Nilimpenda sana Binti humu, ila sasa nimegundua kila mtu anampenda tu. Inauma

Nilimpenda sana Binti humu, ila sasa nimegundua kila mtu anampenda tu. Inauma

Mwenye hiyo ID hayuko hivyo we utakuwa mgeni humu ni ka upepo tu na unaweza kuta muanzisha hizo mada ni mtu mmoja Fala Fala flani hivi, hata pm ya muhusika haijui inafananaje! Anyway nimekujibu hivyo sababu nakuonaga mtu kumbe nawe poyoyo tu kuanzia leo nakuvua vyeo
Haha Asante
 
Kwahiyo unampendaje mtu hata hujawahi kumuona, hata sauti yake tu huijui. Tabia zake huzijui.

Halafu siku ukipigwa tukio huko unasema wanawake hawafai.

Ajabu Sana.
 
Kwahiyo unampendaje mtu hata hujawahi kumuona, hata sauti yake tu huijui. Tabia zake huzijui.

Ajabu Sana.
upendo ni complex sana it's more biological, chemical..., physical

baadae ndo social status tabia zake kumuona na sauti yake ina matter

n.b najua ephen_ nae ananikubali lakini anaogopa kuniambia.
 
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.

ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.

lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti.

nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata,

je ni sahihi kuendelea kumpenda _ephen labda ikitokea awe kabisa mke nimuoe kabisa ? au kwa situation hii au nitapata tatizo la afya ya akili ?.

maana nimeona watu wengine wanasema wanampenda au wanatania tuu ?, mimi nipo serious sana.
Pole .... Anampenda makonda
 
upendo ni complex sana it's more biological, chemical..., physical

baadae ndo social status tabia zake kumuona na sauti yake ina matter

n.b najua ephen_ nae ananikubali lakini anaogopa kuniambia.
Hakuna cha upendo ni biological sijui chemical wala nini.

Ni nyege tu hizo Chief.
 
M nakuogopa huku 2012 niliona jina la kike nkatongoza nkarusha na anauli njoo sinza alikuwa mstaatabu kakayule akaja kupigaa anapoke me wee ikabidi tujuane tu hamna jinsi......
 
Back
Top Bottom