Nilihitimu elimu ya juu katika Chuo cha Uhasibu Arusha (I.A.A) mwaka 2009. Is this purely coincidental?


Isije kua wewe ndio Leodgar Tenga bana
 
Chuo cha uhasibu Arusha chini ya Prof. Amani Sedoyeka kimefanya maboresho makubwa sana

Teacher Sedo
Sedoyeka kanifundisha Artificial Intelligence, akiwa chuo kimoja hapo Dar kabla aende Arusha.
Yuko poa jamaa, and very humble.
 
Sedoyeka kanifundisha Artificial Intelligence, akiwa chuo kimoja hapo Dar kabla aende Arusha.
Yuko poa jamaa, and very humble.

Mwaka ganiπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Chuo nakijuaπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Eleza namna anavyoichafua nchi.
Tanzania ni Taifa ambalo linaendeshwa kupitia demokrasia na viongozi wake hupatikana katika michakato ya kidemokrasia na demokrasia ni haki ya msingi ya raia wa Tanzania lakini katika uchaguzi mkuu uliopita Samia suluhu akiwa kama makamu wa Rais alisikika akisema kuwa hata kama wananchi watachagua vyema vya upinzani CCM itaunda serikali kwa nguvu.

Samia anaichafua Tanzania inayoamini kuwa demokrasia ni haki ya msingi wa raia wake.Sasa hivi Tanzania inaonekana duniani kama Taifa linaloongozwa kidikteta.Huu ni uchafuzi unaopaswa kulaaniwa kwa kila mwenye pumzi!
 
Alisikika akiongea wapi?

Demokrasia ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…