Nilimfumania shemeji yangu, Nikachukua uamuzi huu na kikatokea hiki, wewe ulifanyaje?

Hiyo issue ilitokea 5 years ago kwa kaka yangu, baba na mama mmoja. Baada ya kumaliza chuo nikapata kikazi cha kujishikisha katika hospital karibu na anaposhi broo wangu, kaka yangu alijua kabisa kuwa ninafanya kazi karibu na nyumbani kwake. Sio mbali ni kama 400 meters hivi.

Kaka yangu anamke na watoto 2 wamezaa na mkewe wake wa ndoa kabisa tena ya kanisani.

Kuna siku kaka yangu alisafiri kwenda mkoa mwingine unavuka kama mikoa 3 hivi kutoka tulipo alikaa kule kama 3 weeks hivi mpaka kurudi kwake.

Sasa baada ya wiki kama moja tangu aondoke aiku moja nakumbula ilikuwa ni j3. Nilimpigia nikamwambia kuwa bro kuna kitu nahitaji, yeye alikuwanacho ila aliaacha nyumbani kwake kwa hio akaniambia niende nikachukue kwake.

Sasa majira kama saa 4 hivi asubui pale hospitalini watu wanaenda kupata breakfast na mimi nikasema ngoja niende home kwake nikachukue.

Aliniambia kuwa utamkuta mfanyakazi maana mfanyakazi mimi ananifahamu. Mimi nikafika pale home kwake , na mimi ninajua bro ana IST, na niliikita pale kwake, nikaonainamaana mkewe ajaondoka maana mkewe anakazi na anajua kuendesha gari.

Mbaya zaidi geti lilikuwa wazi ni kufungua na kuingia( shetani bhana).

Nyumba ilikuwa tulivu kama mtu hakuna, niliona mbona kuko kimya hivi. Nilitembea taratibu mpaka uwani kule, mlango wa kuingilia jikoni, nilikuta hakuna mtu, nikasema ngoja nizunguke mbele tena, sasa upande niliyopitia ni upande wa chumba cha watoto, nimepita nikasikia kama watu wanapumua sana na kuhemu , nilishituka kidogo kwa sababu na mimi ni binadamu.

Nikasema huyu ni mfanyakazi au ni shemeji?
Au shemeji wanasagana na mfanyakazi?
Mimi nikaamini atakuwa ni mfanyakazi labda shemeji kaacha gari leo na kwenda kazini hivihivi.

Nikasema ngoja niangalie mlango kama upo wazi, mlango wa kuingilia jikoni ndo ulikuwa wazi wa mbele ulifungwa. Mimi nilichukua simu yangu smart yangu ili nirekodi tukio bwana kichwani mwangu niliamini ni mfanya kazi.

Nilipofika chumba cha watoto nilifungua mlango cha kushangaza nilikuta shemeji na mtu sikumjua, ila wao hawakunishitukia walikuwa 6x6, niliduaa kama 5 seconds hivi nawaangalia, kisha nikasema shemeji huku nimeshika simu nawarekodi. Walishituka sana tena sana. Mimi nikaona huu ni msala nikaamua kusepa. Na kurudi hospitali.

Baadae nikamwambia bro nishachukua akasema sawa. Iliniuma sana isitoshe mimi niliumizwa kipindi nipo chuo niliumia sana bro wangu kumegewa tena sana.

Shemeji aliangaika kunipigia simu ili tukutane ila nilikuwa na maumivu sana. Mwishowe nilimblock kwenye simu na whatsApp.

Nikasema bro akirudi lazima nimwambie na kumuonyesha video hii.
Niliona bro anaweza kulea watoto sio wake kwa staili hio.

Alivyorudi baada ya siku kama 4 hivi tulikutana na nilifanikiwa kumueleza kila kitu kaka yangu na kumuonyesha.

Uliibuka ugomvi mkubwa sana na mkewe.
Kumbe yule jamaa, ni workmate wake. Na siku ile mfanyakazi alimtuma mjini na watoto walikuwa shule. Yeye ndo akaamua kufanya hivyo.

Ila mwishowe Ndoa yao ilivunjika na ni ya kanisani.

Sijawahi kuumia wala kujutia kwa lile tukio. Japo kuna baadhi ya ndugu wananiona kama ni mkorofi hasa upande wa aliyekuwa shemeji.

Msiseme mimi ndo nimevunja ndoa jamani.
Aliyevunja ndoa ni huyo mwanamke wala siyo wewe.
 
Ulifanya sahihi ht Mimi nikifumania km Ndugu yangu ntasema TU,aamue kusuka ama kunyoa,Shem wangu alikua mhuni Sana alitongoza mpk mke wa mdogo wetu nilimuambia sista na ushahidi juu...!!!though ndoa haikuvunjika ila ametia adabu Kwa Sasa Hana ule ujinga alikua anatongoza mpk wapangaji wetu na kuwafata vyooni
 
Amesimama na ndugu yake. Shemeji yake si ndugu yake.
Sasa wewe kwa nini hukupokea simu ya shemeji? Je kama alitaka kukutunuku mbususu? Umechezea fursa bro.
Ila kiujumla umefanya vyema, wewe ni true brother unayemtakia mema kaka yako.
 
