Nilikuwa mfuasi wa Trump Kwa Muda Mrefu sana Ila Kwa Hili la Kusitisha Misaada na Ruzuku upande wa Afya Sikubaliani nalo, amekosea sana

Mimi nampongeza Trump, bora angesitisha misaada yote maana haiwezekani mpaka leo pamoja na kuwa na maprofesa na madokakta wenye PhD mpaka leo hakuna tafiti zozote za maana zinafanyika na mbaya zaidi hata kwenye bajeti ya serikali hamna hata fungu la maana linalotengwa kwa ajili ya tafiti!

Sasa wenzenu wanafanya tafiti kwankutumia maprofesa hao wao wenye PhD, wanaletea madawa tena ya misaada alafu unaanza kuwapangia?

Ni lini na sisi tutasimama wenyewe? Ni lini tutaacha lalamikia misaada na kuanza kutengeneza misingi ya kujitegemea wenyewe?
 
mnalaumu nini sasa anapambania wamarekani wenzie na nyie vingozi wenu wawapambanie ikiwemo kupunguza matumizi ya hovyo bila sababu, kwani mkiamua kutumia vi corola badala ya ma V8 na mkapunguza matumizi ya serikali yasio na tija mtashindwaje kununua dawa watanzania watumie? taizo letu kubwa ni leadershp na sio kingine tumekua watu wa kulalamika tuuuu hadi misaada ambayo anayetoa halazimiki wala sio lazima kwake kutoa sisi tunaona kama ni haki yetu.SHAME.
 


Unapofanya Starehe zako, kumbuka kwamba marekani wamejitoa kutoa ruzuku who
 
si huwa mnawaita mabeberu mara mnajiweza na propaganda kibao jitafteni
 
Mimi sikatai unachosema swali ni je, ni jukumu la Trump kuhakikisha Tz ina hizo dawa? If not why mnamlalamikia?
 
Disease burden ya wakorea kusini, wajapan, Russia, Norway na hata hao wamarekani ni nani Huwa anawabebea?
 
Mkuu ilikuwa ni jambo la muda tu na huenda nchi zingine nazo zikafuata. Hakuna tunachowadai ni serikali zetu zijipange mkuu. Si ego, ni American first. Anaona nchi yake inatoa misaada wakati wao wenyewe ndani wana raia wao wanahitaji misaada.
Ndiyo ninakubali kuwa tutaathirika ila kwa Wamerekani nadhani kwao ni jambo bora.
 
Watajua tu thamani ya kidoge kimoja, si vilikuwa bure wakaona mambo ni rahisi!
Subiri muda si mrefu zitakuja nyuzi za malalamiko humu watu kutomudu huduma za matibabu na dawa
 
Tunaweza kujihudumia. Trump aendelee na utaratibu wake.
Fedha inayopotea kwa anasa na matumizi binafsi ya viongozi ni nyingi mno.
 
Mfuasi wake? Ulimpigia kura? Ni sahihi kuitwa nyani.
 
Ila magari ya mill 400 mnanunua ?
 
Huoni ht haya kumwita Trump mpuuzi? We unaumwa unahitaji matibabu. Mtu amekataa kukusaidia unawezaje kumtukana km siyo mwehu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…