Dabodaiga
JF-Expert Member
- Mar 20, 2023
- 441
- 706
Anataka pole hataki kulamba chochote[emoji23]Mkono mtupu haulambwi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anataka pole hataki kulamba chochote[emoji23]Mkono mtupu haulambwi
Umesoma Uzi wake wote? Kuna mabaya mumewe aloyafanya na hataki kuyaandika hapa.Hapana angekua ni mkweli asingeficha kisa Cha kukimbiwa na mwanaume wake, uongo uanzia hapo maana anaficha source ya tatizo lake
Hujasoma alichokisema huyo dada?Sio Mimi mkuu. Sii mjinga. Wadada kama huyu wengi saana. Na wanaliwa Sana Kwa sababu ya shida ya maisha.
1. Inakuaje hujui unalipa sh ngapi Kodi na mwez ni wangapi.
2. Vipi hauwi mnyenyekevu kwa kiongozi wa familia yaani mumewe.
3. Kwa nini unalea watoto pekeako. Maana mumeo asingekuacha nao.
Muulize chanzo Cha kukimbiwa ni nini ? Akikwambia nitag nipo pale namalizia kahawa yanguBaba yao kama walivyo wababa wengine wapuuzi, alikua anatafuta njia ya kujirudi Kwa mwanamke aendelee kupasha viporo.
Lkn pia inawezekana mpaka akataka kujirudi nisababu alipokuja mambo yalibadilika.
Ni chaguzi sahihi sana ALOFANYA mtoa Mada hata kama ana shida ya Uchumi.
Kuhusu wababa kutulia kwenye Ndoa zao, hapa suala ni Akili ya Mwanaume mwenyewe , Kuna hao wanachepuka na kusahau familia, alafu Kuna Mimi, nachepuka lkn Huniambii kitu Kwa Wife na wanangu na wanangu wengine.
Hapo jamaa ameshaharibu. Kitu kibaya unaweza mfanyia mwanamke anayekuamini ni kumuacha kipindi anakuhitaji.Pole Sana.Kwa naona ambavyo mungu aliweka mapango wa ndoa,Ni tatizo kubwa sana kumwacha mke au mume wako wa kwanza pindi anakupenda na hajakutenda chochote kibaya,Ni laana kubwa.Hicho Ndo kinampata mume wako.Cha msingi muna watoto ambao Ni damu yake ebu msikilize, tayari atakuwa amepata funzo na atakuwa ameshajifunza,husimfiche watoto waishi wakijua Wana baba yao na kamwe husiwausishe mabaya ya baba yao kwa wakati huu.Kuna funzo ambalo wanaume wengi tunabidi tujifunze,hakuna mwanamke mzuri kuliko uliyenaye,huyo Ndo baraka kwako.
Kwa jinsi alivyomalizia kuna ujumbe ameufikisha tuliosoma cuba tumeelewa.Anataka pole hataki kulamba chochote[emoji23]
Jitahidi kutunza hizo chating zitakusaidia mbele ya safari,mweleze vizuri kama ni jukumu lake kulea watoto na vyovyote anavyokujibu we tunza chating record calls,kigezo cha mpaka muwe faragha ni cha kijinga sana,inamaana kama anataka kuwahudumia watoto ni wajibu na sio suala la kuanza kuweka masharti,maybe kama ni makubaliano mengine nje ya kulana,that man is idiot.Kuwasaidia watoto ni mpaka akutane na mimi faragha? Mwenye nia ya kuwasaidia watoto angewasaidia tu, ndio maana nikikataa analeta maneno kama nilyosema kuwa nina jeuri, kiburi, nitakuwa na mwanaume ambaye ananipa kiburi, na kusema hatawasaidia kwa kuwa nakataa.
Nadhani hamjaelewa, lengo la msaada wake ni mpaka akumbushie na mimi maana yake apashe kiporo, nimeandika bila kufunguka nikajua mnaweza kuelewa.
Mimi na yeye tulishamaliza safari, siwezi kuruhusu hicho kitu kitokee abadani asilani eti ili watoto wapate matunzo.
True. Imagine kwa idadi yetu, members hata 1000 wakijichanga 10K kila m'moja then apatiwe huyu dada ina maana atapata kama 10 milioni ambayo hiyo itamtosha kubadili life yake, atafungulia biashara na ataweza kumudu kupata hata sehemu ya vyumba vitatu kwa kipindi hiki na pia anaweza kupata kiwanja akaanza ujenzi wa nyumba ya kudumu.Jamiiforum wangeweka utaratibu wa wao kudhibitisha identify ya mtu, kisha wanaoguswa wakaweza kumsaport mtu kwa account ya jamiiforum, wengi wanapitia magumu ambayo kwa kidogo mtu alichonacho kingeleta relief.
All in all pole sana dada angu.
Sema wewe ni mkongwe hapa lakiniKuwasaidia watoto ni mpaka akutane na mimi faragha? Mwenye nia ya kuwasaidia watoto angewasaidia tu, ndio maana nikikataa analeta maneno kama nilyosema kuwa nina jeuri, kiburi, nitakuwa na mwanaume ambaye ananipa kiburi, na kusema hatawasaidia kwa kuwa nakataa.
Nadhani hamjaelewa, lengo la msaada wake ni mpaka akumbushie na mimi maana yake apashe kiporo, nimeandika bila kufunguka nikajua mnaweza kuelewa.
Mimi na yeye tulishamaliza safari, siwezi kuruhusu hicho kitu kitokee abadani asilani eti ili watoto wapate matunzo.
