zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Wewe ni nini bumpkin au nikuite KIBOGA ?Bogus ww
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ni nini bumpkin au nikuite KIBOGA ?Bogus ww
Kwani kuwahudumia watoto lazima akutane na mama watoto ye angekuwa anamrushia tuu pesa kwenye simu baadae angeomba utaratibu wa kuwaona watoto wake basi.Umetendewa maovu na mumeo, lkn unasafisha dhambi za mumeo na kujitafutia laana mwenyewe kwa kumkataza mumeo kuwaona watoto. Hii dhambi haitakuacha salama.
Na baadaye watoto watakuchukia mara watakafahamu kuwa wewe ndiye uliyekuwa kikwazo kwa wao kuonana na baba yao
Kwann atoe matumizi bila kuwaona watoto? Hii laana haitamwacha huyu mama anayejivika umalaika lkn moyoni ni shetwaniKwani kuwahudumia watoto lazima akutane na mama watoto ye angekuwa anamrushia tuu pesa kwenye simu baadae angeomba utaratibu wa kuwaona watoto wake basi.
Ila watuUmetendewa maovu na mumeo, lkn unasafisha dhambi za mumeo na kujitafutia laana mwenyewe kwa kumkataza mumeo kuwaona watoto. Hii dhambi haitakuacha salama.
Na baadaye watoto watakuchukia mara watakafahamu kuwa wewe ndiye uliyekuwa kikwazo kwa wao kuonana na baba yao
Aiseeee, pole sanaKwann atoe matumizi bila kuwaona watoto? Hii laana haitamwacha huyu mama anayejivika umalaika lkn moyoni ni shetwani
Sawa, nimekosea,Wanawake kwa kutetea ujinga kwa story ilivyo kosa lipo kwa mwanamke tu.
Anaanzaje kuwaona watoto ghafla tuu wakati aliwatelekeza na kuwaambiwa ndugu mtoto mmoja sio wake , alitakiwa aanza kuulainisha kwanza moyo wa mkewe kwa kutuma miamala ndo mazungumzo yafate kuhusu kuwaona watotoKwann atoe matumizi bila kuwaona watoto? Hii laana haitamwacha huyu mama anayejivika umalaika lkn moyoni ni shetwani
Stori ya upande mmoja huwa inafamfanya msomaji/msikilizaji kujenga huruma kwa mtoa stori. Lkn haingii akilini kwamba baba wa watoto aamue tu kuwaacha wanaye na mkewe pasipo sababu.Binadamubwana nasoma comments humu naona watu wanakuponda kwamba kuna kosa ulimfanyia mumeo unajaribu kuficha..... nimeguswa sana na namna ambavyo umejitoa kwa ajili ya watoto wako. Inawezekana kweli haujakamilika, lakini ulichokifanya kwa ajili ya wanao kina stahili heshima tosha.....
Ni ujinga sana kukosoa kile mtu amekisema ata kama alikosea mmewe siyo kuacha watoto kuna wanaume wajinga sana kuisi kumbwagia mwanamke watoto ndyo kumkomeshaStori ya upande mmoja huwa inafamfanya msomaji/msikilizaji kujenga huruma kwa mtoa stori. Lkn haingii akilini kwamba baba wa watoto aamue tu kuwaacha wanaye na mkewe pasipo sababu.
Lazima tu kuna maovu makubwa Sana aliyofanyiwa na mwanamke huyu. Mungu ndiye shahidi ktk hili.
Tumesikia mauaji mengi sana ya kutisha yakitendwa na wanaume wanaovumilia maovu ya wake zao.Ni ujinga sana kukosoa kile mtu amekisema ata kama alikosea mmewe siyo kuacha watoto kuna wanaume wajinga sana kuisi kumbwagia mwanamke watoto ndyo kumkomesha
Nimepokea hukumu yako, sawa asanteTumesikia mauaji mengi sana ya kutisha yakitendwa na wanaume wanaovumilia maovu ya wake zao.
Bora huyu aliyeamua kuepusha shari.
Kwahiyo wewe lengo lako ni mwanaume aonekane mwema sioKuna mengi yamesababisha yote hayo mwambie aelezee chanzo Cha mgogoro wao ndio utakapopata jibu, ukielezwa juu juu tu mwanaume ndie anaeonekana mbaya Ila akieleza chanzo nna uhakika asilimia 100 utaufyata mkia,
Sio lengo langu,Kwahiyo wewe lengo lako ni mwanaume aonekane mwema sio
Pole sana, kama ndio uelewa wako uko ivyo pole
Huyo mwanamke amedai kuwa ameambiwa hayo maneno bali hakuyasikia direct kutoka kwa mumewe....how do you judge that case ? Unahukumu vp mambo kwa maneno ya kuambiwa?Khaa yani kuna watu vitu mnaandika hadi unajiuliza huyu mtu anatumia kiungo gani kufikiri, kwahiyo huyo mume alipokuwa anawakimbia hao watoto na kusema kuwa mmoja siyo wake alitegemea nini, kwanini wanaume mnakuwa ni watu wa kutaka kufanya makosa, halafu wanawake wachukulie poa tu kana kwamba hakuna kilichotokea, hivi ushenzi wenu huwa mnaona ni mdogo siyo
Mkuu Unajua kuna vitu viwili hapa ambavyo viko wazi kabisa.Kwanza kuna watoto pili kuna aina ya uondokaji wa mwanaume na tatu kuna mwanaume kutafuta mawasiliano na huyu mwanamke.Hizi ni Facts ambazo ziko wazi na ambazo bila kujali kosa lake unaweza kuona kwamba Huyu mwanaume ana makosa.Stori ya upande mmoja huwa inafamfanya msomaji/msikilizaji kujenga huruma kwa mtoa stori. Lkn haingii akilini kwamba baba wa watoto aamue tu kuwaacha wanaye na mkewe pasipo sababu.
Lazima tu kuna maovu makubwa Sana aliyofanyiwa na mwanamke huyu. Mungu ndiye shahidi ktk hili.
watu wa aina hiyo huwa hawabadiriki ni devils,wanaharibu huku wanaepa,wanaharibu kule wanaepa,hakuna mtu muuaji kama yule anayediriki kusema uongo ili ajitukuze katika maovu,dada usirudi hukoPole Sana.Kwa naona ambavyo mungu aliweka mapango wa ndoa,Ni tatizo kubwa sana kumwacha mke au mume wako wa kwanza pindi anakupenda na hajakutenda chochote kibaya,Ni laana kubwa.Hicho Ndo kinampata mume wako.Cha msingi muna watoto ambao Ni damu yake ebu msikilize, tayari atakuwa amepata funzo na atakuwa ameshajifunza,husimfiche watoto waishi wakijua Wana baba yao na kamwe husiwausishe mabaya ya baba yao kwa wakati huu.Kuna funzo ambalo wanaume wengi tunabidi tujifunze,hakuna mwanamke mzuri kuliko uliyenaye,huyo Ndo baraka kwako.