Nilikupenda sana...

Ndio changamka sasa

Usisubiri mtu mwingine akuonee huruma, tafuta suluhisho la matatizo yako wewe mwenyewe kwa kujiamini. Una haki ya kuishi kwa furaha, na iko mikononi mwako. Ongea na mumeo, sio kwa kujiliza liza, bali ukiwa unataka kupata suluhu ya matatizo yenu.


Nimekuuliza, ni kipi kinachokukera sana kwa mmeo?

 
Kongosho bado hujaona tu makosa ya mumewe??
NI KUSHINDA MITANDAONI, KUTOONEKANA NYUMBANI, KUTOPOKEA SIMU, KUTOJIBU SMS haya hapa utasemaje??

ukitaka kufukunyua sana akosa yote haya kisababish ni bidada.
soma signature ya snowhite ui-intenealize
 
Last edited by a moderator:
nimekusoma dada maneno yako hayapiti bure nayafanyia kazi usiku huu, asante sana.
 
kumbuka do everything but u 'ill neva change ur next side into perfection state, be tolerance and ask God 2 help wherever u have failed!
na kipimo cha mapenz ya dhati sio mapugufu ya mwenzi wako manake kwa kufanya hivyo hutaweza kuyarekebisha.
kipimo cha mapenzi/upendo ni uvumilivu, utu wema, moyo wa kiasi,kutokuhusudu, kutotakabari and the like
 
Sitaki kuamini, Hawaishi nyumba moja?

Endelea kumkuza kwa kweli, bado kalala kabisa.

Kongosho bado hujaona tu makosa ya mumewe??
NI KUSHINDA MITANDAONI, KUTOONEKANA NYUMBANI, KUTOPOKEA SIMU, KUTOJIBU SMS haya hapa utasemaje??

ukitaka kufukunyua sana akosa yote haya kisababish ni bidada.
soma signature ya snowhite ui-intenealize
 
unavyoongea ni kama umeandika yaliyo moyoni mwangu daaah!!! leo usiku ninahitaji kufanya maamuzi ya hali ya juu ambayo yanatokana na michango ya humu jamvini, asanteni sana.
 
Ha ha ha, mtoto atatolea talaka skype au instagram au wasaap

sasa kama umenielewa msome vyema Kongosho kisha rui anza kuyafanyia kazi haya. wewe uliwa hivyo hivi unategemea mwanao aweje si atakuwa kuzidi wewe??

manake imebii nicheke mama anatoa talaka mtandaoni mtoto si atatolea talaka gazetini??
 
Kongosho and gfsonwin,jaribuni kuueleza ukweli kwa upendo,ukweli bila upendo unaumiza pia,halafu msizichukulie poa juhudi ambazo mkunde amefanya,kama kwenda kukaa kwa wifi mwaka mzima alafu mwanaume akutafuti me ni mwanaume ila hili nalo linatisha,amesema amechukua muda wa mwaka mzima kujifanyia tasmini,akarudi akakubali kushuka for three years mpaka hapo my dia hongera,msisahau hana background like wengine ukipata shida ya ndoa unaweza ukamweleza mama yako mkalia pamoja akakuombea then mkasonga mbele.hapati haki ya ndoa na security kutoka kwa mwanaume,nachelea kusema usikute mume wake alimuoa ili apate kirahisi mkopo bank.CHAMSINGI alichosema kongosho ni swala la emotional la huyo mwanaume kama ni maombi basi yaanzie hapo cause kwa mwanaume wa kawaida akishaanza familia hata ikiwa na matatizo kunasiku hata rudi nyuma hata kwa gia ya mtoto.Katika haya yote ambao atujaoa tuna mengi ya kujifunza hapa
 
Wiyelele ameisoma hii?
 
Last edited by a moderator:
Message zangu hajibu simu yangu hapokei busy mitandaoni, nimerusha message hii kwenye mitandao yote anakoshinda ili ujumbe umfikie na ajue kuwa nimefanya maamuzi na niko siriasi.

Ushapata mwengine? Achana naye huyo, njoo kwangu, hutaondoka kamwe......
 
Ngoja nikuambie, huwezi jifunza haya yote kwa siku moja

Unahitaji uzoefu, jipe nafasi ya kujifunza taratibu na kupona vidinda vyako vya nyuma. Ukitaka uweze yote haya kwa siku moja you will break down.


Ila ondoa wazo la kukimbia kwa mmeo kwa kutoroka kama kimada, be proud of yourself, jithamini kwanza kuona hata siku ndoa hiyo ikikoma utaondoka kwa mmeo machana with your head high.

unavyoongea ni kama umeandika yaliyo moyoni mwangu daaah!!! leo usiku ninahitaji kufanya maamuzi ya hali ya juu ambayo yanatokana na michango ya humu jamvini, asanteni sana.
 

its not an overnigt thing!
atuulize wenzie tulivyolowesha mito na kupishwa viti kwenye daladala(manake wanahisi sijui umefiwa)
 
Umeoa? Na una umri gani? Hata mimi mke wangu akienda kwao kuna saa simfuati hasa ambapo kunakuwa hakuna sababu ya msingi. Sipendi kabisa mwanamke anayezira, ni bora akazungumza tiujadiliane. Mie alienda kwao mwezi, sikumfuata wala kumwuliza, alirudi baada ya kuona mifugo(nguruwe) wake wanakonda, hamna wa kuwajali. Ile karudi tu, mie usiku nikamwambia, hebu geuka, unanichelewehsea haki yangu uliipeleka kwenu bila sababu za msingi. Nikajilipa vya mwezi mzima.

Ndio maana sie tumejivika huo ushangazi wa hiari na kumpa makavu live ya maisha, ndoa si kila siku eden. Lakini pia hatumlazimishi kubaki ndoani, anatakiwa ajichunguze yeye nafasi yake kwenye migogoro yako. Akipata jibu wajadiliane na mumewe. Kama bado hataridhika aondoke mchana kweupe sio kwa kujificha.


Na kwa nini umedhani kuwa mmewe alimwoa kwa ajili ya kupata mkopo bank? Is she a banker?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…