Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
🤣🤣😂Nilishawahi kudanganya hela ya mock ni ni shilingi elf 40 kumbe ni 10.Siku ya siku namuona bibi anakuja shule.Nilitimua mbio hizoo( nimesoma day).Shuleni nikatangazwa nimekula hela za mstaaafu.
Mkuu hongera Sanaofcourse sijawahi pata suspension lakini makosa Nilikuwa nayo .lakini sio nifanye kosa kisa nipate usuperstar hapana. Naheshimu pesa sana. hata advance nilikuwa Mkoa wa mbali huko wazazi wanatuma naenda bank mwnyw. Deni la shule kama ni shilling fulani nilikuwa sidanganyi natamka lilivyo.
Napendaga na naiheshimu pesa hadi leo mkuu.
Mkuu hongera Sana
Nijambo kubwa Sana katika hii dunia kuheshimu pesa yako ata sio yakoí ½í¹
Mwanamjiteute,alipigika Hadi Domo likasheshekaAisee, ulipigwa mpaka mdomo ukavimba?
Ina hatari kuna kipindi nilitoa 20K nikiamini nitaipata, mzee acha kabisa yani huwa hairudi ad uumbuke.Hahahah ela ya ada Ina kama kauchawi,Kama hauna huakika wa kureplace usiguse ata shilingi kumi,ukigusa tu imekula kwako,itaisha bila kujua
Isee mtoto wa Secondary unajua kuedit tena unapata n wazo la kwenda stationary iseee hii nchi inanishinda..[emoji81][emoji81]me o level nlkua napewa ada nka lipe Bank. Na shule tulkua tunapewa vi memo vime andikwa mchanganuo wa ada ya mwaka mzima , basi me napita stationary kuedit naongeza sifuri zangu , nampelekea mzee siku niki pewa ada nachukua cha kwangu , nashukuru sija wahi kudakwa japo kuna mda mzee alkua ana shtuka ana uliza hii ada niya boarding au
Ni kweri kabisaIna hatari kuna kipindi nilitoa 20K nikiamini nitaipata, mzee acha kabisa yani huwa hairudi ad uumbuke.
niliangaika sana namshukuru sister alilimaliza kikubwa vinginevyo nilikua nakamatika.Ni kweri kabisa
Ulipambana mkuuNakumbuka Dumi concert ya p.squre hapo niko six.bwana wee nikapata ka toto ka kishua tukaenda kutusua ada kwenye part mbaya zaidi mtt hakunipa tunda huku na kule kurudi shule tukapigwa pa uzuri tulikua wengi.kureplace ada nilienda kuweka bond tairi za gari za mshua na kuanza tubiashara shule yaan mm usiku natoroka naenda kuwafatia mazaga madent kama kiepe biscuits nk.Mwisho wa siku nilirudisha ada yote.
😁😁😁😁 Tumshukuru sister aliokoa jahaziniliangaika sana namshukuru sister alilimaliza kikubwa vinginevyo nilikua nakamatika.
hakika🤣😁😁😁😁 Tumshukuru sister aliokoa jahazi
Mkuu Kuna watu ni ma editer kitambo wanacheza tu na risitiIsee mtoto wa Secondary unajua kuedit tena unapata n wazo la kwenda stationary iseee hii nchi inanishinda..
sasa mtu km huyu umpe ukurungenzi si hiyo ofisi itajuta..
Ila kwa shida sana mara mlinzi akukamate yaan unaishi na wenge mda wote ilifikia mahali mlinzi akawa mwana sana baada ya hapo ndio nilijua nina kipaji cha biashara.Ulipambana mkuu
Kurudisha Ada ukila sio Jambo rahisi
😂😂Chuo .. kuna taasisi moja ya ulinzi niliipiga 8 million 🤣🤣🤣🤣 mie kupiga ni kama fun mnaita hoby sijui.. sema sasa hivi umri umeenda na familia.. nitakuja kumrisha kijana wangu ma ujanja
Kuandika hivi ni athari ya kura bata na hera ya ada🤣🤣🤣🤣Kura bata na hera za ada ilikua noma sana mkuu.
Hiyo kama sio jkt,itakuwa makongo hiyo😂Leo March 20 Kuna tukio nimelikumbuka kipindi Niko o level kidato Cha nne.
