Kwa hizo watts 320 nakusihi wahi haraka ukachukue hela yako π humo hutapata mziki unaoeleweka. Ukishachukua hio 500K hebu nitumie elf 20 tu ya sadaka ya shukurani.Usicheke π€£π€£ aniambie kama nachezea hela nikazichukue tu. Maana watts 320, walisema 630k. Kwa kuwa hawakuwa nayo, nikapunguza nikaacha 500k. Ni duka nalofahamiana nao,,
Michezo ya kuzika hela sichezagi ππ
Kwa hizo watts 320 nakusihi wahi haraka ukachukue hela yako [emoji23] humo hutapata mziki unaoeleweka. Ukishachukua hio 500K hebu nitumie elf 20 tu ya sadaka ya shukurani.
π€£π€£π€£ nimekubali show.Hii ndio Sony kipenzi hujutii hii ya kwangu ina miaka 4 au mi5 kama nakuona hiyo clip utakuwa unairudia [emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] nimekubali show.
Hata pa kudownlodia nilipaona sasa? Sipaonagi sijui kwann
Najua bado unaendelea kuinjoy unyama wa DZ650 Sony Home theatre. Mwambie Depal hizo zishakuwa adimu sikuhiziAchana na Lg tafuta Sony hutojutia [emoji1787][emoji1787]
Balaa ni zito humo πHii ndio Sony kipenzi hujutii hii ya kwangu ina miaka 4 au mi5 kama nakuona hiyo clip utakuwa unairudia [emoji1787][emoji1787]
Najua bado unaendelea kuinjoy unyama wa DZ650 Sony Home theatre. Mwambie Depal hizo zishakuwa adimu sikuhizi
Balaa ni zito humo [emoji23]
Sio sound bar kipenzi ni home theater DZ650 watts 1000 [emoji1787][emoji1787] me hata waiponde kikubwa kwangu naenjoy nayo vizuri tu haya mambo mengine tunawaachia wenyewe
πππππππ niguse DMNaenjoy kaka angu [emoji3059] ila nitakuja pm kuna kitu unielekeze kwahiyo sasa hivi ni ngumu kupatikana kabisa basi na bei yake itakuwa juu
Au kama una ile chat yangu na yako pm ebu nipm basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niguse DM
Sio kweli, kuna sound bar ya samsung inauzwa dola 1900 ni kisanga. Halafu ni wireless tupu.Hizo ni takataka kwenye music
Ikiwa soundbar inakuwa more advanced technology ila inatakiwa iwe 1000 watts kwa kweli. Brands usitoke nje ya Sony ama JBL humo ndiko mziki ulipo kwa sasa. Kwengine ni kubahatisha tu.Sijui ni kwenye uzi gani nilikuona unasifia Sound bar ya sony ikiwa inapiga mayday ikiwa inadunda huko π€£π€£π€£
Watts 1000, ikiwa ni sound bar au home theater? Extrovert aje atofautisha.
Music is a therapy
Naweza nisiwashe Tv kama sina movie mpya, ila radio must.
π€£π€£ watukome, nina hakika hawajaona.. maana tumecheza shwaaa na shwiiiii[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] poyeeeeee na ile pic yangu ukutani kama nawaona wanaume wa jf wangeiona na msemo wao jf tumejaa mishangazi
Nikilewa namtumia yule rafiki yangu ambaye ni rafiki yako akofowadie π€£π€£π€£Kwa hizo watts 320 nakusihi wahi haraka ukachukue hela yako π humo hutapata mziki unaoeleweka. Ukishachukua hio 500K hebu nitumie elf 20 tu ya sadaka ya shukurani.
[emoji1787][emoji1787] watukome, nina hakika hawajaona.. maana tumecheza shwaaa na shwiiiii
Kabisaa. Maana wamebarikiwa midomo kumzidi chuchunge ππ[emoji1787][emoji1787] watakuwa hawajaona wasingekaa kimya hivi
Kabisaa. Maana wamebarikiwa midomo kumzidi chuchunge [emoji38][emoji38]