funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,624
- 21,362
Na ujenzi ulivyo mgumu mtu umejinyima umekopa mpaka umejenga halafu watu wanakuja kukugongea mkeo kwenye nyumba uliyotolea jasho, machozi na damuKosa la huyo jamaa kuja kumla mke ndani ya nyumba ya mumewe. Hiyo ni dharau sana, hiyo ndo adhabu anayoistahili huyo mgoni. Ana bahati sana!!