofika chuoni nikapataga mwanamke issue ni kwamba nikawa namwaga chini ya dkk 1, uume hausimami vizuri

Kuna muda nikawa na mawazo sana labda kipindi cha nyuma haswa kipindi kile napumuliwa ndio imesababisha hilo hali ninayo mpaka sasa hivi

Naombeni msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia ni addiction ambayo napambana nayo kuzuia hisia ya kutomtamani Mwanaume mwenzangu kama mtu ana dawa yake mnisaidie

Hospitali naogopa naona aibu haswa ikitokea daktari wa kike kumuelezea hivi hata wa kiume pia kiukweli mimi michezo hii sipendi ila kuna muda unafanya bila kupenda. Naombeni msaada najua mkinisaidia hili hata tatizo la kumwaga litakuwa limesaidika.
Kuna doctor anaitwa kilingo TRA yupo zanzibaR atakusaidia ni mtaalam wa saikolojia ....znz kuna kipind walitaka kufukuza sababu ya saikolojia
 
IMG_20240910_142850.jpg
 
Mkuu habari,

Kwanza hongera kwa kuwa jasiri na kuliweka wazi lile likusumbualo.

Njia ya kwanza ya kupona ni kujua kinachokusumbua,na pia kuchukua hatua stahiki za kuweza kulitatua.

Hatua ya pili ni kutafuta mtu ambae wewe utamuamini na kuyazungumza kwa kina yale uliyonayo moyoni.

Safari ya kupona haina KUCHELEWA ,hivo huu ni wakati SAHIHI.

Pia tambua , Mtandaoni kila mmoja ana maoni yake,Hivo jikite kwenye kuusoma ujumbe wa mtu na kuuacha kama ulivo.Maana ukiuweka kichwani kila tusi ,dhihaka au maskhara ya mtu unaweza kujiona weye si mtu.

Niko tayari tuzungumze kwa kina kuona namna gani ya kufanya.

Karibu pm kwa mazungumzo zaidi.

Mkuu mbona naona kabisa kama unampango kabambe wa kumla huyu choko?
 
Hilo liko kisaikolojia. Unatakiwa kuwa very strong kuikataa hiyo hali pindi hisia zinapokujia. Anza kwa kujifanyisha mazoezi na kujipa activities zinazokufanya usipate muda mwingi wa free. Ukiwa free tafuta mwanamke mnayeweza kuongea lugha moja na isitokee akaongea kauli ikakutoa relini. Ndio maana nasema unatakiwa kuwa very strong mentaly.

Tafuta mtu unayeweza share naye jambo kama hili hasa la kuwahi kumwaga. Miaka 25 we mtu mzima kabisa unaweza ku manage hili vizuri
 
Sasa huko wale washenzi si watampiga mtungo wampoteze kabisa.
Hospitali nyingi hasa za government ukienda na magonjwa ya ajabu ni mwendo wa kupigwa spana mpaka akili itakukaa sawa mgonjwa.

Bora are opt private hospital or kwa hawa matibibu wa kiasili.

Au aonane na Arsis ana babu yake anaitwa jini bakora anaweza msaidia
 
Back
Top Bottom