Nimejaribu kukuelewa mkuu ila nadhani upeo wangu ni mdogo au mkubwa sana kuweza kuelewa ulichomaanisha. Zidumu fikra za mwenyekiti
Kwani Nyerere alitawala pia Guam?Kumbe ni kawaida sana?
They feel sadMkuu mambo yanasikitisha sana haya, sijui hawa wale wanajeshi wa Guam wanajionaje?
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza...Funga bakuli lako nawa miguu ukalaleNimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Mkuu,mafuta yataa yamemwagwa shimoni,hivyo nyoka lazima watoke tuuu hamna namna.yeye ni nyoka wa aina gani hadi astahimili?Nani kasema kwamba ni Tz?
Inamaana wale ma charlii nawakutaga pale ukutani Kona ya soko la samaki wamebeba magitaa Ni wa kule kupita benako??? Vidogo vidogo vyeusiii !!!britanicca
yupo kama jiwe
kuna siku anaamkaga
kama CCM asilia wa mrengo wa kulia..
siku nyingine
kama CCM mageuzi pinzani..
Haya tumeyasema tangu mwaka jana...
Zote mbiliHuyu ISIS ni Jinsia gan kwan
Mkuu,kwamba wewe kutembea kifua mbereee hutaki?.tuko kwenye raiti traki mkuuu[emoji16] [emoji16]Taarifa nyingi za mleta thread huwa naziamini zaidi ya 99%..... Tulisha ingizwa kingi
Uchumi wa Tanzania ulipo unasikitisha sana
Halafu cha kusikitisha hiyo Nchi ya Guam ina wanajeshi wake wanalinda amani kule Vietnam kupambana na Waasi na hao waasi wanapewa nguvu na Silaha na kiongozi wa nchi iliyotoa ulinzi kwa huyo kiongozi wa Guam na inafikia hadi wanajeshi walindao amani kule Vietnam wanauawa kila mara na hao waasi wanapewa nguvu na hako kanchi kanakomlinda huyo kiongozi wa Guam
Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?
Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,
Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana
Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi
Mungu awabariki watu wa Guam
Hivyo ni vikosi saidizi au "auxiliary force" au kwa lugha ingine "paramilitary force".
Lakini mbona wanaonekanana wazi?
Sema hawakuwahi kuonekana kwenye hali tofauti ya hewa hapo kisiwani Guam.
Inakubalika kabisa hiyo, khasa baada ya jamaa wale kugundulika mipango yao halisi na jamaa zao wahisani.
Ila mkuu, fuata ushauri wa Pascal.
Hii statement imenikumbusha Bush alipokuwa anataka kumchapa Sadam Hussein 🙂.Absence of evidence is not evidence of absence
..Je, hao ndiyo wahusika lile tukio la Sept 7, 2017?
...bado umeamini ujinga ambao kamwe hauwezekani,..nchii hii ni makini vyombo vya usalama visingekubali tz1 alindwe na hao vilaza wa Rwanda never
...nina imani kubwa na vyombo vyetu vya usalama
Wanamlinda ndugu yao kwani wanajua kuwa mfalme j sio raia wa Guam bali ni mzaliwa wa kale kanchi kanakomlinda