Ni kweli shetani alimpitia ila sasa ndio hivyo kadakwa so mume kaamua kufanya maamuzi magumubahati mbaya shetani alimpitia jamani 🙆♀️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli shetani alimpitia ila sasa ndio hivyo kadakwa so mume kaamua kufanya maamuzi magumubahati mbaya shetani alimpitia jamani 🙆♀️
Haraf mi kwa upande wangu siumiagi kwa mambo kama hayoAiseee! We fala sana. Mimi hiyo video cha kwanza napigia mpunga kwa shemeji na hawara yake. Wangeendea haki.
maskini mume wa watu hata alikua hajui kinachoendelea,,,, hivi kwanini mnapenda kuishi jirani na ndugu aagh🤨Ni kweli shetani alimpitia ila sasa ndio hivyo kadakwa so mume kaamua kufanya maamuzi magumu
Huyo alikuwa anafanya kazi bwana.maskini mume wa watu hata alikua hajui kinachoendelea,,,, hivi kwanini mnapenda kuishi jirani na ndugu aagh🤨
Dharau mbaya sana..Watu ni waajabu unakosa hata 25000 cha kwenda nyumba ya wageni jamani. Ndo unafanyia home. Hata jamaa yule sijui alijiamini nini.
hata mimi ningefanya hivyohivyo. labda kama sio kaka yangu ndo anaibiwa.Hiyo issue ilitokea 5 years ago kwa kaka yangu, baba na mama mmoja. Baada ya kumaliza chuo nikapata kikazi cha kujishikisha katika hospital karibu na anaposhi broo wangu, kaka yangu alijua kabisa kuwa ninafanya kazi karibu na nyumbani kwake. Sio mbali ni kama 400 meters hivi.
Kaka yangu anamke na watoto 2 wamezaa na mkewe wake wa ndoa kabisa tena ya kanisani.
Kuna siku kaka yangu alisafiri kwenda mkoa mwingine unavuka kama mikoa 3 hivi kutoka tulipo alikaa kule kama 3 weeks hivi mpaka kurudi kwake.
Sasa baada ya wiki kama moja tangu aondoke aiku moja nakumbula ilikuwa ni j3. Nilimpigia nikamwambia kuwa bro kuna kitu nahitaji, yeye alikuwanacho ila aliaacha nyumbani kwake kwa hio akaniambia niende nikachukue kwake.
Sasa majira kama saa 4 hivi asubui pale hospitalini watu wanaenda kupata breakfast na mimi nikasema ngoja niende home kwake nikachukue.
Aliniambia kuwa utamkuta mfanyakazi maana mfanyakazi mimi ananifahamu. Mimi nikafika pale home kwake , na mimi ninajua bro ana IST, na niliikita pale kwake, nikaonainamaana mkewe ajaondoka maana mkewe anakazi na anajua kuendesha gari.
Mbaya zaidi geti lilikuwa wazi ni kufungua na kuingia( shetani bhana).
Nyumba ilikuwa tulivu kama mtu hakuna, niliona mbona kuko kimya hivi. Nilitembea taratibu mpaka uwani kule, mlango wa kuingilia jikoni, nilikuta hakuna mtu, nikasema ngoja nizunguke mbele tena, sasa upande niliyopitia ni upande wa chumba cha watoto, nimepita nikasikia kama watu wanapumua sana na kuhemu , nilishituka kidogo kwa sababu na mimi ni binadamu.
Nikasema huyu ni mfanyakazi au ni shemeji?
Au shemeji wanasagana na mfanyakazi?
Mimi nikaamini atakuwa ni mfanyakazi labda shemeji kaacha gari leo na kwenda kazini hivihivi.
Nikasema ngoja niangalie mlango kama upo wazi, mlango wa kuingilia jikoni ndo ulikuwa wazi wa mbele ulifungwa. Mimi nilichukua simu yangu smart yangu ili nirekodi tukio bwana kichwani mwangu niliamini ni mfanya kazi.
