Nilimfumania shemeji yangu, Nikachukua uamuzi huu na kikatokea hiki, wewe ulifanyaje?

Huyo alikuwa anafanya kazi bwana.
Sasa jamani wanawake kama mnataka kuenjoy de libolo tofauti sii mseme tuu kuwa ndoa hamtaki that simple.
Alafu ebu njoo tuonjeshane jamani wewe mrembo. Mie nitakupa uhuru wa kuonja de libolo zingine na utaendelea kuwa mke wangu cha msingi uje na style mpya alizokupiga huyo workmate wako
ona sasa😃😃😃🤦‍♀️
 
Dah niliwahi fanya kitu kama hii chumba Chao cha watoto dah haina mzuka maana unakuwa unapiga huku unatoa macho unasikilizia kama kuna mtu anawanyatia.
Kiukweli nilikuwa natetemeka sana.
Nahisi nikizeeka nitakuwa najuta sana maana nimetenda mengi sanaa wakuu.
Mungu anisamehee
 
Hiyo issue ilitokea 5 years ago kwa kaka yangu, baba na mama mmoja. Baada ya kumaliza chuo nikapata kikazi cha kujishikisha katika hospital karibu na anaposhi broo wangu, kaka yangu alijua kabisa kuwa ninafanya kazi karibu na nyumbani kwake. Sio mbali ni kama 400 meters hivi.

Kaka yangu anamke na watoto 2 wamezaa na mkewe wake wa ndoa kabisa tena ya kanisani.

Kuna siku kaka yangu alisafiri kwenda mkoa mwingine unavuka kama mikoa 3 hivi kutoka tulipo alikaa kule kama 3 weeks hivi mpaka kurudi kwake.

Sasa baada ya wiki kama moja tangu aondoke aiku moja nakumbula ilikuwa ni j3. Nilimpigia nikamwambia kuwa bro kuna kitu nahitaji, yeye alikuwanacho ila aliaacha nyumbani kwake kwa hio akaniambia niende nikachukue kwake.

Sasa majira kama saa 4 hivi asubui pale hospitalini watu wanaenda kupata breakfast na mimi nikasema ngoja niende home kwake nikachukue.

Aliniambia kuwa utamkuta mfanyakazi maana mfanyakazi mimi ananifahamu. Mimi nikafika pale home kwake , na mimi ninajua bro ana IST, na niliikita pale kwake, nikaonainamaana mkewe ajaondoka maana mkewe anakazi na anajua kuendesha gari.

Mbaya zaidi geti lilikuwa wazi ni kufungua na kuingia( shetani bhana).

Nyumba ilikuwa tulivu kama mtu hakuna, niliona mbona kuko kimya hivi. Nilitembea taratibu mpaka uwani kule, mlango wa kuingilia jikoni, nilikuta hakuna mtu, nikasema ngoja nizunguke mbele tena, sasa upande niliyopitia ni upande wa chumba cha watoto, nimepita nikasikia kama watu wanapumua sana na kuhemu , nilishituka kidogo kwa sababu na mimi ni binadamu.

Nikasema huyu ni mfanyakazi au ni shemeji?
Au shemeji wanasagana na mfanyakazi?
Mimi nikaamini atakuwa ni mfanyakazi labda shemeji kaacha gari leo na kwenda kazini hivihivi.

Nikasema ngoja niangalie mlango kama upo wazi, mlango wa kuingilia jikoni ndo ulikuwa wazi wa mbele ulifungwa. Mimi nilichukua simu yangu smart yangu ili nirekodi tukio bwana kichwani mwangu niliamini ni mfanya kazi.

Nilipofika chumba cha watoto nilifungua mlango cha kushangaza nilikuta shemeji na mtu sikumjua, ila wao hawakunishitukia walikuwa 6x6, niliduaa kama 5 seconds hivi nawaangalia, kisha nikasema shemeji huku nimeshika simu nawarekodi. Walishituka sana tena sana. Mimi nikaona huu ni msala nikaamua kusepa. Na kurudi hospitali.

Baadae nikamwambia bro nishachukua akasema sawa. Iliniuma sana isitoshe mimi niliumizwa kipindi nipo chuo niliumia sana bro wangu kumegewa tena sana.

Shemeji aliangaika kunipigia simu ili tukutane ila nilikuwa na maumivu sana. Mwishowe nilimblock kwenye simu na whatsApp.

Nikasema bro akirudi lazima nimwambie na kumuonyesha video hii.
Niliona bro anaweza kulea watoto sio wake kwa staili hio.

Alivyorudi baada ya siku kama 4 hivi tulikutana na nilifanikiwa kumueleza kila kitu kaka yangu na kumuonyesha.

Uliibuka ugomvi mkubwa sana na mkewe.
Kumbe yule jamaa, ni workmate wake. Na siku ile mfanyakazi alimtuma mjini na watoto walikuwa shule. Yeye ndo akaamua kufanya hivyo.

Ila mwishowe Ndoa yao ilivunjika na ni ya kanisani.

Sijawahi kuumia wala kujutia kwa lile tukio. Japo kuna baadhi ya ndugu wananiona kama ni mkorofi hasa upande wa aliyekuwa shemeji.

