Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baby..Shanga kamzidi tattoo??Usifananishe shanga na tattoo wewe. Shanga ni samsing elsi
hapo hakuna mwanaume, ni vijana wa kiume ama wavulana. A gentleman cant even speak of tattos...wao wamekusoma wakaona una interests na hizo mambo wamekuvutia huko huko upendako maana ndio njia rahisi ya kukupata. Achana na akili za kidume mawindoni 😂😂😂😂😂 ukijaa tu umeisha af itabaki story!1. Ikitokea nikapiga nitaweka kifuani
2. Napenda tu tattoo naona ni urembo japo siwezi kuchora
3. Hawakusema kwa kweli ila wanapenda tu tattoo
Hawezi kuwa mume, hapo ni friendly matches tu kisha kila mtu anakula kona.😂😂😂Ukikutana na Bwana anapenda tattoo bhasi jua ni muhuni flani ambae mnapotezeana tu muda
Translation: Mpenzi muhuni, but mume awe mwenye busara.😂😂😂Unapenda mlume mwenye tatoo
Ila hutaki mumeo awe na tatooo
Hueleweki!!!!!!
we mama ujue unatuchanganya😂😂😂Ndio. Nikiona mwanaume mwenye tattoo napenda.
Na sikumbuki kudate mwanaume mwenye tattoo pia.
Ila nikiona mwanaume anayo nafurahi tu kuiangalia
mpenzi siku nikiskia unaongelea habari ya tatoo wa kukuokoa itakuwa ustawi dawati la jinsia. Ntapasua hiko kichwa niondoe ujinga wako wote.Akakuchoreshe lijitatoo halafu siku ya siku akuache
Hata.me nimehisi hilo, huyu sio mzigua naemfahamu mimi. This attitude appears to be odd!"Kidogo amuoe..." Hakumuoa.
Mzigua, are you drinking now?
Hizo sababu tu alimtafutia alijitoa kwa kumuaminisha kwanza na badae kumtema lakini ukweli asingemuoa kwa vyovyote.Sasa kumpeleka mpaka kwa wazazi na kutoa mahari si ilibaki taratibu za kidini tu? Na walikua wanaishi wote kama mke na mume karibia two years.
Kilichomfanya asimuoe anasema aligundua dada analiwa na mtu mwingine
hahah mie pia nawaza hilo hilo juu ya mwanamke mwenye anae tatoo na vikukuMwanamke mwenye tattoo namwona kama kicheche...hizo ni thought zangu tu
Hata.me nimehisi hilo, huyu sio mzigua naemfahamu mimi. This attitude appears to be odd!
Mwanamke mwenye tattoo ni wa kula nae bata tu! Ni ajabu na ni mara chache Kwa sisi wanaume kumuamini hadi kumpa cheo cha mama watoto binti aliyejichora tattoo kwasabaBu tunaaMini huyo ni malaya
Yes michepuko wangu uchore mwili mzima lkn sio mke wangu...
Kuna katabia wanaume wanako kwa wanawake ambao hawana malengo nao Kila unalofanya anaweza kusifia liwe halipendi au Analipenda as long as unampa game,Sasa ukitaka kujua na sisi tunakuwaga wanafiki ifike kipindi unataka muowane au umwambie una mimba ndo utajua hukuwahi kupendwa bali ulikuwa mzuri kwenye burudani tu.Atakubadilikia na kukupiga matukio mpk ukome,vitu alivyodai Ni normal tu Haina shida ndo vitaku disqualify mpaka ushangae
Unaendana nao kimawazo.Kuna siku nilikua nasafiri na rafiki zangu wawili mmoja ni mwanajeshi. Akawa anapondea sana tattoo yeye na huyo mwingine. Wakawa mpaka wanatoa mfano wa rafiki yetu mwingine mwenye tattoo kwamba anaonekana wa ajabu sijui nini.
Nichowajibu ni kwamba tattoo ni urembo tu sema nikaelewa.
Sasa nimekutana na wakaka kama watatu. Mapenzi yao kwa tattoo yamenishangaza sana. Tuseme wote walikua wananitaka cha ajabu wanashangaa kwanini sina tattoo.
Mmoja wapo ananiambia akiona mwanamke ana tattoo anadata kabisa.
Aliniambia siku nikiwa tayari kudate nae atapenda nichore tattoo na mchoraji ataniletea mwenyewe lakini yeye hana tattoo na hawezi kuchora tattoo.
Mwingine tena ananiambia kiasi gani anapenda tattoo hasa tattoo ya kiuno (kanishauri pia nikitaka kuchora tattoo nichore kiunoni ndo nitapendeza zaidi). Ananiambia rafiki zangu wana tattoo kwanini mimi sina.
Nimeshangaa tu haya mambo ya wanaume kupenda tattoo za wadada niaje au ni utamaduni wa nje umewabadilisha fikra zao au ndio mabadiliko ya kaka zetu kuanza kuona tattoo ni urembo kama kucha na nywele.