Nilijikuta napendwa sana kisa kusema ahsante kila ninunuapo bidhaa kwake


Umejibu vizuri Ila nadhani haukunielewa nini nimemaanisha

Kuhusu kupigwa - mtoto wako unapokuwa umempatia kiboko na sio kugombana na watu

Na hili wasigombane na watu wanabidi kujengwa vizuri katika kuwa EI (emotional intelligence)

So hilo neno pambana huongelewa na aina fulani ya wazazi ambao ni immature katika kufikiri
 
Hii dunia ya sasa inabidi twende kwa mifumo ya ki babylon....hapo bora tu niitwe immature
 
Mkuu naomba pdf ya hiki kitabu kama unacho
 
Mkuu hii Ndio inshort kwel
 
Sio ladhi, ni radhi
Hujatuambia ulikula nini ulipoitwa, ulienda mkoa gani na ulitokea mkoa gani ulipobebeshwa mizigo ya nyumbani kwenu, kwanini katlka maelezo umetaja mawasiliano ya mama yako na mama muuza dukani baba yako vp umelelewa na single Maza , je hadi leo bado unaenda hapo dukani? Nitarudi tena naenda Bwagamoyo kidogo
 
Ni jambo la uungwana na makuzi tu. Hata mimi kusema asante au samahani ni kawaida japo kwa Dar nimejifunza kupunguza maana wengi wakikuona una uungwana wanakuchukulia kama zoba la kucheza nalo.
Watoto wa Dar miyeyusho sana, wanachukulia Ukaribu kama uboya fulani hivi na ushamba.

Mimi nina tabia ya kuita kaka, bro au dada hata kwa niliowazidi umri. Na sipendelei kutumia lile jina la demu kumuwakilisha msichana. Sasa nikiwa huko huwa wanahisi mimi kama mbugila hivi kumbe mi nawachora tu.

Uzuri nina kipaji cha kukabia chini, nakuacha uoneshe ujanja wako wala sikupingi halafu nakuja kukupiga counter attack.
Napenda sana mtu akinichukulia poa mara nyingi huwa inanirahisishia malengo.

Inshort kama wewe ni muungwana, mtu wa kuheshimu kila mtu, mtu wa kushukuru endelea hivyo hivyo. Asitokee kiazi fulani ajaribu kukutoa kwenye reli.

Heshima sio unyonge, Upendo sio unyonge.
 
Vipi mume wake sio shabiki wa Ajax?
 
Wengine hizi bahati mnazipataje? Mimi hata pesa ya kueleweka sijawahi kuokota,semina zinanipita hivi hivi wanaenda wengine, kiujumla mambo nayoyapata mimi ni mambo ya hovyo tu daah mungu anione na mimi Aisee
Mkuu shukuru angalau una kazi.
 
Yaani ninunue halafu niseme asante?alooooh watu mmelelewa malezi bora sana
We itakua umetokea kwa kina MK254, hao jamaa dukani hawasemi naomba sabuni, wanasema nataka sabuni.

Kwenye daladala zao hawasemi naomba kupita, utasikia em pisha huko.
 
Tabia njema ni silaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…