Nilijikuta napendwa sana kisa kusema ahsante kila ninunuapo bidhaa kwake

mkuu ahsante nitakitafuta kama unacho pdf unaweza nitumia
 
Maishaa rahisi sanaaaa.....mnatunga tu atory kuuumiza watu vichwa
 
asante,

kuna mke wa mtu kakolea hapa kisa tu nikinunua kitu dukani kwao namwambiaga "asante madam"

kuna mwingine huwa naagiza tu bidhaa kwa simu anampa boda aniletee, juz kat kaniambia anatamani siku moja anione live, nilipomuuliza kulikoni akjbu "unaongeaga kistaarabu sana"
 
Wengine hizi bahati mnazipataje? Mimi hata pesa ya kueleweka sijawahi kuokota,semina zinanipita hivi hivi wanaenda wengine, kiujumla mambo nayoyapata mimi ni mambo ya hovyo tu daah mungu anione na mimi Aisee
 
Hongera Sana aisee nimeipenda Sana ila zaidi nimekumbuka nilivyowahi pendwa na mama mwenye nyumba na bwana ake Ila shida nilimtongoza binti yao wa kwanza nikafurumushwa Kama mwewe ni hapo ndiyo ulikuwa mwisho wa mazoea na wale wazazi wa kufikia .
 
Wengine hizi bahati mnazipataje? Mimi hata pesa ya kueleweka sijawahi kuokota,semina zinanipita hivi hivi wanaenda wengine, kiujumla mambo nayoyapata mimi ni mambo ya hovyo tu daah mungu anione na mimi Aisee
Mkuu Huwa inatokea hata Mimi sikujua hii ahsantee itageuka kuwa baraka namna hiyo.

Kwa Sasa Huwa Nasema ahsantee lkn ni bilabila asee
 
Aisee Huwa ni hivyo mkuu Wala siwezi Pinga.
 
Ni Culture ya käwaida sana kwenye nchi za magharibi, Mara ya kwanza nlikua nashangaa sana kuona watu mgahawani wanashukuru kwa unyekekevu kabisa kwa wahudumu, achilia mbali kwa madereva wa Mabus saa ya Kushuka.
Ulichosema ni kweli. Hata ukichek movies zao (wazungu) yani swala la kusema thanks ni kawaida yan.
 
Mkuu huo Ndio uungwana,unapo kuwa muadirifu basi waadirifu ujisogeza kwako...
Ishi hivyo ilivyo wala usiwaige hawa wa mjini,kibri na fedhuri zimewajaa...
Mungu akufanyie wepesi kwa kila Jambo lako la kheri .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…