Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #21
Ahsante sanaAHSANTE kwa ushuhuda wako huu muzuri kweli.. nirudie tena kusema AHSANTE sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahsante sanaAHSANTE kwa ushuhuda wako huu muzuri kweli.. nirudie tena kusema AHSANTE sana
mkuu ahsante nitakitafuta kama unacho pdf unaweza nitumiaKuna kitabu kinaitwa THE MAGIC, kinaelezea the power of practice gratitude in everyday life and how life change through it..
For everything whether good or bad but Gratitude is must.
Anakwambia hata kama umepoteza ela au jambo gani baya limekutokea you must stay positive and practice gratitude through it ndipo mambo mengine makubwa yatatokea maishan mwako
.Ni jambo la uungwana na makuzi tu. Hata mimi kusema asante au samahani ni kawaida japo kwa Dar nimejifunza kupunguza maana wengi wakikuona una uungwana wanakuchukulia kama zoba la kucheza nalo
Maishaa rahisi sanaaaa.....mnatunga tu atory kuuumiza watu vichwaWakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane.
Niliwahi pendwa sana na muuza duka jinsia ya kike asee kisa na mkasa nilikuwa na tabia ya kusema ahsante sana kila anapo nihudumia.
Ni umri wa makamo kiasi kwamba anaweza kuwa mama bila shaka kabisa. Huyu maza alinielewa sana akaona isiwe taabu akachukua hadi no za wazazi wangu kuwashukuru namna walivyo nilea.
Siku moja alinambia wewe ni mteja mzuri sana kwangu nikauliza kwanini mama akasema mimi ndo napaswa nikushukuru kuja kunichangia hapa na badala yake wewe ndo hushukuru kana kwamba umepewa bure ni nadra sana kuona watu kama wewe.
Hivyo kwa kupitia uteja huu akawa kama mama yangu pale kitaa hadi mmewe akajulishwa. Siku moja ilikuwa imekaribia Xmass mara yule mmewe akanipigia simu na sikuwa na no yake baada ya kujitambulisha tukafahamiana akaniomba niende kwake hapo ilikuwa saa11 jioni akanimbia nipite dukani then twende naye anipeleke.
Sikupoteza muda dk0 nikawa pale. Alikuwa na gari ya kuzugia sio kali tukapanda hatukuchelewa tukafika.
Jamaa alikuwa na bonge la mjengo kumbe lile duka la takataka lilikuwa na mke wake tu yeye ana maduka ya ELECTRONICS na pikipiki. nilishangaa ila ndo hivyo tena.
Baada ya kukaa wakaja mabinti 2 mmoja beki3 ndo mkubwa umri tunaendana ama naweza mzidi kama miaka2-3 hivi.
Akawaambia huyu ni kaka yenu wakanisalimu wakaondoka then akawauliza kuku mmewapa dawa?
Wakajibu ndio, nikamuuliza mzee unakuku? akasema ninao sasa wanaumwa siku ya3 na sijui ugonjwa gani.
Nikamwambia tunaweza kuwaona akasema kuwa huru hapa ni nyumbani kabisa nikazama nae bandani na kumwambia kuku wako wana kipindupindu hivyo mwambie mama aje na dawa hii.
Nikampa na ushauri kama wote. alifurahi sana yule father kitaa. Muda huo sijui nini nilichoitiwa pale na inaelekea saa1 hivi mara mama nae kafika.
Alipofika tu akaniuliza mimi akaja tukapiga story nae akawaita wale wadada2 akawaambia the same issue kama alivyofanya mzee. sijakaa sawq wakaja vijana 3 wanauza kwenye pikipiki na elect.
Mama akasema naishi hapa naomba uwe unakuja mwanangu wadogo zako wanasoma ila kesho watakuja kwa ajiri ya sikukuu maana walifunga wakaenda tuition tunakuomba siku ya Xmass ujumuike nasi hapa bila shaka ushapajua huhitaji kuuliza tena. Nikajibu nikweli mama na nina shukuru sana kupafahamu hapa.
Father kitaa akadakia umeleta ile dawa ya kuku sasa? Mama akakubali eee ipo father kitaa akasema huyu ndo mtaalamu sasa kawaangalia na kuniambia wanaumwa kipindupindu na dawa yake ni hii mimi nilkuwa sijui kama kuku nao wanauguaga kipindupindu.
INSHORT..
Father kitaa akanisindikiza hadi geto muda huo kaniuliza mishe zangu japo hata mama aliwahi niuliza.
Siku ya xmass ikafika nikatimba baada ya simu za mama kuzidi hatukuoni. Niliwakuta madogo wapo mmoja wa form1 mwingine advance huko.
Walinipa heshima kama kaka yao kweli na wakawa wanakuja hadi geto nikiwepo yaani full maupendo.
Nikawaomba niende nao kijijini kwetu wala hawakukatazwa niakenda nao wote 3 yaani yule dada na hawa 2 wakiume
Vitu tulivyo beba sukari kg50
ngano kg25
mafuta lita 10
sabuni ya unga mfuko1 sikumbuki kg ngapi
wax sijui ndo majava ama nini sijui yalikuwa pair kama 4 hivi na kitambaa cha mzee cha suti
hela cash 200k. na ndizi za kupika viazi mviringo nk
kwa kitendo hicho tulipofika kwetu kijijni nikiwa na boda 4 zimesheheni ilibidi majirani waje kwanza washuhudie ujio wangu.Huku nikiulizwa kazi ninayo fanya nk.
