Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

Hapana angekua ni mkweli asingeficha kisa Cha kukimbiwa na mwanaume wake, uongo uanzia hapo maana anaficha source ya tatizo lake
Umesoma Uzi wake wote? Kuna mabaya mumewe aloyafanya na hataki kuyaandika hapa.


Ukweli nikwamba amekua jasiri kiasi Cha kuandika hapa na pengine ameandika huku analia.


Kama Kuna sababu za kwake, ninkwann Mumewe baadae aanze kujirudi??.
 
Hujasoma alichokisema huyo dada?
 
Muulize chanzo Cha kukimbiwa ni nini ? Akikwambia nitag nipo pale namalizia kahawa yangu
 
Hapo jamaa ameshaharibu. Kitu kibaya unaweza mfanyia mwanamke anayekuamini ni kumuacha kipindi anakuhitaji.

Hata ukirudi ataishi kwa mashaka sana kwasababu anajua unaweza rudia tena ule uovu wako uliofanya.

Kimsingi jamaa aendelee huko alipo asirudi aendelee na upumbavu wake. Kama anataka kumsaidia huyo binti atafute mtu baki anaemuamini halafu atengeneze hata scenario ya uongo kuwa huyo mtu atajitolea kumsaidia then awe anamtumia pesa kupitia huyo mtu, yaani mkewe awe anaona kama anasaidiwa na msamaria mwema.

Ila sio vizuri kumfanyia mtu ubaya halafu unarudi kama kumdhihaki.
 
Jitahidi kutunza hizo chating zitakusaidia mbele ya safari,mweleze vizuri kama ni jukumu lake kulea watoto na vyovyote anavyokujibu we tunza chating record calls,kigezo cha mpaka muwe faragha ni cha kijinga sana,inamaana kama anataka kuwahudumia watoto ni wajibu na sio suala la kuanza kuweka masharti,maybe kama ni makubaliano mengine nje ya kulana,that man is idiot.
Mwanaume gani unaondoka na vyombo na kuacha deni la kodi?hata kama umeudhiwa?
 
Jamiiforum wangeweka utaratibu wa wao kudhibitisha identify ya mtu, kisha wanaoguswa wakaweza kumsaport mtu kwa account ya jamiiforum, wengi wanapitia magumu ambayo kwa kidogo mtu alichonacho kingeleta relief.

All in all pole sana dada angu.
True. Imagine kwa idadi yetu, members hata 1000 wakijichanga 10K kila m'moja then apatiwe huyu dada ina maana atapata kama 10 milioni ambayo hiyo itamtosha kubadili life yake, atafungulia biashara na ataweza kumudu kupata hata sehemu ya vyumba vitatu kwa kipindi hiki na pia anaweza kupata kiwanja akaanza ujenzi wa nyumba ya kudumu.
 
Sema wewe ni mkongwe hapa lakini
 
Umesoma Uzi wake wote? Kuna mabaya mumewe aloyafanya na hataki kuyaandika hapa.


Ukweli nikwamba amekua jasiri kiasi Cha kuandika hapa na pengine ameandika huku analia.


Kama Kuna sababu za kwake, ninkwann Mumewe baadae aanze kujirudi??.
Hapana Mimi nasimama upande wa mumewe mpaka akisema chanzo Cha yeye kukimbiwa ni nini ? Kwanini anaficha chanzo we hutatoaje hukumu bila kujua chanzo Cha tukio lenyewe husika, huyu anajua alichokosea tho kwenye mgogoro kila mtu anakua na % zake za ukosefu yeye hawezi akayaanika mabaya yake hapa kuelezea kua alimkosea nini hadi akamkimbia sababu hataki kuusema ukweli usipolijua hilo ni ngumu kung'amua ukweli, Ila nimebaini hasemi ukweli km anaficha chanzo Cha tatizo,
 
Bibie ukipata mtu mzima mwenzio upo tayari kuishi naye?
Maana sipati picha miaka yote 5 umeishi bila kunyanduana kweli inawezekana?
Kama hutajali karibu inbox tushauriane maana mm ni mstaafu kwa hiyo hekima ninazo na kutosha.
Pole bibie ndio maisha.
 
Muulize chanzo Cha kukimbiwa ni nini ? Akikwambia nitag nipo pale namalizia kahawa yangu
Mimi nimeona, ninachepuka sana, Mke wangu ni mwema na mtulivu na kanizalia watoto wazuri sana.


Kwan nachepuka kwasababu Kuna Mke wangu ana Matatizo????.


Sasa hivoivo, wanaume wangapi wanachepuka na kutumbukia katika shimo la kuanza kuwadharau Wanawake zao?? Kuwapiga?? Kuwasema vibaya? Kuanza kutokujali familia? Nahstimsye kukimbia kabisa?.


Mwanamke anakopa 1.2 M kwaajili ya kuficha aibu zako na Mapumbu yako yananing'inia makubwaaaaa sana, alafu unamkimbus mkeo?.


Hivi angekua mwanamke mbaya na mbinafsi, angelifanya haya ??.


Una miaka mingapi wewe ?? Mbona unaonekana utapata shida sana kwenye Ndoa .
 
Point.
 
Pole sana ndugu, Muombe Mungu siku zote pia jitume katika kazi za mikono yako na uamini kesho yako ni nzuri kuliko jana na leo.
 
Point
 
Yote 9 Ila 10 mwambie aelezee chanzo Cha tatizo hadi akakimbiwa na mwanaume wake, km hasemi chanzo hii kesi inatupwa mbali haina mashiko maana yeye ni muongo haelezei mabaya yake anaelezea mabaya ya Mwanaume wake tu
 
Jamaa aliambiwa mtoto mdogo sio wakee...[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sasa hapo hapo chanzo Cha yeye kuambiwa mtoto sio wake ni nini kilichotokea kabla aliona nini hadi anachukua maamuzi ya kumkimbia ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…