Nilimpiga Mwalimu akahama shule

Vipi sasa hivi umetusua kimaisha?
 
Umempiga teacher lakini hata kuandika Kiswahili fasaha huwezi, sasa Kiingereza si ndiyo majanga? Wenzenu wasukuma wanavuta bangi iwasaidie kulima na kufanya kazi...
Nikikutana na comments kama hizi moja kwa moja wewe bwabwa,asilimia kubwa ya mashoga wanamipasho kama wa dada
 
hakuna mtu wa Arusha anaandika hivi.
 
Mkuu hii ilikuwa comment kwenye Uzi mmoja uko humu ,sijui kama uliiokota huko au wewe ndio umeandika kule

Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
 
Inaendelea....


Baada ya kuwa kaka mkuu wa shule, changamoto ilianza sasa, wanafunzi niliokuwa na vuta nao bangi wakaniona shushushu, wakatengeneza bifu kwa kuwa nilipokuwa nawakuta wanavuta bangi, walichezea makofi, machimbo yanayouza bangi pembeni ya shule nilikuwa nayafahanu..

Nilitengeneza bifu sana kwa wanafunzi wahuni, nakumbuka siku moja tulienda picnic mlima meru kwenye ile falls ya maji, ilikuwa ni tabia ya wanafunzi wa arusha kwenda picnic mlima Meru, Duluti, Mlima Tembo (ngaramtoni), kuna club ilikuwaga usa River tulikuwa tunaikodisha kila jumamosi, tunaenda kula bata huko tulikutana wanafunzi wakila shule Arusha, wahuni, wapole, kipindi hicho bia ya banana ilikuwa imeingia, ukitoa buku unapewa tatu yaani hizo tatu ukizimaliza umelewa hatari...


Sasa tukiwa kwenye ile miteremko ya kuelekea kwenye falls, nikiwa mimi na mshikaji wangu ambae tulikuwa marafiki sana, mazoezi ya taekwondo tunapiga wote wawili daily.

Ghafla kundi la vijana wahuni wasiopungua 9, walituzunguka, nikiwa mimi na msela wangu tuliwekwa kati.

Oya wewe ndio unajifanya komando wa shule, unapeleka siri zetu kwa walimu, unatufanya sasa hivi atuvuti bangi kwa amani? Sasa leo hatoki mtu huku, hata uwe fiti vipi lazima tukukomeshe, aliongea jamaa mmoja akiwa ameshika pisi la gogo..

Samahani wakuu, nitakuwa nawapa muendelezo hivyo hivyo maana sipati chance nzuri yakuandika vinzuri, tusameheane

Muendelezo soma Nilimpiga mwalimu akahama shule
 
Yani asilimia kubwa form 3 ndo hua wanaanza kujifunza misumali......Mim kuna ticha ety alimtongoza rfk angu kamkataa tukala pesa zake ety akatangaza vita na mim me nkamwambia ww ni mkubwa lkn vita na mim uwez.
Ticha kaja class kanipa swali la Physics form two nikafanya vzuri nkaweza, akanipa tena swali la kuchora preparation ya oxy from hyro peroxide......eh bana si nkachora nkasahau kulabel manganese dioxide eeeh ticha akasema ujalabel hapa nkamwambia nmesahau tu kwa sabb muda umenipa mdg na me sio mzuri kweny kuchora chora akasema ety adhabu kubeba ndoo kumi za mchanga na kufagia ofisini ya walimu week nzima nkamwambia mie ni kiongoz siruhusiwi kufanya Kazi yyte zaid ya kutoa dawa kwa wagonjwa na kuhakikisha wanapatiwa huduma ya kwanza.......Ety unanijibu dharau mim nkukute administration block nkamwambia haina noma Edson.
Kwanza nkaingizwa kwa Second master, na displine master Alf second master mwenyewe alikua ananitokea........
Kuingia nikaaanza kujiliza ilivofika zamu yangu ya kujielezea nkasema kila kitu hadi alivomtongoza rfk angu na alivonitangazia vita.......Mim nliambiwa kesi yangu imeisha wakabaki na huyo ticha sijui aliliwa kiboga maan alitoka kachomoa shati
 
Mzee baba kuna mbinu za kurusha mateke pia zimeelezewa, yanaweza saidia wakati wa kupambana na panyaroad...
Panya road labda wawe wengi sana,wakinipa chance ya hatua 3 ya kugeuka na kurusha mateke yani watakimbia wenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…