halafu hizi threads za kuzungumzia members wa JF zimezidi sana sikuhizi humu nadhani moderators wanapaswa kufanya kitu 😆Watoto wa 2000 mna shida sana, fanyeni mambo ya msingi kenge nyie!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
halafu hizi threads za kuzungumzia members wa JF zimezidi sana sikuhizi humu nadhani moderators wanapaswa kufanya kitu 😆Watoto wa 2000 mna shida sana, fanyeni mambo ya msingi kenge nyie!
Unaweza Kuta ni mtu mzima kinoma aliyeandika huu Uzi.
Hapana, huyu anayeandika haya yote ni member mmoja hivi. ID yake mkongwe inaanza na herufi P.Ukute anayeliliwa ni bonge la kijeba, au ni yeye amejiandikia JF ina siri sana
Hahahaha nyoko kabisa ww
😅😅😅nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.
ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.
lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti.
nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata,
je ni sahihi kuendelea kumpenda _ephen labda ikitokea awe kabisa mke nimuoe kabisa ? au kwa situation hii au nitapata tatizo la afya ya akili ?.
maana nimeona watu wengine wanasema wanampenda au wanatania tuu ?, mimi nipo serious sana.
popoma, ila JF kubwa na inachekesha mpwayungu alaikuwa anaanzisha uzi kwa ID nyingine then anajitukana kwa ID nyingineHapana, huyu anayeandika haya yote ni member mmoja hivi. ID yake mkongwe inaanza na herufi P.
Sema ni utoto tu ndio unamsumbua.
😃😃😃 Watapeana michongo ya maishaMaajabu ya kupenda majina humu
Hivi likitokea mnaowapenda ni jinsia tofauti kabisa huwa mnafanyaje?
Aisee kwa kweli inataka moyo kupenda majina na comments tu za wadau
Kama unampenda kweli mnunulie benzi,kajitambulushe kwao,lipa mahari oa huwezi,ama hauko tayari basi hauko serious,swali la kizushi,ulishawahi kumwona unayesema ephen wako🤔nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.
ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.
lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti.
nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata,
je ni sahihi kuendelea kumpenda _ephen labda ikitokea awe kabisa mke nimuoe kabisa ? au kwa situation hii au nitapata tatizo la afya ya akili ?.
maana nimeona watu wengine wanasema wanampenda au wanatania tuu ?, mimi nipo serious sana.
ephen popote ulipo jitokeze kuna watu wanamaumivu makali sababu yakoðŸ¤Jf vichekesho usikute uyo unayempenda mwanaume mwenzako
naona labda watu wanazidi kupendana zaidi lakini pia sio vibaya sanahalafu hizi threads za kuzungumzia members wa JF zimezidi sana sikuhizi humu nadhani moderators wanapaswa kufanya kitu 😆
na inaumiza kwa mtu yeyote yuleInasikitisha sana!
daah ila sio kwa pisi hii haiwezi kua sirikali,Haya mambo ya kulilia mtandaoni, Mdude chadema alitegwa na bonge la pisi hata kuchomoa unashindwa kumbe imetumwa na sirikali
kwani huyo ephen_ ni nani maan so kwa kupendwa huko???nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.