Huyo mwanamke alikua na mwisho mbaya na bro wako ndio maana Mungu akakuweka wewe umkomboe, safi sana kijana.
 
Hiyo issue ilitokea 5 years ago kwa kaka yangu, baba na mama mmoja. Baada ya kumaliza chuo nikapata kikazi cha kujishikisha katika hospital karibu na anaposhi broo wangu, kaka yangu alijua kabisa kuwa ninafanya kazi karibu na nyumbani kwake. Sio mbali ni kama 400 meters hivi.

Kaka yangu anamke na watoto 2 wamezaa na mkewe wake wa ndoa kabisa tena ya kanisani.

Kuna siku kaka yangu alisafiri kwenda mkoa mwingine unavuka kama mikoa 3 hivi kutoka tulipo alikaa kule kama 3 weeks hivi mpaka kurudi kwake.

Sasa baada ya wiki kama moja tangu aondoke aiku moja nakumbula ilikuwa ni j3. Nilimpigia nikamwambia kuwa bro kuna kitu nahitaji, yeye alikuwanacho ila aliaacha nyumbani kwake kwa hio akaniambia niende nikachukue kwake.

Sasa majira kama saa 4 hivi asubui pale hospitalini watu wanaenda kupata breakfast na mimi nikasema ngoja niende home kwake nikachukue.

Aliniambia kuwa utamkuta mfanyakazi maana mfanyakazi mimi ananifahamu. Mimi nikafika pale home kwake , na mimi ninajua bro ana IST, na niliikita pale kwake, nikaonainamaana mkewe ajaondoka maana mkewe anakazi na anajua kuendesha gari.

Mbaya zaidi geti lilikuwa wazi ni kufungua na kuingia( shetani bhana).

Nyumba ilikuwa tulivu kama mtu hakuna, niliona mbona kuko kimya hivi. Nilitembea taratibu mpaka uwani kule, mlango wa kuingilia jikoni, nilikuta hakuna mtu, nikasema ngoja nizunguke mbele tena, sasa upande niliyopitia ni upande wa chumba cha watoto, nimepita nikasikia kama watu wanapumua sana na kuhemu , nilishituka kidogo kwa sababu na mimi ni binadamu.

Nikasema huyu ni mfanyakazi au ni shemeji?
Au shemeji wanasagana na mfanyakazi?
Mimi nikaamini atakuwa ni mfanyakazi labda shemeji kaacha gari leo na kwenda kazini hivihivi.

Nikasema ngoja niangalie mlango kama upo wazi, mlango wa kuingilia jikoni ndo ulikuwa wazi wa mbele ulifungwa. Mimi nilichukua simu yangu smart yangu ili nirekodi tukio bwana kichwani mwangu niliamini ni mfanya kazi.

Nilipofika chumba cha watoto nilifungua mlango cha kushangaza nilikuta shemeji na mtu sikumjua, ila wao hawakunishitukia walikuwa 6x6, niliduaa kama 5 seconds hivi nawaangalia, kisha nikasema shemeji huku nimeshika simu nawarekodi. Walishituka sana tena sana. Mimi nikaona huu ni msala nikaamua kusepa. Na kurudi hospitali.

Baadae nikamwambia bro nishachukua akasema sawa. Iliniuma sana isitoshe mimi niliumizwa kipindi nipo chuo niliumia sana bro wangu kumegewa tena sana.

Shemeji aliangaika kunipigia simu ili tukutane ila nilikuwa na maumivu sana. Mwishowe nilimblock kwenye simu na whatsApp.

Nikasema bro akirudi lazima nimwambie na kumuonyesha video hii.
Niliona bro anaweza kulea watoto sio wake kwa staili hio.

Alivyorudi baada ya siku kama 4 hivi tulikutana na nilifanikiwa kumueleza kila kitu kaka yangu na kumuonyesha.

Uliibuka ugomvi mkubwa sana na mkewe.
Kumbe yule jamaa, ni workmate wake. Na siku ile mfanyakazi alimtuma mjini na watoto walikuwa shule. Yeye ndo akaamua kufanya hivyo.

Ila mwishowe Ndoa yao ilivunjika na ni ya kanisani.

Sijawahi kuumia wala kujutia kwa lile tukio. Japo kuna baadhi ya ndugu wananiona kama ni mkorofi hasa upande wa aliyekuwa shemeji.

Msiseme mimi ndo nimevunja ndoa jamani.
Mm nakuunga mkono
 
Ungemsikiliza shemeji yko tu ungepewa kitumbua na wew [emoji23]
 
Back
Top Bottom