Taratibu mkuu.Nadhani una msongo wa mawazo ni wapi nimeandika Mwanaume aki cheat nami ni cheat acha Ungese nitakutia pumbavu [emoji1610]
Kabisa mkuu[emoji106][emoji4]Mletee jamaa nae tumsikie. Maamuzi ya upande mmoja hayatakuwa fair.
Hakuna Mwanaume mkorofi Kwa mwanamke mtiifu.
Hahahahahahah mzee wako alipata ubatizo wa moto!Zamani nikiishi kwa baba angu mdogo, alkua dreva pale Ofisi ya rais-magogoni.
Alkua na MKE wake akifanya kazi pale bandar.
Jpm alipoingia Ikulu,
Jamaa akawa demoted hadi Kua dreva Tamisemi.
Aisee alipitia kipind kigumu Sana KIUCHUMI, ukzingatia alkua mtu wa Bata Sana.
Alkua na kitambi, kilikata chote.
Baadae (2018) akaja rudishwa nafas yake kule kule Ikulu, aisee mambo yalirudu Kama mwanzo.
Ila alichofanya ndani ya wiki TU ya kuanza kazi,
Mzee alimuachisha kazi MKE wake pale bandar, Tena kwa ukali na akampiga adi boss wake mkwara Kama akiendelea na kazi watafikishana pabaya.
Nilimuona Kama mzee muonevu Sana.
Ila nilivokua mkubwa,
Nilikuja gundua aisee huenda mzee alikua sahii japokua hajawai nambia sababu hasa za kumuachisha ile kazi.
Huyu kinachomponza ni uzungu mwingi wakati yuko Africa,kitu kidogo tu Therapy,huku kwa Magu watu wanadundana na Therapy hawaendi na ndoa zinaendelea,ushauri punguza uzungu uwe kama mama yako utakaa kwenye ndoa,na kingine punguza huo mdomo pisto,hakuna mwanaume anayependa mwanamke wa kumpigia kelele(Vuvuzela)Alafu anatokea kiroboto mmoja anasema kuwa single mother Ni kujitakia,Ni kutokujitunza daah. Pole Sana mkuu
Wanawake wa hivi huwalisha Sana sumu watoto wao wawachukie baba yao bill sababu.pole sanaa madamee japo ktk maisha jifunze sanaa kukubali matokeo na sio kulazimisha matokeo kushndwana ktk maisha kulingana na utashi wa kibinadamu upo ndo maana tukapewa mamlaka kamili ya kujua mema na mabaya tafta kampani sahihi hasa za maendeleo mtengenezee mwanao future ilio bora.
Comment yangu itoe hapo,Naona wotee mnaona mwanaume ndio mwenye kosaa ila....
1. Wewe unaweza kuishi na MDOMO PISTOL?
2. Ina maana mumewe alikua akiamka tu na kutembezea kipigo kama ana MASHETANI?
Atuambia ukweli kwanini alikua anapigwa
In all, Aitwe mume nae aseme yake.
#YNWA
Uboya kweli yani 🤣Ukiona mwanamke anakulinganisha na wanaume wenzio, maana ake anawatamani.
Apo jibu Ni kumpa kelebu Moja ya maana sana akalale nao mbele.
Upuuz huu sio was kufumbia macho hata kidogo
Maneno kuntu kabisa, mwenye maskio na asikie[emoji106]Pole sana mleta mada
Ila itoshe tu kusema kwamba hakuna mwanaume yeyote anayeweza kuvumilia matusi rejareja (mdomo pistol wako) kutoka kwa mwanamke wake regardless unamtunza wewe. We cherish our pride kwa wivu mkubwa hata kama mfukoni kumetoboka.
Pia most men if not all will never really forget and forgive once wana ushahidi 100% kwamba umecheat kwa kumvulia chupi njemba nyingine - no matter the circumstances. Deep down hili kosa huwa halisameheki hata kama atakuchekea usoni.
Mungu akutangulie mbele ya safari yako ya maisha. Usije kufanya kosa la tatu kujaribu kurudiana na yule bwana. Hiyo biashara is done and dusted
Nyie wanawake Ni wepesi wa kulaumu,Ahhh Yani sijui jamii imekuaje alafu wana Ile tabia ya kusema kuwa ndoa ikivunjika mwanamke ndo mwenye matatizo so ameachwa ahhh. Huyo Kaka angekua anatimiza majukumu take sidhani Kama yote haya yangetokea.
Hivi are you serious, mtu Hana kazi afu unamlaumu eti anajisahau.Wanaume nao sikuhizi wanajisahau majukumu Yao kama head of family, wanataka walelewe, na bado waku cheat na kukupiga pia wakupige kipigo Cha mbwa koko
See unavyonilisha maneno. Nimetaja popote 50 kwa 50?Hueleweki ata unatetea Nini,
Mara utake 50/50 [emoji848]
Mara tufuate maandiko,[emoji848]
Mara changu changu, chako changu[emoji848].
Nyie wanawake kazi Sana kuwaelewa [emoji2][emoji2]
Heh, hivi mnaonaga no big deal kuwa kwenye abusive marriage kwamba nikitoka hapo sina pa kwenda ama cha kufanya?[emoji23][emoji23][emoji119] men bwanaHaina shida,
nikitoka TU uko polisi niandalie kalamu na karatasi.
Talaka inahusika
Nakwambia ma mdg alkua akisimulia jins alvomuachisha kazi roho ilkua inauma Sana.Hahahahahahah mzee wako alipata ubatizo wa moto!
Mwanamke akikuzidi kipato tu ni balaa atakutesa kishenzi af mbaya zaidi awe kwenye mazingira exposed kwenye wanaume wengi wenye hela utakomaa mzee[emoji28]
Sahizi ukiwa mtu mzima ndio utaelewa kuwa kumbe wazee walikua na point ila kipindi kile ungeona mzee ana uonevu sana[emoji28]
Ha ha ha aisee. Badili fikra zako. Kuwa na mahusiano miaka 10 ndo kwamba watu wanapendana? Hujui mambo ya fursa eh? Unachekesha. Mapenz gani hapo na unaona yameegemea upande mmojaMapenzi yalikuepo, na yasingekuepo wasingekua wanarudiana kila mara.
Back the story,
Hawa walkua na history ndefu San kwny mahusiano yao (tangu wako chuo, almost 10yrs back)
Sasa unapata wapi ubavu wa kusema kupakua na mapenzi?
Ndo hivyo,Heh, hivi mnaonaga no big deal kuwa kwenye abusive marriage kwamba nikitoka hapo sina pa kwenda ama cha kufanya?[emoji23][emoji23][emoji119] men bwana
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Unayaona yameegemea upande mmoja kwasababu mwanaume Hana kazi.Ha ha ha aisee. Badili fikra zako. Kuwa na mahusiano miaka 10 ndo kwamba watu wanapendana? Hujui mambo ya fursa eh? Unachekesha. Mapenz gani hapo na unaona yameegemea upande mmoja
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Umesoma ulichojibu ama kwakua tayari una jibu lako?Ndo hivyo,
Kama mtoa mada flani kaandika,
"Kuishi na mwanamke mdomo pistol ni Bora mungu anipumzishe TU"
Huo upuuzi wake ulitaka tumshauri Nini Sasa.Mbona mnamshambulia sana mleta mada badala ya kumshairi nn cha kufanya kwa changamoto alizopitia.lawama hazimsaidii tena kwa sasa weka ushauri wako nn afanye