Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

Pole sana sijui dini ipi ila jiweke karibu na Mungu pia ikatae hali hio kila ukitamani kemea hio hali ikatae ushoga usagaji ni mapepo yana control mind yako yanakupa matamanio dawa kukataa itaenda itapotea pia upate msaada wa kitabibu mcheck Dr Matthew yupo Instagram alisema anasaidia wanaume watched ushoga hata hapa JF yupo.
 
Acha aibu una shida kweli mcheck
 
Attachments

  • Screenshot_20240910-191834.jpg
    Screenshot_20240910-191834.jpg
    784.6 KB · Views: 11
Pole kijanaa

Jikaze wewe ni DUME KUKATIKIA MAUNO MWANAUME MWENZIO ni kujiendekeza.

Imekua FANTASY yako Sasa Ila ukiamua ni very easy kwani Kuna utamu mnasikiaga..

NB.
Kuna uraibu mgumu kuacha ku mention few
*Sigara
*Madawa ya kulevya ie. Unga
*Bangi
*POMBE
*Nyeto
Betting is the greatest of them all
 
Mkuu mimi nakushauri kuwa busy na mambo yako, Fanya vile vitu unapenda, Kunuwa beer , Tafuta mademu wa kila aina. Uwanaume wako utarudi tu.. kumbuka beer kama safari itakufanya pia uchelewe kukojoa, na hivyo itakuongezea confidence
 
Afu sjui huwa ipoje ,mtoto wa kiume akiingiliwa mara moja,inakuwa anatokewa na hayo mambo sjui wapenda tope huwa wanajuaje,sasa ona anatoka shule jamaa kampeleka kichakan na wakat anaonekana yupo kiume
N Kama computer,..Kuna kitu kinaitwa cache..huwa ni Kama kumbu kumbu...inabakia na mtu anaependa mambo hayo nae akikuona tu basi n Kama tabia Zina match
 
Pole kupambana na addiction ni issue nyingine isee ila wewe umeonyesha kabisa hutaki huo mchezo..i hope utafanikiwa kuacha kabisa na kuwa dume la mbegu ka sisi wengine asilimia [emoji817]
Mimi nakushauri niongeleshe wewe mwenye mara nyingi kuwa wewe ni kidume na ukitaka mwanmke yyte unampata na unaweza kufanya mapenzi muda mrefu..
Then tongoza sana wanawake usiogope kukatatiliwa we tongoza tu then wanaokubali fanya nao utaona mabadiliko..
Unamshauri akazini, baada umshauri aoe
 
Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa.

Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni michezo ya kawaida. Kuna kipindi nikaendaga kucheza kwa majirani kuna huyo mtoto ila alikuwa mkubwa kwangu kwa kukadiria kama miaka 5 amenipita nae ilikuwa michezo yake ila mimi nilikuwa sijui. Nae akafanikiwa kipindi natoka shule njiani akiniona mimi naenda anipeleka kichakan ikawa hivyo

Nikafika secondary mimi tayari hisia zangu kwa Mwanaume nikawa naichukia hali ile pia nilikuwa muoga sana kipindi nipo secondary nilingiliwa mara 7 kama sikosei ila sio shuleni. Nilipofika form 4 nikasema hapana nikaacha mpaka nikamaliza chuo ila kipindi hicho nilikuwa nahisia na Mwanaume mwenzangu hasa hawa wapiga gym

Mnielewe mimi nilizaliwa fresh kabisa nina sauti ya kiume wala sina chembechembe zozote wala sina sauti ya kike. Kutoka form 4 mpaka form 6 nikawa napiga punyeto nilivofika chuoni nikapataga mwanamke issue ni kwamba nikawa namwaga chini ya dkk 1, uume hausimami vizuri

Kuna muda nikawa na mawazo sana labda kipindi cha nyuma haswa kipindi kile napumuliwa ndio imesababisha hilo hali ninayo mpaka sasa hivi

Naombeni msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia ni addiction ambayo napambana nayo kuzuia hisia ya kutomtamani Mwanaume mwenzangu kama mtu ana dawa yake mnisaidie

Hospitali naogopa naona aibu haswa ikitokea daktari wa kike kumuelezea hivi hata wa kiume pia kiukweli mimi michezo hii sipendi ila kuna muda unafanya bila kupenda. Naombeni msaada najua mkinisaidia hili hata tatizo la kumwaga litakuwa limesaidika.
Nenda hospitali wakupe vidonge vya hormone
 
Aiseee
 
Dah!
Nakumbuka mnamo mwaka 95 tulienda mahali kufanya shughuli Kwa kipindi Cha miezi kadhaa. Tulikua na mwenzangu akinizidi kama miaka miwili hivi. Siku moja usiku tumelala katika mazungumzo ya kutafuta usingizi baada ya shughuli za kutwa nzima, ghafla akasema tupigane kazi Kwa zamu, nimuanze yeye Kisha itafuatia zamu yangu. Mazungumzo yaliishia hapo. Nilichefukwa sana, kwanza hata mahusiano na mwanamke sikuwa nimewahi kujaribu. Pili, nilikua mtu wa ibada sana.

Ndio siku hizi natafakari huenda yule mwenzangu alikua ameshaanza haya mambo kitambo, alikua mziefu. Aliweka bayana kabisa nimuanze yeye. Inamaana hata kama ningekataa kusinfekua na tatizo lakini yeye alikua ameridhia.

Kutokana na hilo tukio, wazazi tuongeze umakini kwenye malezi ya watoto wetu, hasa wa kiume. Suala la kuwalaza na watu wengine iwe ni ndugu au wageni wa aina yoyote Ile, liepukwe kadri inavyowezekana.
 
Back
Top Bottom