Nilipofika chumba cha watoto nilifungua mlango cha kushangaza nilikuta shemeji na mtu sikumjua, ila wao hawakunishitukia walikuwa 6x6, niliduaa kama 5 seconds hivi nawaangalia, kisha nikasema shemeji huku nimeshika simu nawarekodi. Walishituka sana tena sana. Mimi nikaona huu ni msala nikaamua kusepa. Na kurudi hospitali.
Baadae nikamwambia bro nishachukua akasema sawa. Iliniuma sana isitoshe mimi niliumizwa kipindi nipo chuo niliumia sana bro wangu kumegewa tena sana.
Shemeji aliangaika kunipigia simu ili tukutane ila nilikuwa na maumivu sana. Mwishowe nilimblock kwenye simu na whatsApp.
Nikasema bro akirudi lazima nimwambie na kumuonyesha video hii.
Niliona bro anaweza kulea watoto sio wake kwa staili hio.
Alivyorudi baada ya siku kama 4 hivi tulikutana na nilifanikiwa kumueleza kila kitu kaka yangu na kumuonyesha.
Uliibuka ugomvi mkubwa sana na mkewe.
Kumbe yule jamaa, ni workmate wake. Na siku ile mfanyakazi alimtuma mjini na watoto walikuwa shule. Yeye ndo akaamua kufanya hivyo.
Ila mwishowe Ndoa yao ilivunjika na ni ya kanisani.
Sijawahi kuumia wala kujutia kwa lile tukio. Japo kuna baadhi ya ndugu wananiona kama ni mkorofi hasa upande wa aliyekuwa shemeji.
Msiseme mimi ndo nimevunja ndoa jamani.
Kosa la huyo jamaa kuja kumla mke ndani ya nyumba ya mumewe. Hiyo ni dharau sana, hiyo ndo adhabu anayoistahili huyo mgoni. Ana bahati sana!!Hapana jamani ata kama umemfumania mke na njema mambk ya kula kisamvu cha kopo wakati ni mkeo alikubali kugegedwa? Kisamvu cha kopo waliwe wanawake tuu
Ah sasa hapo home sii ndio vizuri mzee unamgegeda mke wa mtu huku unamwambia mtukane mumeo bwana au wee hujawahi kula mke ya mtuKosa la huyo jamaa kuja kumla mke ndani ya nyumba ya mumewe. Hiyo ni dharau sana, hiyo ndo adhabu anayoistahili huyo mgoni. Ana bahati sana!!
Hakuna mzinzi mwenye utimamu wa akili. Uzinzi na Ulevi huondoa fahamu za wanadamu.Watu ni waajabu unakosa hata 25000 cha kwenda nyumba ya wageni jamani. Ndo unafanyia home. Hata jamaa yule sijui alijiamini nini.
Naona nawe ndo michezo yako ya kula wake za watu. Endelea tu, siku utakuja kugundua kumbe na wewe ni mtamu pale utapokua umebananishwa.Ah sasa hapo home sii ndio vizuri mzee unamgegeda mke wa mtu huku unamwambia mtukane mumeo bwana au wee hujawahi kula mke ya mtu
Ah kwani akinila tigo shida iko wapi mie mwenyewe nitawakatikia mauno kabisa wajienjoyNaona nawe ndo michezo yako ya kula wake za watu. Endelea tu, siku utakuja kugundua kumbe na wewe ni mtamu pale utapokua umebananishwa.
Hiyo issue ilitokea 5 years ago kwa kaka yangu, baba na mama mmoja. Baada ya kumaliza chuo nikapata kikazi cha kujishikisha katika hospital karibu na anaposhi broo wangu, kaka yangu alijua kabisa kuwa ninafanya kazi karibu na nyumbani kwake. Sio mbali ni kama 400 meters hivi.
Kaka yangu anamke na watoto 2 wamezaa na mkewe wake wa ndoa kabisa tena ya kanisani.
Kuna siku kaka yangu alisafiri kwenda mkoa mwingine unavuka kama mikoa 3 hivi kutoka tulipo alikaa kule kama 3 weeks hivi mpaka kurudi kwake.
