Nilimpenda sana Binti humu, ila sasa nimegundua kila mtu anampenda tu. Inauma

mshindi atapatikana kanisani au msikitini pambana bhana usikate tamaa
pamoja blood, ila akipatikana mshindi. kanisani au msikitini,

wasijitokeze wale, wanapenda kujitokeza baada ya mshindi kupatikana. haipendezi sio vyema
 
daah ila sio kwa pisi hii haiwezi kua sirikali,
Mkuu labda uwe CCM lakini uwe mkosoaji wazee wa suti wakifata nyuzi wanakuta umelialia na namba umeacha humu au PM ni rahisi mwisho unakamatwa kama bata
 
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.

ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.

lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti.

nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata,

je ni sahihi kuendelea kumpenda _ephen labda ikitokea awe kabisa mke nimuoe kabisa ? au kwa situation hii au nitapata tatizo la afya ya akili ?.

maana nimeona watu wengine wanasema wanampenda au wanatania tuu ?, mimi nipo serious sana.
Huyu sio ephen_ anajifungulia ID kila siku na kujitongoza kweli? Why ID za joined jana tu ndio zinamdondokea...

Anyway kidding life haipo serious hivi.
 
Nakupenda Kapeace Ila tuliza basi HICHO kiTOBO usiwashe kiasi HICHO Mtoto mzuri nitakukuna kwa Muda wangu
Umenikera asbh kwanini unaonea wivu wanawake wenzako tuanzie hapo, ikikuuma wao kutongozwa si ukajitongozeshe hakuna aliyekukataza,
 
Huyu sio ephen_ anajifungulia ID kila siku na kujitongoza kweli? Why ID za joined jana tu ndio zinamdondokea...

Anyway kidding life haipo serious hivi.
hapana, labda ndo ugeni.. wenyeji mnijuze Binti wa kueleweka humu, ila mimi nikijikua deep na ephen
 
Umenikera asbh kwanini unaonea wivu wanawake wenzako tuanzie hapo, ikikuuma wao kutongozwa si ukajitongozeshe hakuna aliyekukataza,
Tuliza kiTOBO HICHO nitakitoboa kwa Muda wangu wala usiwe na Shaka huna haja ya kukereka na naona ushakua wet by the time hapo utelezi unamwagika
 
pamoja blood, ila akipatikana mshindi. kanisani au msikitini,

wasijitokeze wale, wanapenda kujitokeza baada ya mshindi kupatikana. haipendezi sio vyema
๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€tafuta ushindi kwanza
 
Kutongozwa tongozwa Hadharani sio ufahari,ukiona unatongozwa sana ujue you're good at flirting or overtly sexual
Mwenye hiyo ID hayuko hivyo we utakuwa mgeni humu ni ka upepo tu na unaweza kuta muanzisha hizo mada ni mtu mmoja Fala Fala flani hivi, hata pm ya muhusika haijui inafananaje! Anyway nimekujibu hivyo sababu nakuonaga mtu kumbe nawe poyoyo tu kuanzia leo nakuvua vyeo
 
nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.

ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.

lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti.

nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata,

je ni sahihi kuendelea kumpenda _ephen labda ikitokea awe kabisa mke nimuoe kabisa ? au kwa situation hii au nitapata tatizo la afya ya akili ?.

maana nimeona watu wengine wanasema wanampenda au wanatania tuu ?, mimi nipo serious sana.
Embu pita kule pls mwachen e...wety
U
 
Back
Top Bottom