Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ameeleza kila kitu Ndugu?Sasa tukusaidie kupoteza hisia kwa wanaume wenzako au tukusaidie tatizo la pre mature ejaculation?
JF yetu ya sasa....Mkuu weka namba ya simu. Soko lenu lipo vizur
Swali la 3 ni muhimuNdio nafika mshindo
Nikikaa na vijana wenzangu huwa najiamini kabisa huwa siogopi
Ni kweli kabisa machoko humu ni wengi umakini unahitajika.ndugu yangu,hakuna dawa zaidi ya mazoezi fanya zaidi na zaidi,usiende gym wee nenda pwani au road push up,sqush,runs kwa wingi fanya kama mwezi then piga mzigo.
but ukielezea hilo tatizo hovyo kuna wengine utawafata nao ni michezo yao badala ya kusolve itakaribisha tatizo zaidi,nakusihi pambambana kupitia mazoezi.
mazoezi huongeza homoni za kiume kwa kiasi kikubwa.
Kama unapata erection bado nafasi ipo kubwa ya kurudi katika hali ya kawaida fika hospitali usaidikeNdio nafika mshindo
Nikikaa na vijana wenzangu huwa najiamini kabisa huwa siogopi
Kumwangalia kivipi sijakuelewaSwali la 3 ni muhimu
Sijitangazi ushoga hapa nahitaji tu msaada kuepuka hili tatizoKwahiyo unaona fahari kujitangazia ushoga!
Dalili inaonesha hivyo acha maneno mengi dogo una mpango umle huyo chokoBahati mbaya fursa ya kutotaja majina yetu halisi na wapi tunatoka kwa maana ya kazi ndio yanakupa weye uhuru wa kuyasema haya.
Sitaki kuhukumu wala sitakasirika ,ila jitahidi kuwa upande wa yule ambaye unajipa uhuru wa kumsema vibaya kama ambavo umeandika hapa.
Jiulize kama ningekupa shutuma hizi ungejisikiaje?
Jitahidi sana kujiheshimu.
Hiyo ni issue ya kisaikolojia nakushauri kitu.Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa.
Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni michezo ya kawaida. Kuna kipindi nikaendaga kucheza kwa majirani kuna huyo mtoto ila alikuwa mkubwa kwangu kwa kukadiria kama miaka 5 amenipita nae ilikuwa michezo yake ila mimi nilikuwa sijui. Nae akafanikiwa kipindi natoka shule njiani akiniona mimi naenda anipeleka kichakan ikawa hivyo
Nikafika secondary mimi tayari hisia zangu kwa Mwanaume nikawa naichukia hali ile pia nilikuwa muoga sana kipindi nipo secondary nilingiliwa mara 7 kama sikosei ila sio shuleni. Nilipofika form 4 nikasema hapana nikaacha mpaka nikamaliza chuo ila kipindi hicho nilikuwa nahisia na Mwanaume mwenzangu hasa hawa wapiga gym
Mnielewe mimi nilizaliwa fresh kabisa nina sauti ya kiume wala sina chembechembe zozote wala sina sauti ya kike. Kutoka form 4 mpaka form 6 nikawa napiga punyeto nilivofika chuoni nikapataga mwanamke issue ni kwamba nikawa namwaga chini ya dkk 1, uume hausimami vizuri
Kuna muda nikawa na mawazo sana labda kipindi cha nyuma haswa kipindi kile napumuliwa ndio imesababisha hilo hali ninayo mpaka sasa hivi
Naombeni msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia ni addiction ambayo napambana nayo kuzuia hisia ya kutomtamani Mwanaume mwenzangu kama mtu ana dawa yake mnisaidie
Hospitali naogopa naona aibu haswa ikitokea daktari wa kike kumuelezea hivi hata wa kiume pia kiukweli mimi michezo hii sipendi ila kuna muda unafanya bila kupenda. Naombeni msaada najua mkinisaidia hili hata tatizo la kumwaga litakuwa limesaidika.
Kwa kweli inauma sana, pole mshikaji ila kaza moyo tu.....muone mwanasaikolojia atakupa ushauri mzuri kama naye si mpenzi wa hiyo michezo maana Tanzania bwana kila mtu ni msanii kivyake.Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa.
Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni michezo ya kawaida. Kuna kipindi nikaendaga kucheza kwa majirani kuna huyo mtoto ila alikuwa mkubwa kwangu kwa kukadiria kama miaka 5 amenipita nae ilikuwa michezo yake ila mimi nilikuwa sijui. Nae akafanikiwa kipindi natoka shule njiani akiniona mimi naenda anipeleka kichakan ikawa hivyo
Nikafika secondary mimi tayari hisia zangu kwa Mwanaume nikawa naichukia hali ile pia nilikuwa muoga sana kipindi nipo secondary nilingiliwa mara 7 kama sikosei ila sio shuleni. Nilipofika form 4 nikasema hapana nikaacha mpaka nikamaliza chuo ila kipindi hicho nilikuwa nahisia na Mwanaume mwenzangu hasa hawa wapiga gym
Mnielewe mimi nilizaliwa fresh kabisa nina sauti ya kiume wala sina chembechembe zozote wala sina sauti ya kike. Kutoka form 4 mpaka form 6 nikawa napiga punyeto nilivofika chuoni nikapataga mwanamke issue ni kwamba nikawa namwaga chini ya dkk 1, uume hausimami vizuri
Kuna muda nikawa na mawazo sana labda kipindi cha nyuma haswa kipindi kile napumuliwa ndio imesababisha hilo hali ninayo mpaka sasa hivi
Naombeni msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia ni addiction ambayo napambana nayo kuzuia hisia ya kutomtamani Mwanaume mwenzangu kama mtu ana dawa yake mnisaidie
Hospitali naogopa naona aibu haswa ikitokea daktari wa kike kumuelezea hivi hata wa kiume pia kiukweli mimi michezo hii sipendi ila kuna muda unafanya bila kupenda. Naombeni msaada najua mkinisaidia hili hata tatizo la kumwaga litakuwa limesaidika.
HahaaaaAloooooooo.......
Afu sjui huwa ipoje ,mtoto wa kiume akiingiliwa mara moja,inakuwa anatokewa na hayo mambo sjui wapenda tope huwa wanajuaje,sasa ona anatoka shule jamaa kampeleka kichakan na wakat anaonekana yupo kiume
Asee nilijua mimi mbovu maana dakika nne tu chaliii kumbe kuna wasekunde 20?Wee usiniambie kumbe inabidi na mie niende gym. Sasa mwanawane hapo mbona rahisi tuu. Sii una mwambia tuu gelofrend wako avae strapon alafu anakugegeda na wee unamgegeda.
Suala la dakika moja kumwaga mbona wee afadhali mwenzio sekunde ishirini chali