Kazuri Kadada
JF-Expert Member
- Jul 8, 2014
- 536
- 435
Kama miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Samia Nyie wengine ni wachumia tumbo tu kama Lissu.
Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.Kama miaka mitano tu Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati je tukimpa miaka kumi mingine itakuwaje?
Daah, Salute kaka Mkubwa...!Mkuu, mimi nimezaliwa mwaka 1984. Mimi sio mtoto mwenzio aisee
Hahahahaaaa mkuu watu walinifuata PM wakisema niachane na mambo ya shikamoo kwa maana ninawazeesha kabla ya wakati.Sawa asee.ila we jamaa una mambo ya pekee mfano huko nyuma ulikua unaanza thread kwa kusalimia shkamoo.
[emoji23][emoji23]Hahahahaaaa mkuu watu walinifuata PM wakisema niachane na mambo ya shikamoo kwa maana ninawazeesha kabla ya wakati.
Nilipoacha kuwasalimu kwa kusema shikamoo, sasa hivi wanasema najiona nimekuwa mkubwa nimeanza dharau.
Nimeamua kuachana nao tu mkuu. Nikisema Good Morning inatosha sana kwa sasa.
Yes bro. Mungu hakupenda niwe mjedan kweli ulifaa kuwa mjeshi ila ndo hvo haikuwesekana.
Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania, huyo Lissu msaliti wa Nchi mrudisheni ubeligiji.Lissu hakuna kituo hata kimoja aliweza kuwa mbele ya Samia na JPM mwaka uchaguzi wa 2020. Kipigo alichopewa October 2020 kilimfanya awachukie Watanzania wote.
Lissu Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Samia.Rais Samia ni kipenzi cha Watanzania, huyo Lissu msaliti wa Nchi mrudisheni ubeligiji.
Kumbe umri umesogea, nilijua nyoka mdogoThanks bro. Kwanini unanipa salute mkuu?
Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Samia ataitupeleka uchumi wa juu.Lissu Aliwatetea Mabeberu baada ya kuona maji yamezidi Unga yakaja kuomba radhi kwa Rais Samia.
madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October mwaka jana 2020 tulimpigia kura Samia kwa 98% Rais Samia kipenzi cha Watanzania.Tanzania haipo kwenye orodha ya Nchi maskini Rais Samia ametupeleka uchumi wa kati Naamini miaka mitano ijayo Rais Samia ataitupeleka uchumi wa juu.
Rais Samia kipenzi cha Watanzania tumchagua kwa kishindo 2025.madaraja,barabara, umeme nk yanarahisisha maisha kwa kupunguza gharama za usafiri Kwahiyo October mwaka jana 2020 tulimpigia kura Samia kwa 98% Rais Samia kipenzi cha Watanzania.
Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. Rais samia ndio shujaa wetu.Rais Samia kipenzi cha Watanzania tumchagua kwa kishindo 2025.
2025 tutawashawishi wananchi wampe Samia ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. Rais samia ndio shujaa wetu.
Kwa utendaji wa RAIS Samia Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha achape kazi, watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Samia atashinda mafisadi.2025 tutawashawishi wananchi wampe Samia ushindi wa 90% Ushindi huu ni wa asante kwa kazi kubwa aliyoifanya.
Rais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.Kwa utendaji wa RAIS Samia Sisi kama watanzania tulipaswa kumuacha achape kazi, watanzania ,Afrika ,Dunia inajua Rais Samia atashinda mafisadi.
Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.Rais Samia amefanya mambo makubwa mazuri kwa muda mfupi wa utawala wake.
Kinachowafanya Wapinzani waweseke ni Kwasababu Rais Samia ame wa outsmart kwa kila kitu.Rais Samia ni mtu mwenye huruma nami nakubaliana naye kabisa. Wanaomuogopa Rais Samia ukiwafuatilia kwa makini utagunduza kuwa ni watenda maovu na wanashikwa na uwoga kutokana na uovu wanaoutenda.
Sedoyeka mwalimu wangu wa artificiall intelligence (AI) pale IFM mwaka 2012.those days alikua ana hold title ya Doctor bado.....