Nilimfumania shemeji yangu, Nikachukua uamuzi huu na kikatokea hiki, wewe ulifanyaje?

Aliyevunja ndoa ni huyo mwanamke wala siyo wewe.
 
Ulifanya sahihi ht Mimi nikifumania km Ndugu yangu ntasema TU,aamue kusuka ama kunyoa,Shem wangu alikua mhuni Sana alitongoza mpk mke wa mdogo wetu nilimuambia sista na ushahidi juu...!!!though ndoa haikuvunjika ila ametia adabu Kwa Sasa Hana ule ujinga alikua anatongoza mpk wapangaji wetu na kuwafata vyooni
 
Mkuu naomba niDM namba ya Shem Shem
 
Hujavunja ndoa. Aliyevunja ndoa n shemeji yako
 
Amesimama na ndugu yake. Shemeji yake si ndugu yake.
Sasa wewe kwa nini hukupokea simu ya shemeji? Je kama alitaka kukutunuku mbususu? Umechezea fursa bro.
Ila kiujumla umefanya vyema, wewe ni true brother unayemtakia mema kaka yako.
 
Huyo mwanamke alikua na mwisho mbaya na bro wako ndio maana Mungu akakuweka wewe umkomboe, safi sana kijana.
 
Mm nakuunga mkono
 
Ungemsikiliza shemeji yko tu ungepewa kitumbua na wew [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…