Hapana Mimi nasimama upande wa mumewe mpaka akisema chanzo Cha yeye kukimbiwa ni nini ? Kwanini anaficha chanzo we hutatoaje hukumu bila kujua chanzo Cha tukio lenyewe husika, huyu anajua alichokosea tho kwenye mgogoro kila mtu anakua na % zake za ukosefu yeye hawezi akayaanika mabaya yake hapa kuelezea kua alimkosea nini hadi akamkimbia sababu hataki kuusema ukweli usipolijua hilo ni ngumu kung'amua ukweli, Ila nimebaini hasemi ukweli km anaficha chanzo Cha tatizo,Umesoma Uzi wake wote? Kuna mabaya mumewe aloyafanya na hataki kuyaandika hapa.
Ukweli nikwamba amekua jasiri kiasi Cha kuandika hapa na pengine ameandika huku analia.
Kama Kuna sababu za kwake, ninkwann Mumewe baadae aanze kujirudi??.
Mimi nimeona, ninachepuka sana, Mke wangu ni mwema na mtulivu na kanizalia watoto wazuri sana.Muulize chanzo Cha kukimbiwa ni nini ? Akikwambia nitag nipo pale namalizia kahawa yangu
Point.Hapo jamaa ameshaharibu. Kitu kibaya unaweza mfanyia mwanamke anayekuamini ni kumuacha kipindi anakuhitaji.
Hata ukirudi ataishi kwa mashaka sana kwasababu anajua unaweza rudia tena ule uovu wako uliofanya.
Kimsingi jamaa aendelee huko alipo asirudi aendelee na upumbavu wake. Kama anataka kumsaidia huyo binti atafute mtu baki anaemuamini halafu atengeneze hata scenario ya uongo kuwa huyo mtu atajitolea kumsaidia then awe anamtumia pesa kupitia huyo mtu, yaani mkewe awe anaona kama anasaidiwa na msamaria mwema.
Ila sio vizuri kumfanyia mtu ubaya halafu unarudi kama kumdhihaki.
Mnataka mumlambishe nini dada wa watu?????[emoji3]Anataka pole hataki kulamba chochote[emoji23]
PointKwa Mimi nikiwa km Jaji Mfawidhi wa JF ingawa wanasema ili uamue kesi pasina kuacha shaka yoyote yakupasa usikilize pande zote mbili, kwa kutumia principle ya 'judge as Caesar's wife' naona kwa mujibu wa mleta mada, mwenye tatizo ni yeye mwenyewe na sio mwanaume wake kwa sababu moja kuu na yenyewe sio nyingine bali ni kutokua muwazi na anatumia vificho hasemi ukweli maana kuna madudu aliyofanya nyuma ya pazia anayajua yeye mwenyewe na hawezi kuyaweka open hapa na kuthibitisha hilo moja ya madudu ni kumzuia mwanaume kuhudumia watoto wake hilo ni kosa haijalishi amekukosea kiasi gani Ila km watoto ni wake wana haki ya kupata huduma kutoka kwa baba yao, ugomvi wenu ni wenu sio wa watoto mtoa mada tuliza Wenge pokea matunzo ya watoto yakikushinda utaanza kulia kwenye vyombo vya habari kumbe wewe ndio mwenye kiburi, majivuno na kujiona unaeleza amekutafuta sana Ila umekua ukimkwepa hadi ameamua kukata tamaa kwa hio wewe ndio unaewatesa watoto sio mwanaume wako, unasema unalala na watoto wa kiume chumba kimoja uenda ya kua mwanaume wako ameliona hilo na anahitaji kukusaidia Ila ukamletea kiburi, jeuri na kujiona kua peke yako unaweza na hauhitaji msaada wake
Conclusion: jitafakari wewe mzazi km ulizaa nae kweli hao watoto angalieni namna ya kuwatunza hata akiwataka awatunze yeye ili usiishi nao chumba kimoja angalia jinsi ya kusolve hilo tatizo, sio kuongeza tatizo kwa chuki na Mambo yaliyopita
Nb: najua hujaja kuomba msaada
Yote 9 Ila 10 mwambie aelezee chanzo Cha tatizo hadi akakimbiwa na mwanaume wake, km hasemi chanzo hii kesi inatupwa mbali haina mashiko maana yeye ni muongo haelezei mabaya yake anaelezea mabaya ya Mwanaume wake tuMimi nimeona, ninachepuka sana, Mke wangu ni mwema na mtulivu na kanizalia watoto wazuri sana.
Kwan nachepuka kwasababu Kuna Mke wangu ana Matatizo????.
Sasa hivoivo, wanaume wangapi wanachepuka na kutumbukia katika shimo la kuanza kuwadharau Wanawake zao?? Kuwapiga?? Kuwasema vibaya? Kuanza kutokujali familia? Nahstimsye kukimbia kabisa?.
Mwanamke anakopa 1.2 M kwaajili ya kuficha aibu zako na Mapumbu yako yananing'inia makubwaaaaa sana, alafu unamkimbus mkeo?.
Hivi angekua mwanamke mbaya na mbinafsi, angelifanya haya ??.
Una miaka mingapi wewe ?? Mbona unaonekana utapata shida sana kwenye Ndoa .
Jamaa aliambiwa mtoto mdogo sio wakee...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yote 9 Ila 10 mwambie aelezee chanzo Cha tatizo hadi akakimbiwa na mwanaume wake, km hasemi chanzo hii kesi inatupwa mbali haina mashiko maana yeye ni muongo haelezei mabaya yake anaelezea mabaya ya Mwanaume wake tu
Sasa hapo hapo chanzo Cha yeye kuambiwa mtoto sio wake ni nini kilichotokea kabla aliona nini hadi anachukua maamuzi ya kumkimbia ?Jamaa aliambiwa mtoto mdogo sio wakee...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]