Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Mkuu file unazopiga kwa io machine unazitoa wapi(source), Mana machine Kama izo inabidi pia we na audio file yenye nyama sio izi m4a/mp3 za mb tatu ili ikae sawa
Mkuu mimi audio za mb 2 sijui 3 sina kwenye pc yangu, bongo fleva ikiwa ndogo sana basi mb 4...mimi nina quality ya studio mb 8 mpka 10!
Nyinginezo natumia spotify, na kwenye quality ya streaming nimeset very high , kwahiyo shida siyo mp3!
 
Sony watts 400 lazma uone ushubwada tu .

Tafta dude la sony la 1000 watts au 1200watts kisha leta mrejesho. Hao jamaa hawana mpinzani ila kama fuko limetuna ibuka kwenye JBL Deepbass soundbars.
 
Nimenunua seapiano sp 912 kubwa kbs kuliko zote bass 10 inch, sasa knachonishangaza nksoma specifications zake kwny kile kiplastic kule nyuma znafanana kila ktu na sp 1002 nliyokuwa nayo ajabu hii 912 ina spka ya 10 inch na sp 1002 ina 8 inch sasa kwnn watts nk ziwe znalingana wkt hli 912 linapga hatari sn kuliko 1002?
 
Sony watts 400 lazma uone ushubwada tu .

Tafta dude la sony la 1000 watts au 1200watts kisha leta mrejesho. Hao jamaa hawana mpinzani ila kama fuko limetuna ibuka kwenye JBL Deepbass soundbars.
hometheater hzo ulizotaja hapo za sony sku hz ni takataka kbs kuna uzi humu jamaa alisema alienda shop kucheck mzk akakutana na seapiano sp 912 akamwambia muuza duka ampambanishie na hometheater za sony ili achukue mojawapo jamaa anasema sony zlichemka kbs na ndiye ameni inspire kutafuta iyo seapiano.
 
Hii seapiano 912 bei yake ikoje mkuu!
 
Tafuta soundbar ya Samsung 9.1.4 inch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…