dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Mbna kam ww ni wakal wa she tani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chukua hii mtoa madaMuhimu mazoezi. Yako mazoezi yanaitwa kegel. Fanya sana hayo. Kuwa pia karibu na huyo mwanamke. Mpendezeshe kwa vitu vitakavyoamsha hisia zako kwake. Kula vizuri
Haujalaaniwa mkuuAsante sana kuna mda huwa nahisi kama nimelaaniwa hivi
Niliacha form4 kipind nipo secondary nilikuwa nafanya pasipokupenda kutokana na hisia
Ila ID za jana zina visanga vya kusisimua sana
Sasa visa vyao ndo balaa wako moto wana hasira vibaya mnoNa jana nahisi tumevunja record ya kupata members wapya wengi
Bahati mbaya fursa ya kutotaja majina yetu halisi na wapi tunatoka kwa maana ya kazi ndio yanakupa weye uhuru wa kuyasema haya.Mkuu mbona naona kabisa kama unampango kabambe wa kumla huyu choko?
Asante sana mungu anisaidie kwa kweliDah....!
Msaada wako uko Kwa Yesu....!
SHETANI alifanikiwa kufanya kitu ukiwa Tumboni...!
That's why ulipoanza kukua hukuitaji wewe kuwaambia watu una feel Nini, ulikua una feel wewe, then wao Wana take Action....!
Issue za Ushoga na Usagaji ni mpango wa SHETANI, na zinakua planted toka Mimba.....!
Lengo la SHETANI kuharibu Watoto kama wewe....!
Sikujui wewe ila najua tu wewe sio mtu wa kawaida, na hautakua mtu wa kawaida, I mean utakua Mtu Mkuu baadaye..... !
Vile utavyokua SHETANI aliona kabla, ili kuzuia usiwe yule alifanya kile kilifanya uwe ulivyokua...!
Yesu tu atakuponya na Makovu na Maumivu yote....! Na utakua Mwanaume kama Wengine...!
Ulichonacho ni Evil Spirit, ikiondoka utakua huru...!
Mungu akusaidie.
Vyote kwa pamoja mnisaidieSasa tukusaidie kupoteza hisia kwa wanaume wenzako au tukusaidie tatizo la pre mature ejaculation?
Niko dae ndioUpo dar? Kama upo na upi tayari niku connect na therapist he is my staff mate amewasaidia wengi..
DUh! Huu wa kuvaa strapon nao ni ushoga uliojifichaWee usiniambie kumbe inabidi na mie niende gym. Sasa mwanawane hapo mbona rahisi tuu. Sii una mwambia tuu gelofrend wako avae strapon alafu anakugegeda na wee unamgegeda.
Suala la dakika moja kumwaga mbona wee afadhali mwenzio sekunde ishirini chali
AsanteNakutakia kila laheri..... Unaweza kutoka huko ukiamua, lipo ndani ya uwezo wako
Pole sana kijana.Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa.
Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni michezo ya kawaida. Kuna kipindi nikaendaga kucheza kwa majirani kuna huyo mtoto ila alikuwa mkubwa kwangu kwa kukadiria kama miaka 5 amenipita nae ilikuwa michezo yake ila mimi nilikuwa sijui. Nae akafanikiwa kipindi natoka shule njiani akiniona mimi naenda anipeleka kichakan ikawa hivyo
Nikafika secondary mimi tayari hisia zangu kwa Mwanaume nikawa naichukia hali ile pia nilikuwa muoga sana kipindi nipo secondary nilingiliwa mara 7 kama sikosei ila sio shuleni. Nilipofika form 4 nikasema hapana nikaacha mpaka nikamaliza chuo ila kipindi hicho nilikuwa nahisia na Mwanaume mwenzangu hasa hawa wapiga gym
Mnielewe mimi nilizaliwa fresh kabisa nina sauti ya kiume wala sina chembechembe zozote wala sina sauti ya kike. Kutoka form 4 mpaka form 6 nikawa napiga punyeto nilivofika chuoni nikapataga mwanamke issue ni kwamba nikawa namwaga chini ya dkk 1, uume hausimami vizuri
Kuna muda nikawa na mawazo sana labda kipindi cha nyuma haswa kipindi kile napumuliwa ndio imesababisha hilo hali ninayo mpaka sasa hivi
Naombeni msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia ni addiction ambayo napambana nayo kuzuia hisia ya kutomtamani Mwanaume mwenzangu kama mtu ana dawa yake mnisaidie
Hospitali naogopa naona aibu haswa ikitokea daktari wa kike kumuelezea hivi hata wa kiume pia kiukweli mimi michezo hii sipendi ila kuna muda unafanya bila kupenda. Naombeni msaada najua mkinisaidia hili hata tatizo la kumwaga litakuwa limesaidika.
Ndio nafika mshindoMtoa mada pole kwa unayopitia
Ntakuuliza maswali machache tujue tunaanzia wapi
1 Ukiwa unaingiliwa unapata erection na unafika mshindo?
2 Ukikaa na vijana wenzako wa kiume unakua na hali gani UNAJIAMINI? HAUHISI UOGA KUA INFERIOR?
3 Mtu gani unamuangalia kama Idol wako
DahMimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa.