Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

Nilijikuta naishi maisha ambayo sikuyategemea ila sina jinsi

Umetendewa maovu na mumeo, lkn unasafisha dhambi za mumeo na kujitafutia laana mwenyewe kwa kumkataza mumeo kuwaona watoto. Hii dhambi haitakuacha salama.

Na baadaye watoto watakuchukia mara watakafahamu kuwa wewe ndiye uliyekuwa kikwazo kwa wao kuonana na baba yao
Kwani kuwahudumia watoto lazima akutane na mama watoto ye angekuwa anamrushia tuu pesa kwenye simu baadae angeomba utaratibu wa kuwaona watoto wake basi.
 
Kwani kuwahudumia watoto lazima akutane na mama watoto ye angekuwa anamrushia tuu pesa kwenye simu baadae angeomba utaratibu wa kuwaona watoto wake basi.
Kwann atoe matumizi bila kuwaona watoto? Hii laana haitamwacha huyu mama anayejivika umalaika lkn moyoni ni shetwani
 
Umetendewa maovu na mumeo, lkn unasafisha dhambi za mumeo na kujitafutia laana mwenyewe kwa kumkataza mumeo kuwaona watoto. Hii dhambi haitakuacha salama.

Na baadaye watoto watakuchukia mara watakafahamu kuwa wewe ndiye uliyekuwa kikwazo kwa wao kuonana na baba yao
Ila watu
 
Binadamubwana nasoma comments humu naona watu wanakuponda kwamba kuna kosa ulimfanyia mumeo unajaribu kuficha..... nimeguswa sana na namna ambavyo umejitoa kwa ajili ya watoto wako. Inawezekana kweli haujakamilika, lakini ulichokifanya kwa ajili ya wanao kina stahili heshima tosha.....
 
Kwann atoe matumizi bila kuwaona watoto? Hii laana haitamwacha huyu mama anayejivika umalaika lkn moyoni ni shetwani
Anaanzaje kuwaona watoto ghafla tuu wakati aliwatelekeza na kuwaambiwa ndugu mtoto mmoja sio wake , alitakiwa aanza kuulainisha kwanza moyo wa mkewe kwa kutuma miamala ndo mazungumzo yafate kuhusu kuwaona watoto
 
Binadamubwana nasoma comments humu naona watu wanakuponda kwamba kuna kosa ulimfanyia mumeo unajaribu kuficha..... nimeguswa sana na namna ambavyo umejitoa kwa ajili ya watoto wako. Inawezekana kweli haujakamilika, lakini ulichokifanya kwa ajili ya wanao kina stahili heshima tosha.....
Stori ya upande mmoja huwa inafamfanya msomaji/msikilizaji kujenga huruma kwa mtoa stori. Lkn haingii akilini kwamba baba wa watoto aamue tu kuwaacha wanaye na mkewe pasipo sababu.

Lazima tu kuna maovu makubwa Sana aliyofanyiwa na mwanamke huyu. Mungu ndiye shahidi ktk hili.
 
Ni ujinga sana kukosoa kile mtu amekisema ata kama alikosea mmewe siyo kuacha watoto kuna wanaume wajinga sana kuisi kumbwagia mwanamke watoto ndyo kumkomesha
 
Ni ujinga sana kukosoa kile mtu amekisema ata kama alikosea mmewe siyo kuacha watoto kuna wanaume wajinga sana kuisi kumbwagia mwanamke watoto ndyo kumkomesha
Tumesikia mauaji mengi sana ya kutisha yakitendwa na wanaume wanaovumilia maovu ya wake zao.

Bora huyu aliyeamua kuepusha shari.
 
Ndugu zangu naomba tujadili jinsi ya kutatua matatizo ya huyu dada au mama yetu🙏🙏.
👉Kama Kuna mtu au watu wanaweza kwendaaa kuthibitisha je Ni kweli Binadamubwana ana ishi mazingira hayo.
👉Naomba tumchangie, maana kanikumbusha a lot of shits I pathed through in my life.
👉Tusihukumu vibaya ndugu zangu 🙏🙏
I mean no malice to nobody
 
Kuna mengi yamesababisha yote hayo mwambie aelezee chanzo Cha mgogoro wao ndio utakapopata jibu, ukielezwa juu juu tu mwanaume ndie anaeonekana mbaya Ila akieleza chanzo nna uhakika asilimia 100 utaufyata mkia,
Kwahiyo wewe lengo lako ni mwanaume aonekane mwema sio
 
Misogyny au chuki kwa wanawake ni tatizo kubwa sana na sugu katika jamii ya Kitanzania hata kwa vizazi hivi vilivyozaliwa mwaka 2000 kwenda mbele. Inasikitisha sana tena sana.
 
Pole sana, kama ndio uelewa wako uko ivyo pole

Khaa yani kuna watu vitu mnaandika hadi unajiuliza huyu mtu anatumia kiungo gani kufikiri, kwahiyo huyo mume alipokuwa anawakimbia hao watoto na kusema kuwa mmoja siyo wake alitegemea nini, kwanini wanaume mnakuwa ni watu wa kutaka kufanya makosa, halafu wanawake wachukulie poa tu kana kwamba hakuna kilichotokea, hivi ushenzi wenu huwa mnaona ni mdogo siyo
Huyo mwanamke amedai kuwa ameambiwa hayo maneno bali hakuyasikia direct kutoka kwa mumewe....how do you judge that case ? Unahukumu vp mambo kwa maneno ya kuambiwa?

Je kama huyo mwanaume alichukua hiyo 1M na kwenda kutafuta maisha mbele ya safari ili aje kuwahudumia wanawe?

Unaonesha unatumia nukudi kufikiria mambo
 
Mleta mada
Mwanaume hata siku moja haachi mwanamke mzuri na anaejitambua.jitazame tena na tena. Tatizo ni wewe tena sio wife material material. Angalia hata unavyojibu humu. Hopeless woman.
 
Stori ya upande mmoja huwa inafamfanya msomaji/msikilizaji kujenga huruma kwa mtoa stori. Lkn haingii akilini kwamba baba wa watoto aamue tu kuwaacha wanaye na mkewe pasipo sababu.

Lazima tu kuna maovu makubwa Sana aliyofanyiwa na mwanamke huyu. Mungu ndiye shahidi ktk hili.
Mkuu Unajua kuna vitu viwili hapa ambavyo viko wazi kabisa.Kwanza kuna watoto pili kuna aina ya uondokaji wa mwanaume na tatu kuna mwanaume kutafuta mawasiliano na huyu mwanamke.Hizi ni Facts ambazo ziko wazi na ambazo bila kujali kosa lake unaweza kuona kwamba Huyu mwanaume ana makosa.

Iko hivi.Kwenye mapenzi na mahusiano huwa inatokea kuvurugana au kuchokana.Mara nyingi hali inapkuwa hivyo mfumo wa ufanyaji maamuzi wa mwanaume ni tofauti na mwanamke.Wanaume hatuna emotional resilience kubwa hivyo swala lolote linapotuathiri emotionally ni rahisi sana kufanya maamuzi ya kukurupuka as long as yatatupa nafuu ya kihisia.

Kwa wanawake emotional resilience ni kubwa ila Physical resilience ni ndogo so mara nyingi mwanamke anapopitia hali ambayo inampa physical distress ni rahisi sana yeye kufanya maamuzi ya kukurupuka sa long as yatampa nafuu katika hilo linalomsumbua.

Hata hiyo haya yote hayaondoi wajibu wetu wa msingi kama wenzi,wazazi au hata wapenzi.Kimsingi wanaume wengi sana hutelekeza Familia zao directly au indirectly.Indirectly ni pae ambapo babo anakuwa pamoja na familia yake lakini hatimizi majukumu yake ya kimalezi.Hii ni very common na wanaume wengi sana wapo ktk hili kundi.Directly ni pale ambapo mwanaume anahama kabisa katika mji/familia yake na kuunda familia nyingine etc.

So binafsi naamini kabisa regardless of kosa la huyu bibie mleta mjadala/simulizi,Huyu Mwanaume wake alikosea na kwa kusema ukweli huyu mwanamke amejitahidi kusimama imara na kuhakikisha ana survive regardless.

Kuhusu afanye nini siwezi kumpa ushauri maana sijui yeye na mwenzake wapoje kihisia ila ninachojua ni kimoja tu wao ni wazazi na walikuwa wapeni so wanafahamiana vizuri na watakuwa na uwezo wa kutafuta suluhu ya uhakika kadiri ya mioyo yao itakavowatuma.
 
Pole Sana.Kwa naona ambavyo mungu aliweka mapango wa ndoa,Ni tatizo kubwa sana kumwacha mke au mume wako wa kwanza pindi anakupenda na hajakutenda chochote kibaya,Ni laana kubwa.Hicho Ndo kinampata mume wako.Cha msingi muna watoto ambao Ni damu yake ebu msikilize, tayari atakuwa amepata funzo na atakuwa ameshajifunza,husimfiche watoto waishi wakijua Wana baba yao na kamwe husiwausishe mabaya ya baba yao kwa wakati huu.Kuna funzo ambalo wanaume wengi tunabidi tujifunze,hakuna mwanamke mzuri kuliko uliyenaye,huyo Ndo baraka kwako.
watu wa aina hiyo huwa hawabadiriki ni devils,wanaharibu huku wanaepa,wanaharibu kule wanaepa,hakuna mtu muuaji kama yule anayediriki kusema uongo ili ajitukuze katika maovu,dada usirudi huko
 
Back
Top Bottom