zwenge ndaba
JF-Expert Member
- Aug 16, 2016
- 2,037
- 3,598
Hahaha wewe jamaa Kama nakujua vile,jamaa yangu mmoja ilikua hivi hiviNilianza kula ada ya shule darasa la tatu kama sikosei, nilichezea stick na kushinda njaaa.. π€£π€£π€£ kuja secondary nishakuwa expert chuo ndio kabisa hadi chuo nikawapiga tukio na home kwa wakati mmoja. Bakula boom, nakula ya nyumbabi nikawaambia sina boom, chuo nikaunda receipt fake
Na nakuhakikishia namsaidia sana.Mi ninja.Bibi alijua ukisoma utamsaidia
Ndio sisi ππππUjue zaman wanafunz walikuwa wanakula Sana ada lkn saiv wazazi ndo walaji wa Ada ,kumbe wale wanafunz wΓ liokuwa wanakula ada zaman ndo wazazi saiv[emoji3][emoji3][emoji3]
Duuuuh ofsa anatakiwa awe mwenyekiti wa wala fees.Hahaha wewe jamaa Kama nakujua vile,jamaa yangu mmoja ilikua hivi hivi
Hongera Sana mkuuNa nakuhakikishia namsaidia sana.Mi ninja.
Zamani ilikuwa mtiti mtiti sana, π π π sasa hivi madogo yapo soft sana hayawezi vurugu kama za enzi zetuHahaha wewe jamaa Kama nakujua vile,jamaa yangu mmoja ilikua hivi hivi
πππππ[emoji81][emoji81]me o level nlkua napewa ada nka lipe Bank. Na shule tulkua tunapewa vi memo vime andikwa mchanganuo wa ada ya mwaka mzima , basi me napita stationary kuedit naongeza sifuri zangu , nampelekea mzee siku niki pewa ada nachukua cha kwangu , nashukuru sija wahi kudakwa japo kuna mda mzee alkua ana shtuka ana uliza hii ada niya boarding au
ππππππZamani ilikuwa mtiti mtiti sana, π π π sasa hivi madogo yapo soft sana hayawezi vurugu kama za enzi zetu
πππAunt darasa la tatuNilianza kula ada ya shule darasa la tatu kama sikosei, nilichezea stick na kushinda njaaa.. π€£π€£π€£ kuja secondary nishakuwa expert chuo ndio kabisa hadi chuo nikawapiga tukio na home kwa wakati mmoja. Bakula boom, nakula ya nyumbabi nikawaambia sina boom, chuo nikaunda receipt fake
La tatu kuanzia hapo nikawa moto, ilifikia kipindi home wakaona hapa hatuna mtu wakata nipeleka zile jela za watoto π π π kuna watu huwa nikiwaambia nimemaliza chuo hawaamini.. maana kuanzia down ni msubufu chuo tumepiga sana hela kwa ku forge receipt kabla ya kushtuka π π ππππAunt darasa la tatu
ππππππππLa tatu kuanzia hapo nikawa moto, ilifikia kipindi home wakaona hapa hatuna mtu wakata nipeleka zile jela za watoto π π π kuna watu huwa nikiwaambia nimemaliza chuo hawaamini.. maana kuanzia down ni msubufu chuo tumepiga sana hela kwa ku forge receipt kabla ya kushtuka π π π
Hujui utamu wa ada weww tuulize sisi
Wewe ni noma usingeenda chuo ungekuwa unatupiga changa kariakooππππLa tatu kuanzia hapo nikawa moto, ilifikia kipindi home wakaona hapa hatuna mtu wakata nipeleka zile jela za watoto π π π kuna watu huwa nikiwaambia nimemaliza chuo hawaamini.. maana kuanzia down ni msubufu chuo tumepiga sana hela kwa ku forge receipt kabla ya kushtuka π π π
Tumshukuru sanaTumshukuru mtot wa tajiriπ
Chuo .. kuna taasisi moja ya ulinzi niliipiga 8 million π€£π€£π€£π€£ mie kupiga ni kama fun mnaita hoby sijui.. sema sasa hivi umri umeenda na familia.. nitakuja kumrisha kijana wangu ma ujanjaWewe ni noma usingeenda chuo ungekuwa unatupiga changa kariakooππππ
πππSipashagi makabejiNa mimi ela nilizokua nakupa zilikua ni za ada nakula,ada lnamla ada mwenzake.urudi tukumbushiane lakini,hawala Hana talaka,hahaha
Wew ulikuwa innocent boy shule umemaliza bila kosa
Hii kibokoo... mstaafu tena bibi mtu huyo??π€£π€£π€£π€£π€£Nilishawahi kudanganya hela ya mock ni ni shilingi elf 40 kumbe ni 10.Siku ya siku namuona bibi anakuja shule.Nilitimua mbio hizoo( nimesoma day).Shuleni nikatangazwa nimekula hela za mstaaafu.
Utawaweza walimu kwa kukuza mambo .Washikaji zangu ndio walikuja kunipa stori eti nimekula hela za mstaaafu ,tapeli mkubwa mimiππππHii kibokoo... mstaafu tena bibi mtu huyo??π€£π€£π€£π€£π€£