Uzuri mama alikuwa wakiwasiliana vyema kabisa na mama kitaa hivyo maandalizi hayakuwa haba
Walikula sana mbuzi ilichinjwa kuku zilichinjwa miwa ililiwa na vingine vingi vya kijijni na kwa sababu tumepakana na msitu na kuna ngedere mle basi madogo walitamani walale msituni kabisa washuhudie
ngedere analalaje juu ya mti bila kuanguka?
Madogo siku za kwenda skull zilifika lkn waligoma kabisa siyo wa kike maana ndo mkubwa yeye alikuwa college huko
Mimi mwenyewe ilibidi ni vumilie tu maana tulipitiliza siku za kurudi kwenye mishe zangu.
Father kitaa aliwachimba mkwara hatimae tukarudi wakiwa na gunia la mchele uliokobolewa na nyama iliyobanikwa kama nusu mbuzi maana zilifika mbuzi 2 zikihatarisha maisha kwa ujio wa madogo.
Kupitia mama yule tulitengeneza udungu wa karibu sana. Nilitoka kule nakuendelea kujitafuta huku tukiwasiliana
kiana kama mjuavyo fimbo ya mbali haiuwi nyoka.Bado hadi sasa mawasiliano yapo lkn sio kivile.
Niliugua nikalazwa yule mama alikuwa msaada mkubwa sana kwangu sikuwa na bima lakini gharama alitoa yeye mama mzazi alikuja kuniona alifikia pale na kulala kama siku2 akarudi.
Huyu mama kitaa alikuwa ladhi afunge duka aje anione na sikuwahi kumfanyia chochote cha maana tofauti na kusema AHSANTE kila ninapo nunua mahitaji kwakwe. Sijui Father kitaa aliambiwa nini hadi nae akanikubali vilevile!
Bado naitumia sana hii AHSANTE lakini bado sijawahi kukubaliwa tena namna hii
🤣🤣kwanini umechagua tukio baya ivo aseeeWee jamaaa hufai.
Ni sawa na demu akusimulie alivyobakwa halafu wewe unaye simuliwa udindishe😀😀
Wengine hizi bahati mnazipataje? Mimi hata pesa ya kueleweka sijawahi kuokota,semina zinanipita hivi hivi wanaenda wengine, kiujumla mambo nayoyapata mimi ni mambo ya hovyo tu daah mungu anione na mimi AiseeWakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane.

Hongera Sana aisee nimeipenda Sana ila zaidi nimekumbuka nilivyowahi pendwa na mama mwenye nyumba na bwana ake Ila shida nilimtongoza binti yao wa kwanza nikafurumushwa Kama mwewe ni hapo ndiyo ulikuwa mwisho wa mazoea na wale wazazi wa kufikia .Wakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane.

Enheeee ulivyopendekeza dawa ya kuku ilifanya kazi !? If yes walireact vipi?🤣🤣mkuu ahsante nitakitafuta kama unacho pdf unaweza nitumia
Hiki apa mkuu, am sure ukikisoma na kupractice, you won’t be the samemkuu ahsante nitakitafuta kama unacho pdf unaweza nitumia
Mkuu Tunga nawewe si Dhani kama ni dhambiMaishaa rahisi sanaaaa.....mnatunga tu atory kuuumiza watu vichwa
Ahsantee sanaHiki apa mkuu, am sure ukikisoma na kupractice, you won’t be the same
Yes ilifaa mkuu mi mfugaji siku nyingi, walifurahiEnheeee ulivyopendekeza dawa ya kuku ilifanya kazi !? If yes walireact vipi?🤣🤣
Upwiru ulikuponza mkuuHongera Sana aisee nimeipenda Sana ila zaidi nimekumbuka nilivyowahi pendwa na mama mwenye nyumba na bwana ake Ila shida nilimtongoza binti yao wa kwanza nikafurumushwa Kama mwewe ni hapo ndiyo ulikuwa mwisho wa mazoea na wale wazazi wa kufikia .
Mkuu Huwa inatokea hata Mimi sikujua hii ahsantee itageuka kuwa baraka namna hiyo.Wengine hizi bahati mnazipataje? Mimi hata pesa ya kueleweka sijawahi kuokota,semina zinanipita hivi hivi wanaenda wengine, kiujumla mambo nayoyapata mimi ni mambo ya hovyo tu daah mungu anione na mimi Aisee
😂😂 Ndo linaendana🤣🤣kwanini umechagua tukio baya ivo aseee
Aisee Huwa ni hivyo mkuu Wala siwezi Pinga.asante,
kuna mke wa mtu kakolea hapa kisa tu nikinunua kitu dukani kwao namwambiaga "asante madam"
kuna mwingine huwa naagiza tu bidhaa kwa simu anampa boda aniletee, juz kat kaniambia anatamani siku moja anione live, nilipomuuliza kulikoni akjbu "unaongeaga kistaarabu sana"
Ulichosema ni kweli. Hata ukichek movies zao (wazungu) yani swala la kusema thanks ni kawaida yan.Ni Culture ya käwaida sana kwenye nchi za magharibi, Mara ya kwanza nlikua nashangaa sana kuona watu mgahawani wanashukuru kwa unyekekevu kabisa kwa wahudumu, achilia mbali kwa madereva wa Mabus saa ya Kushuka.
Mkuu huo Ndio uungwana,unapo kuwa muadirifu basi waadirifu ujisogeza kwako...Wakuu Ikumbukwe hakuna formula.Usiige na tusiigane.