Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

Amekufanyia ukatili sana, usimsamehe na uzidi kumuombea laana juu yake, waambie na wanao baba yao ushenzi alioufany. Umepitia wakati mgumu sana haileti maana leo kirahisi umsamehe, achana na ushauri wa wapuuzi humu eti msamehe. Achana na huo ushauri.
 
Mwanaume Yuko tayari kukusaidia malezi ya watoto,piga moyo konde msamehe akusaidie malezi basi
 

Mtaji wako ni:

  • Usafi, achana na wanaume kabisa.
  • Sala, Mungu yupo na husaidia.
  • Hakikisha wanasoma vizuri sana
  • waeleze kusoma ndo namna pekee.

Baada ya haya, usiwe na wasiwasi hata kama mnalala kitanda kimoja, Mungu wetu ni mwema.
 
Wanataka kula tunda kimasihara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Yanii machakaramuu sanaa yanakuwa kama mume wa huyo dada... genye zikimshikaa ndo anarudi mbiooo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Acha mama tuitwe mama jamani[emoji24][emoji24]
Acha kusafiria nyota ya mwenzako. Wengi wenu huwa haya yanawatokea baada ya kuzingua. Huyu amesema hajawahi kusaliti ndoa yake, na mwanamke haachwi kwasababu yoyote ile ila ya kusaliti na uchawi/ushirikina.
 
Yanii machakaramuu sanaa yanakuwa kama mume wa huyo dada... genye zikimshikaa ndo anarudi mbiooo[emoji3][emoji3][emoji3]
Mdada akaze hivo hivo,hakuna kuwapa maharamia nafasi[emoji23][emoji23]
 
Acha kusafiria nyota ya mwenzako. Wengi wenu huwa haya yanawatokea baada ya kuzingua. Huyu amesema hajawahi kusaliti ndoa yake, na mwanamke haachwi kwasababu yoyote ile ila ya kusaliti na uchawi/ushirikina.
Mbona makasiriko tena!!?? Nimesafiria nyota yake kivipi
 
Jamiiforum wangeweka utaratibu wa wao kudhibitisha identify ya mtu, kisha wanaoguswa wakaweza kumsaport mtu kwa account ya jamiiforum, wengi wanapitia magumu ambayo kwa kidogo mtu alichonacho kingeleta relief.

All in all pole sana dada angu.
Mm nashauri jamii forum itoe namba watu wachange. Huyu member akuchukue Kule mikocheni Kule ofisn kwao
 
Wanawake ni wanafiki sana na mnapenda kutafuta huruma wakati nyie ndo mnaanzaga kuvuruga nyumba hadi mwanaume anaamua kutokomea kusikojulikana
Hatujapata story kabila ila so far bi dada anaonekana hakutendewa haki na huyu mwenzie.

Kwann aondoke na vitu vyote na kumuacha kapa. Kwann mwanamke alitoa kodi ya nyumba jamaa akalala mbele.
 
Tatizo linakuja wenye nyumba wanataka kodi ya miezi 6 kwa mkukupuo, hata nikipata vya 30000 sitaweza kulipa pesa yote kwa mkupuo hapa nalipa mwezi mmoja mmoja tu
Inshallah itapatikana, wewe fanya kutafuta kisha tuletee mrejesho hapa sisi tutajua la kufanya, this is Tanzania we are family. Nenda katafute kisha ukiviona njoo hapa tujue la kufanya.
 
Wewe mbona sasa kama unataka aanze kuwa mjinga tena. Huyo jamaa ni hana akili. Kama alikuwa ana nia ya kumsaidia kipindi anataka kusema angekaa nae kiutu uzima wayajenge na sio kuondoka kama nguruwe anatoka bandani.

Sasa hata wakiongea wataongea nini?!
 
Ukipata mtu ukamuuzia hiyo smartphone unayoitumia...utaweza kulipia watoto chumba chao...japo kwa miezi miwili huku ukiendelea kujipanga...itakuwa imekusogeza mahala....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…