Uchaguzi 2020 Nilikuwepo kwenye mkutano, sijapenda kuchangishwa fedha kinguvu

This is really pathetic! Chama kikubwa cha siasa wanashindwa kutengeneza pay bill number kuwezesha wachangia ku ili deposit hela kirahusi??
 
Kasema kwa mdomo wake pesa hawana na ndio alaanza kusema sisi tunapaswa kuwachangia
Kumbe Ni kweli hela ya diesel imekata, kwahiyo chops mwaka huu hamna?
 
Kweli aisee,
Kuna jamaa yangu alianza kufatisha ghafla akasikia chagua namba 4, kumbukumbu namba weka CDM2020, ghafla weka kiasi, ghafla password...... Jamaa akashtuka nkaona anaitia simu mfukoni
Kumbe hadi kuchangishana? Hii kali aisee, ruzuku wamegawana na kununua magari ya kifahari leo wanawachangisha masikini, kauli ya mwenye nacho anaongezewa na masikini ananyang'anywa kile kidogo alichonacho.
 
This is really pathetic! Chama kikubwa cha siasa wanashindwa kutengeneza pay bill number kuwezesha wachangia ku ili deposit hela kirahusi??
Imagine kipindi cha Lowassa walipata wabunge wengi sana. Wameshindwa hata kuanzisha TV. Hata kujenga majengo wapangishe ili wapate vyanzo vingine vya pesa. Chadema leo wameniangusha kabisa. Unajua hata kama hawana dola wanatakiwa basi wafanye efforts tuone kweli hawa they are trying. Organisation ni zero.
 
Tupo tayari kusikiliza sera zake, ila pesa HATUNA

Kwani mlilazimishwa? Kwani hata msiposikiliza sera zake yupo anayewahitaji?

Maafisa vipenyo, mbona mtajitambulisha wenyewe.

Mdogo mdogo mbona tutawajua wote.
 
Kweli aisee,
Kuna jamaa yangu alianza kufatisha ghafla akasikia chagua namba 4, kumbukumbu namba weka CDM2020, ghafla weka kiasi, ghafla password...... Jamaa akashtuka nkaona anaitia simu mfukoni
Kuchangisha? Hiki chama na Mbowe ni wapigaji sana, yaani huyu mmachame ni mpigaji hatari.
 
Wana account CRDB, kuna jamaa yangu alianza kufatisha ghafla akasikia chagua namna 4, kumbukumbu namba weka CDM2020, ghafla weka kiasi, ghafla password...... Jamaa akashtuka nkaona anaitia simu mfukoni
Duh mi nimeshawatuma 7800
 
Huyu hata kampeni hatomaliza
Siku ya kwanza tu bakuli?
 


Wanawake hua ni kawaida yetu kuwa na wivu na unafki .msamehe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…