Nilipewa hela kama laki 4 kwa ajiri ya kulipa Ada na michango mingine ya shule. Kipindi hicho Ada inalipwa shuleni unapewa risiti halafu muhasibu wa shule anapeleka benki..nilikuwa nasoma shule ya jeshi ni ya day na bweni. Nakumbuka ile hela sikupeleka shuleni nikawa naitumia tu kununulia vitu mbalimbali na kura Bata shuleni nikawa boss muda mfupi. Sijui Ile akili niliitoa wapi.
Baada ya miezi kupita shuleni nikawa nadaiwa Ada na nyumbani mzee anahitaji risiti nikawa namdanganya mzee muhasibu hayupo akirudi atanipa risiti zangu.
Na shuleni muhasibu namdanganya baba yupo course hapatikani kwenye simu nikimpata tu hela ya Ada nitaileta mzee sababu anajulikana muhasibu akanielewa, hakumpigia simu kosa ilo alilolifanya.
20/3/ 20...........
Baada kumpiga tarehe nyingi mzee siku moja mida ya asubuhi kama saa 5 nakuja kuitwa nahitajika ofisi ya head master nikajua ishu za kawaida tu. Parking ya shule na ofisi ya head master zinaangaliana ukitoka class parking unaiona kwa upande wa chini. Niliona gari ya mzee nikajua labda zimefanana mzee aje kufanya nini shuleni.
Baada ya kuingia ofisi ya head master nilishtuka nilitaka kuzimia namkuta headmaster, mzee, mhasibu, ticha wa nidhamu na second master wote wananiangalia kwa hasira.
Palepale ticha wa nidhamu akaniamuru nipige magoti. Nikajua nishaisha leo nakufa hapa.
Ikabidi nipige magoti nikingojea hukumu yangu.
Headmaster akaniuliza hela ya Ada iko wapi kama umeleta shuleni ulimkabidhi nani.
Nikajichanganya nikamjibu ile hela ya Ada nilipoteza nakumbuka nilichezea kichapo kutoka kwa mzee mpaka nikawa natoka damu mdomoni ikabidi teacher wa nidhamu ni mwanajeshi aje kunisaidia mzee asiendelee kunipiga ataniua Baada ya maongezi kidogo na kusemwa sana nikapeleka assembly Kama mtuhumiwa
Kengele ya dharula
Wanafunzi wote assembly baada ya matangazo mafupi nikiwa npo mbele pale wanafunzi wote wanashangaa hasa classmates zangu nimefanya Nini mdomo ushaanza kuvimba, mzee ametulia pembeni na gwanda zake. ananichora.
Headmaster baada kusalimia wanafunzi ikabidi aongee kuhusu Ile kengele ya ghafla iliyopigwa kuwa Mimi nikatajwa jina na kidato nimekula hela ya Ada laki 4 na kusema uongo. Wanafunzi wote wakawa wanashangaa huku wananiangalia.
Headmaster anaendelea hivyo sasa atapigwa viboko pamoja na suspension ya miez 3 atoruhusiwa kuingia darasana pamoja na adhabu.
Nilichezea viboko sio poa siku hiyo assembly huku wanafunzi wezangu wakishuhudia mpaka demu wangu wa shule alikuwa analia,niliambiwa na classmate wangu tunakaa kitaa kimoja home.
Nilikaa nyumbani miezi 2 mwezi mmoja nilienda kufanya adhabu shule ya kufukia mashimo yalitokana na kuchimba tofali na kuchimba visima vya maji. Baadhi ya classmates zangu walikuwa wanakuja kunisaidia adhabu
Nakumbuka baada ya msala ule nilikuwa maharufu Sana shuleni habari zilikuwa ni Mimi tu kila mwanafuzi vidato vya chini alikuwa ananishangaa tu.
Nyumbani niliishi kimateso Sana mzee alilipa Ada nyingine. Kwa Sharti moja nifaulu necta nikifeli nimrudishe hela zake na nihame nyumbani
Baada ya matokeo nilifaulu Japo kibishi.
Je, wewe unakumbuka uliwahi kufanya msala gani shuleni?
Kura Bata na masomo wapi na wapi?Leo March 20 Kuna tukio nimelikumbuka kipindi Niko o level kidato Cha nne.