Nilimpenda sana Binti humu, ila sasa nimegundua kila mtu anampenda tu. Inauma

Watoto wa 2000 mna shida sana, fanyeni mambo ya msingi kenge nyie!
halafu hizi threads za kuzungumzia members wa JF zimezidi sana sikuhizi humu nadhani moderators wanapaswa kufanya kitu πŸ˜†
 
Haya mambo ya kulilia mtandaoni, Mdude chadema alitegwa na bonge la pisi hata kuchomoa unashindwa kumbe imetumwa na sirikali
 
Ukute anayeliliwa ni bonge la kijeba, au ni yeye amejiandikia JF ina siri sana
Hapana, huyu anayeandika haya yote ni member mmoja hivi. ID yake mkongwe inaanza na herufi P.

Sema ni utoto tu ndio unamsumbua.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hapana, huyu anayeandika haya yote ni member mmoja hivi. ID yake mkongwe inaanza na herufi P.

Sema ni utoto tu ndio unamsumbua.
popoma, ila JF kubwa na inachekesha mpwayungu alaikuwa anaanzisha uzi kwa ID nyingine then anajitukana kwa ID nyingine
 
Maajabu ya kupenda majina humu
Hivi likitokea mnaowapenda ni jinsia tofauti kabisa huwa mnafanyaje?
Aisee kwa kweli inataka moyo kupenda majina na comments tu za wadau
πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ Watapeana michongo ya maisha
 
Kama unampenda kweli mnunulie benzi,kajitambulushe kwao,lipa mahari oa huwezi,ama hauko tayari basi hauko serious,swali la kizushi,ulishawahi kumwona unayesema ephen wakoπŸ€”
 
halafu hizi threads za kuzungumzia members wa JF zimezidi sana sikuhizi humu nadhani moderators wanapaswa kufanya kitu πŸ˜†
naona labda watu wanazidi kupendana zaidi lakini pia sio vibaya sana
 
kwani huyo ephen_ ni nani maan so kwa kupendwa huko???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…