Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Sio sound bar kipenzi ni home theater DZ650 watts 1000 [emoji1787][emoji1787] me hata waiponde kikubwa kwangu naenjoy nayo vizuri tu haya mambo mengine tunawaachia wenyewe
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna duka nimewapa 500k yangu wanaishika maana hawakuwa nayo watts 320. Nikawa nasubiri walete.. Kumbe naenda kuzika hela? Kwahiyo nikaichukue nimpe bwana angu akaile tu?? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787] Nimecheka sana
 
Kama wewe ni mtu unapenda mziki mnene mzuri kama ule wa zamani wa vitofa vya kupanga- Tuner, Cassete Deck, Equilizer na Amplifier, Sony siku hizi wana HIFI MUSIC SYSTEMS za series SHAKE-10D to SHAKE-100D.
Kwa DSM zinapatikana SHAKE-10D hadi SHAKE-70D.
 
Sio sound bar kipenzi ni home theater DZ650 watts 1000 [emoji1787][emoji1787] me hata waiponde kikubwa kwangu naenjoy nayo vizuri tu haya mambo mengine tunawaachia wenyewe
HT ina mvuto. Alot of speakers 😍
Hiyo Tv showcase lazima iwakeeee
 
Usicheke [emoji1787][emoji1787] aniambie kama nachezea hela nikazichukue tu. Maana watts 320, walisema 630k. Kwa kuwa hawakuwa nayo, nikapunguza nikaacha 500k. Ni duka nalofahamiana nao,,

Michezo ya kuzika hela sichezagi [emoji2][emoji2]
[emoji1787][emoji1787] Ebu chukua kama yangu achana nazo hizo
 
Shukrani mkuu, kwa Dar naweza pata wapi? Kkoo zipo?
 
Nilikua nataka kununua speaker ambayo ninaweza tembea nayo. Kwa budget yangu nikapata W-King T8, aiseeh mziki inayotoa sina mpango wa kununua sound system nyingine tena.
 

Attachments

  • 20231228_084402.jpg
    4.1 MB · Views: 36
Anayetumia au aliyewahi kutumia mziki mmojawapo hapa tafadhali nishauri!
 

Attachments

  • IMG-20240118-WA0022.jpg
    46.1 KB · Views: 37
  • IMG-20240118-WA0025.jpg
    35.3 KB · Views: 37
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…