Msiseme mimi ndo nimevunja ndoa jamani.
Ulikuwa sahihi mkuu na bahati ilikuwa upande wako mungu kumpa brih wako ufahamu maana km broh angekuwa kichwa maji mgeishia kugombna
 
Ingekuwa ni Mimi, Basi ninge mkanya huyo mwanamke asirudie huo upuuzi,

Nisinge chukua video wala kumwambia Kaka chochote.

wewe ni mwanaume, Kuna baadhi ya Mambo una maliza kiume hata Kama yanaumiza moyo kiasi gani.
 
Hiyo issue ilitokea 5 years ago kwa kaka yangu, baba na mama mmoja. Baada ya kumaliza chuo nikapata kikazi cha kujishikisha katika hospital karibu na anaposhi broo wangu, kaka yangu alijua kabisa kuwa ninafanya kazi karibu na nyumbani kwake. Sio mbali ni kama 400 meters hivi.

Kaka yangu anamke na watoto 2 wamezaa na mkewe wake wa ndoa kabisa tena ya kanisani.

Kuna siku kaka yangu alisafiri kwenda mkoa mwingine unavuka kama mikoa 3 hivi kutoka tulipo alikaa kule kama 3 weeks hivi mpaka kurudi kwake.

Sasa baada ya wiki kama moja tangu aondoke aiku moja nakumbula ilikuwa ni j3. Nilimpigia nikamwambia kuwa bro kuna kitu nahitaji, yeye alikuwanacho ila aliaacha nyumbani kwake kwa hio akaniambia niende nikachukue kwake.

Sasa majira kama saa 4 hivi asubui pale hospitalini watu wanaenda kupata breakfast na mimi nikasema ngoja niende home kwake nikachukue.

Aliniambia kuwa utamkuta mfanyakazi maana mfanyakazi mimi ananifahamu. Mimi nikafika pale home kwake , na mimi ninajua bro ana IST, na niliikita pale kwake, nikaonainamaana mkewe ajaondoka maana mkewe anakazi na anajua kuendesha gari.

Mbaya zaidi geti lilikuwa wazi ni kufungua na kuingia( shetani bhana).

Nyumba ilikuwa tulivu kama mtu hakuna, niliona mbona kuko kimya hivi. Nilitembea taratibu mpaka uwani kule, mlango wa kuingilia jikoni, nilikuta hakuna mtu, nikasema ngoja nizunguke mbele tena, sasa upande niliyopitia ni upande wa chumba cha watoto, nimepita nikasikia kama watu wanapumua sana na kuhemu , nilishituka kidogo kwa sababu na mimi ni binadamu.

Nikasema huyu ni mfanyakazi au ni shemeji?
Au shemeji wanasagana na mfanyakazi?
Mimi nikaamini atakuwa ni mfanyakazi labda shemeji kaacha gari leo na kwenda kazini hivihivi.

Nikasema ngoja niangalie mlango kama upo wazi, mlango wa kuingilia jikoni ndo ulikuwa wazi wa mbele ulifungwa. Mimi nilichukua simu yangu smart yangu ili nirekodi tukio bwana kichwani mwangu niliamini ni mfanya kazi.

Nilipofika chumba cha watoto nilifungua mlango cha kushangaza nilikuta shemeji na mtu sikumjua, ila wao hawakunishitukia walikuwa 6x6, niliduaa kama 5 seconds hivi nawaangalia, kisha nikasema shemeji huku nimeshika simu nawarekodi. Walishituka sana tena sana. Mimi nikaona huu ni msala nikaamua kusepa. Na kurudi hospitali.

Baadae nikamwambia bro nishachukua akasema sawa. Iliniuma sana isitoshe mimi niliumizwa kipindi nipo chuo niliumia sana bro wangu kumegewa tena sana.

Shemeji aliangaika kunipigia simu ili tukutane ila nilikuwa na maumivu sana. Mwishowe nilimblock kwenye simu na whatsApp.

Nikasema bro akirudi lazima nimwambie na kumuonyesha video hii.
Niliona bro anaweza kulea watoto sio wake kwa staili hio.

Alivyorudi baada ya siku kama 4 hivi tulikutana na nilifanikiwa kumueleza kila kitu kaka yangu na kumuonyesha.

Uliibuka ugomvi mkubwa sana na mkewe.
Kumbe yule jamaa, ni workmate wake. Na siku ile mfanyakazi alimtuma mjini na watoto walikuwa shule. Yeye ndo akaamua kufanya hivyo.

Ila mwishowe Ndoa yao ilivunjika na ni ya kanisani.

Sijawahi kuumia wala kujutia kwa lile tukio. Japo kuna baadhi ya ndugu wananiona kama ni mkorofi hasa upande wa aliyekuwa shemeji.

Msiseme mimi ndo nimevunja ndoa jamani.
Ulikua Sahihi Mkuu.

Shemeji aliwe, ila sio kuliwa ndani Kwa Kaka yako.

Hongera sana.
 
Shahidi hafungwi
Mjumbe hauwawi

Ulifanya kazi vyema kulinda maslahi mapana ya Familia

USALITI NI LAANA
USALITI NI KANSA
USALITI HAUSTAHILI M S A M A H A
 
Ungemsikiliza na ww huenda angekupea utamu ukaacha ghubu,,
 
Inauma
 
hii ni stori ya kutunga
 
Back
Top Bottom