Sasa baada ya wiki kama moja tangu aondoke aiku moja nakumbula ilikuwa ni j3. Nilimpigia nikamwambia kuwa bro kuna kitu nahitaji, yeye alikuwanacho ila aliaacha nyumbani kwake kwa hio akaniambia niende nikachukue kwake.
Sasa majira kama saa 4 hivi asubui pale hospitalini watu wanaenda kupata breakfast na mimi nikasema ngoja niende home kwake nikachukue.
Aliniambia kuwa utamkuta mfanyakazi maana mfanyakazi mimi ananifahamu. Mimi nikafika pale home kwake , na mimi ninajua bro ana IST, na niliikita pale kwake, nikaonainamaana mkewe ajaondoka maana mkewe anakazi na anajua kuendesha gari.
Mbaya zaidi geti lilikuwa wazi ni kufungua na kuingia( shetani bhana).
Nyumba ilikuwa tulivu kama mtu hakuna, niliona mbona kuko kimya hivi. Nilitembea taratibu mpaka uwani kule, mlango wa kuingilia jikoni, nilikuta hakuna mtu, nikasema ngoja nizunguke mbele tena, sasa upande niliyopitia ni upande wa chumba cha watoto, nimepita nikasikia kama watu wanapumua sana na kuhemu , nilishituka kidogo kwa sababu na mimi ni binadamu.
Nikasema huyu ni mfanyakazi au ni shemeji?
Au shemeji wanasagana na mfanyakazi?
Mimi nikaamini atakuwa ni mfanyakazi labda shemeji kaacha gari leo na kwenda kazini hivihivi.
Nikasema ngoja niangalie mlango kama upo wazi, mlango wa kuingilia jikoni ndo ulikuwa wazi wa mbele ulifungwa. Mimi nilichukua simu yangu smart yangu ili nirekodi tukio bwana kichwani mwangu niliamini ni mfanya kazi.
Nilipofika chumba cha watoto nilifungua mlango cha kushangaza nilikuta shemeji na mtu sikumjua, ila wao hawakunishitukia walikuwa 6x6, niliduaa kama 5 seconds hivi nawaangalia, kisha nikasema shemeji huku nimeshika simu nawarekodi. Walishituka sana tena sana. Mimi nikaona huu ni msala nikaamua kusepa. Na kurudi hospitali.
Baadae nikamwambia bro nishachukua akasema sawa. Iliniuma sana isitoshe mimi niliumizwa kipindi nipo chuo niliumia sana bro wangu kumegewa tena sana.
Shemeji aliangaika kunipigia simu ili tukutane ila nilikuwa na maumivu sana. Mwishowe nilimblock kwenye simu na whatsApp.
Nikasema bro akirudi lazima nimwambie na kumuonyesha video hii.
Niliona bro anaweza kulea watoto sio wake kwa staili hio.
Alivyorudi baada ya siku kama 4 hivi tulikutana na nilifanikiwa kumueleza kila kitu kaka yangu na kumuonyesha.
Uliibuka ugomvi mkubwa sana na mkewe.
Kumbe yule jamaa, ni workmate wake. Na siku ile mfanyakazi alimtuma mjini na watoto walikuwa shule. Yeye ndo akaamua kufanya hivyo.
Ila mwishowe Ndoa yao ilivunjika na ni ya kanisani.
Sijawahi kuumia wala kujutia kwa lile tukio. Japo kuna baadhi ya ndugu wananiona kama ni mkorofi hasa upande wa aliyekuwa shemeji.
Msiseme mimi ndo nimevunja ndoa jamani.
😂😂😂una ufala mwingi sana mkuu.Ah kwani akinila tigo shida iko wapi mie mwenyewe nitawakatikia mauno kabisa wajienjoy
Sasa mwanawane wee utaendaje kumgegeda mke wa mtu kwa nyumba ya mume wake alafu wee huli tope? Kama nikula mbususu tuu chobingoz zipo nyingi tuu😂😂😂una ufala mwingi sana mkuu.