Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

Nilikuwa najua wanaume wanachukia wanawake wenye tattoo

1. Ikitokea nikapiga nitaweka kifuani
2. Napenda tu tattoo naona ni urembo japo siwezi kuchora
3. Hawakusema kwa kweli ila wanapenda tu tattoo
hapo hakuna mwanaume, ni vijana wa kiume ama wavulana. A gentleman cant even speak of tattos...wao wamekusoma wakaona una interests na hizo mambo wamekuvutia huko huko upendako maana ndio njia rahisi ya kukupata. Achana na akili za kidume mawindoni 😂😂😂😂😂 ukijaa tu umeisha af itabaki story!
 
Sasa kumpeleka mpaka kwa wazazi na kutoa mahari si ilibaki taratibu za kidini tu? Na walikua wanaishi wote kama mke na mume karibia two years.
Kilichomfanya asimuoe anasema aligundua dada analiwa na mtu mwingine
Hizo sababu tu alimtafutia alijitoa kwa kumuaminisha kwanza na badae kumtema lakini ukweli asingemuoa kwa vyovyote.
 
Mwanamke mwenye tattoo ni wa kula nae bata tu! Ni ajabu na ni mara chache Kwa sisi wanaume kumuamini hadi kumpa cheo cha mama watoto binti aliyejichora tattoo kwasabaBu tunaaMini huyo ni malaya
 
Yes michepuko wangu uchore mwili mzima lkn sio mke wangu...

Kuna katabia wanaume wanako kwa wanawake ambao hawana malengo nao Kila unalofanya anaweza kusifia liwe halipendi au Analipenda as long as unampa game,Sasa ukitaka kujua na sisi tunakuwaga wanafiki ifike kipindi unataka muowane au umwambie una mimba ndo utajua hukuwahi kupendwa bali ulikuwa mzuri kwenye burudani tu.Atakubadilikia na kukupiga matukio mpk ukome,vitu alivyodai Ni normal tu Haina shida ndo vitaku disqualify mpaka ushangae
 
Mimi bado mshamba jamani...nilishamwahidi mwanangu hatonyonya ziwa lenye tattoo...

Mdada aliechora tattoo naogopa hata tembea nae..sioni kama anatofauti na mdada mzuri alafu akapgilia u mini wa hatari alafu nipite nae mbele ya jamii yetu ya ktanzania.

Bora hata wanaojichora viunoni mahali wasioweza kuona watu...hao sina shda nao ila hawa ambao tattoo zipo miguuni,mikononi,shingoni,nyonyo...Weka mbali namimi (ntabaki mshamba hv hv tu)
 
Mwanamke mwenye tattoo ni wa kula nae bata tu! Ni ajabu na ni mara chache Kwa sisi wanaume kumuamini hadi kumpa cheo cha mama watoto binti aliyejichora tattoo kwasabaBu tunaaMini huyo ni malaya

Yes michepuko wangu uchore mwili mzima lkn sio mke wangu...

Kuna katabia wanaume wanako kwa wanawake ambao hawana malengo nao Kila unalofanya anaweza kusifia liwe halipendi au Analipenda as long as unampa game,Sasa ukitaka kujua na sisi tunakuwaga wanafiki ifike kipindi unataka muowane au umwambie una mimba ndo utajua hukuwahi kupendwa bali ulikuwa mzuri kwenye burudani tu.Atakubadilikia na kukupiga matukio mpk ukome,vitu alivyodai Ni normal tu Haina shida ndo vitaku disqualify mpaka ushangae

Mchepuko wangu kwakweli hata mimi na support hoja Uchore popote pale ila sio MKE WANGU...

Wasichojua ni kwamba Tattooo hata iwe nzuri kama pesa ila ukishaizoea machoni inakua kero Natamani nijipge pasi hii mikono ila ndo siwezi...na hamna kitu inanikera kama mtu kunambia "nimependa tattooo yako" anantia hasira kinoma

Si support MKE achore tattoo...ila vi mada asee nampeleka mwenyewe akachore
 
Kuna siku nilikua nasafiri na rafiki zangu wawili mmoja ni mwanajeshi. Akawa anapondea sana tattoo yeye na huyo mwingine. Wakawa mpaka wanatoa mfano wa rafiki yetu mwingine mwenye tattoo kwamba anaonekana wa ajabu sijui nini.
Nichowajibu ni kwamba tattoo ni urembo tu sema nikaelewa.

Sasa nimekutana na wakaka kama watatu. Mapenzi yao kwa tattoo yamenishangaza sana. Tuseme wote walikua wananitaka cha ajabu wanashangaa kwanini sina tattoo.
Mmoja wapo ananiambia akiona mwanamke ana tattoo anadata kabisa.
Aliniambia siku nikiwa tayari kudate nae atapenda nichore tattoo na mchoraji ataniletea mwenyewe lakini yeye hana tattoo na hawezi kuchora tattoo.

Mwingine tena ananiambia kiasi gani anapenda tattoo hasa tattoo ya kiuno (kanishauri pia nikitaka kuchora tattoo nichore kiunoni ndo nitapendeza zaidi). Ananiambia rafiki zangu wana tattoo kwanini mimi sina.

Nimeshangaa tu haya mambo ya wanaume kupenda tattoo za wadada niaje au ni utamaduni wa nje umewabadilisha fikra zao au ndio mabadiliko ya kaka zetu kuanza kuona tattoo ni urembo kama kucha na nywele.
Unaendana nao kimawazo.
Ila si dhani kama wake zao wanazo
 
Back
Top Bottom