Nilijikuta napendwa sana kisa kusema ahsante kila ninunuapo bidhaa kwake

Hiyo ni universal principal kushukuru ni njia ya Kufungua unlocked door hata Kama MTU amefanya jambo negative just talk with him or her na umwambie Asante atakuogopa na anaweza asirudie tena kukufanyia jambo baya

The power of gratitude is everything.

Ukienda hata kuomba Kazi in a certain company or institution just say thank you before haujaondoka.
 
Ni wachache sana wenye moyo wa kushukuru na kusema asante, wenye misingi ya malezi mema tangu utotoni, lakini wengi wetu tunaishi kimjini mjini kusema asante au kushukuru tu midomo ni mizito sana.
 
Ni jambo la uungwana na makuzi tu. Hata mimi kusema asante au samahani ni kawaida japo kwa Dar nimejifunza kupunguza maana wengi wakikuona una uungwana wanakuchukulia kama zoba la kucheza nalo.
😂😂
 
Umetisha
 
Japo kushukurushukru sana ni ushamba
 
Yaani ninunue halafu niseme asante?alooooh watu mmelelewa malezi bora sana
Rafiki nikweli ni malezi na mazoea pia. mfano ikitokea nikala chakula halafu nisiseme ahsante hata kwa wife daah huwa najisikia sijatenda haki na ili nibaki normal lazima nimwambie ahsante kwa chakula nilikuwa na mawazo muda huo
 
Mkuu nafanya kazi na wazungu hasa canada na Australia wameshajifunza salamu na ahsante. kila atakaye kuja
cha kwanza atakuuliza kuhusu salamu na kushukuru kwa kisawahili.

Kila kitu akikufanyia au ukamfanyia lazima aseme ahsante haijarishi ni boss au wa kawaida Neno ahsante kwao ni kawaida sana. na ukifanya vzr lazima apige makofi. Nimevutiwa sana na nimewaiga hata mtoto wangu akifanya vzr lazima nimpongeze
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…